Hip hop Zanzibar

Feb 6, 2024
40
51
HIP HOP IN ZANZIBAR...

MUziki wa Rap ni Muziki pekee ambao hutoa Elimu kwa jamii kutokana na aina ya Tungo au Mashairi wanayoimba wasanii wanaofanya Muziki Huo ..

Kwa Hapa Tanzania tuna list ya wasanii wengi sana waliofanya makubwa katika tasnia Hii ya Muziki wa Rap..

Wasanii Hao ni kama

2 pround ( mr sugu)
saigon & balozi ( the demplomatz)
Saleh jabir
Chief rayhmos & D rob ( kwanza unit )

Na wengine Wengi list ipo Kubwa sana ila Hao ni Baadhi tu ...

Lakini kwa Upande wa zanzibar kuna msanii kwa jina anaitwa Dj Cool para huyu ni msanii wa Hip hop kutoka zanzibar .

Alikuwa moja Kati ya wasanii waliofanya Muziki wa Rap toka Zanzibar..

Msanii Huyu alifanikiwa kutoa Album inayoitwa " nipo kwenye fani " Mwaka 2003...

Production ikifanywa na studio ya Rhumba kali studio amsterdam , Holland.

Wasanii waliotia maneno ni Dj cool para " sugu Junior Beat: 34 thomasgesthuizen.

Msanii Huyu kutoka Zanzibar alijikita zaidi kutoa ujumbe kwa jamii kuhusu mwenendo wa utendaji wa kazi katika serikali ya zanzibar, lifestyle ya vijana mtaani
.bila kusahau rasilimali za taifa la zanzibari na historia kuhusu ukoloni zanzibar

Track list
Side A.

1.Hawapo serious
2. Nipo kwenye fani "sugu Junior"
3. Tunakwenda wapi
4. Matatizo nashida
5. Tunakwenda wapi? ( Rmx)

Side B

1. Elimu Bure
2. mtu wa Tamaa
3. Hivyo ndivyo
4. Mtu wa tamaa ( rmx)
5. Hivyo ndivyo ( rmx)
6. hawapo serious ( rmx)

Una kipi unakikumbuka kutoka kwa Dj cool para from Zanzibar..

UKWAJU WA KITAMBO
#tunakurudisha_kaleee!!
+255767542202
FB_IMG_1709973389687.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom