zanzibar

  1. J

    JamiiForums Tanzania Maridhiano ya kisiasa huishia kwa kugawana vyeo na si kuleta maelewano ya wananchi mfano ni Zanzibar na Kenya

    Wananchi wanaouliza Chadema wanataka maridhiano ya kitu gani wana hoja ya msingi sana kwa sababu anayeombwa maridhiano ni serikali. Ile ilikuwa ni sherehe ya serikali ndipo Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe akasema wao wako tayari kwa maridhiano na kumwomba Rais na Amiri jeshi mkuu...
  2. G Sam

    JamiiForums Tanzania Kwanini Zanzibar wanaadhimisha mapinduzi badala ya uhuru walioupata tarehe kama ya leo miaka 56 iliyopita?

    Kiini macho na kihoja kuliko vyote ndani ya nchi ya Zanzibar ni kuwa miaka 56 iliyopita tarehe kama ya leo walipata uhuru wao kutoka kwa mkoloni Muingereza. Sijui ni kutokana na mila walizowekewa na yule anayeandaliwa kuwa mwenye heri ila hawajawahi kuadhimisha siku hii. Mwezi mmoja baadaye ASP...
  3. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi, Driver/Logistics Assistant, Unguja Zanzibar

    ROLE TITLE: Driver/Logistics Assistant TEAM/PROGRAMME: Program Implementation LOCATION: Zanzibar (Unguja) (2) GRADE: 6 TYPE OF CONTRACT: National CHILD SAFEGUARDING: Level 3 – the responsibilities of the post may require the post holder to have regular contact with or access to children or young...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Tumeshahama sasa tujikite kwenye ndoto ya Nyerere ya kuwa na serikali moja kwani Dodoma ni katikati ya Kagera na Zanzibar

    Baada ya Rais wetu mpendwa Dk. Magufuli kutimiza ndoto ya baba wa taifa ya kuhamia Dodoma ni wakati sasa wa kufikiria ndoto ya pili ya Mwalimu Nyerere ya kuwa na muungano wa serikali moja. Dodoma ni katikati ya ramani ya muungano wetu hivyo serikali kuhamia katika jiji hilo ni ishara nzuri ya...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Kauli za Maalim Seif zazua jambo Zanzibar

    Akizungumza na waandishi wa Habari juzi, Maalim Seif alifichua njama alizoziita ovu dhidi ya chama chake zilizoandaliwa na msururu wa viongozi wa CCM. Katika tuhuma hizo alifika mbali kwa kumtaja Katibu Mkuu wa CCM ndugu Bashiru kuhusika kwenye mikakati hiyo baadhi ya shutuma ni hizi. i. Ndugu...
  6. beth

    JamiiForums Tanzania Wanaousaka urais, ubunge CCM kabla ya wakati waonywa

    Katibu Mkuu wa CCM, Dk Bashiru Ally amewaonya wanachama wa chama hicho tawala walioanza mikakati ya kusaka kupitishwa kuwania udiwani, ubunge na urais akibainisha kuwa kufanya hivyo ni makosa. Ametoa kauli hiyo leo Jumanne Desemba 3, 2019 katika ziara yake kisiwani Pemba, Zanzibar wakati...
  7. mshihiri

    JamiiForums Tanzania Maalim Seif Sharif: Uvumilivu sasa basi, wanachama lindeni ofisi na mali za chama

    UVUMILIVU SASA BASI, WANACHAMA LINDENI OFISI NA MALI ZA CHAMA MAELEZO YA MSHAURI MKUU WA CHAMA CHA ACT – WAZALENDO, MAALIM SEIF SHARIF HAMAD, KWENYE MKUTANO NA WAANDISHI WA HABARI OFISI KUU YA CHAMA ZANZIBAR – TAREHE 2 DESEMBA, 2019 Chama cha ACT – Wazalendo kinazo taarifa za uhakika za kuwepo...
  8. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Kwanini Bashiru Ally anaficha kilichompeleka Zanzibar ?

    Bashiru Ally ambaye ni Katibu Mkuu wa ccm anafanya ziara Zanzibar , leo inasemekana yuko Pemba , lakini kwa kauli yake mwenyewe anasema amekwenda kuimarisha chama , anadai baada ya kumaliza kazi hiyo Tanzania bara ( Tanganyika ) sasa ni zamu ya Zanzibar , hii maana yake ccm Zanzibar haikuimarika...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Halmashauri Kuu Taifa ya Chama cha (UPDP) imemvua uenyekiti Fahmi Dovutwa kwa kufanya kosa la kukisemea chama hicho kinyume na Katiba

    Chama cha UPDP kimemvua madaraka Mwenyekiti wake mzee Dovutwa baada ya kuvunja katiba ya chama hicho. Dovutwa aliungana na Mbowe wa Chadema kujitoa kushiriki uchaguzi wa serikali za mitaa ilhali katiba ya UPDP haina kipengere kinachoruhusu chama chao kujitoa kwenye uchaguzi wowote. Dovutwa...
  10. beth

    JamiiForums Tanzania Zanzibar: Daktari Mstaafu mbaroni akijaribu kumtoa msichana wa miaka 21 mimba ya miezi mitatu

    Polisi Mkoani Kusini Pemba inamshikilia Daktari mstaafu Nassor Khalid kwa tuhuma za kujaribu kumtoa mimba ya miezi mitatu Sabina Othman (21) Mkazi wa Tibirinzi Kisiwani Pemba Kamanda wa Polisi Mkoani humo, Hassan Nassir amesema tukio hilo limetokea katika Kijiji cha Mgagadu na Daktari huyo...
  11. lucky lefty

    JamiiForums Tanzania Oyaa Tax - usafiri wa bei nafuu na haraka Kisiwani Zanzibar

    Kwa mara ya kwanza nchini Zanzibar, Kampuni ya OYAA TECHNOLOGIES LIMITED Imetuletea wakazi wa Zanzibar huduma ya Taxi al maarufu kama OYAA TAXI. Mfumo huu ni kama mifumo mingine iliyozoeleka huko Bara na duniani kwingine kama Taxify,Ping na Uber. Ni huduma ya nafuu na haraka hasa ukizingatia...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Wanamikakati wa CCM Mjifunze kilichotokea Zanzibar, Mtambue mabadiliko hayazuiliki na Bara sio Unguja

    Huo ujumbe uende moja kwa moja kwa wana mikakati wa CCM na washauri wa chama na Serikali. Mtakosea sana kufanya mbinu zenu za kuzorotesha Upinzani kwa kutumia mbinu za Zanzibnar huku Bara. Kwa hulka Wazanzibari ni wapole sana lakini ni wamejaaliwa uelewa wa kisiasa. CCM imetumia njia nyingi...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya uhasibu

    Mimi ni kijana wa miaka 23 natafuta kazi ya kusomesha au ya uhasibu. Elimu yangu ni Diploma, mshahara ni maelewano chochote kitakachokuwepo basi tukikubaliana naweaz kuungana kufanya kazi. Nipo Zanzibar 0772 333 435.
  14. K

    JamiiForums Tanzania Tathmini: Hofu ya Zanzibar kumezwa kwenye Muungano yaongezeka kwenye awamu hii ya tano

    Kwa takribani wiki moja na ushei hivi, tulipiga kambi Zanzibar na kubahatika kupata udadisi wa kinachoendelea. Zanzibar kunaonekana kuko shwari kwa nje nje lakini kwa ndani utapata kujuwa hasa nini kinaendelea. Maelezo yafuatayo yatasaidia kutoa picha halisi kwa tahmini ya Mwandishi na kile...
  15. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Zanzibar yaanza kutoa vitambulisho vipya vya ukazi kwa wananchi wake

    Serikali ya Zanzibar imeanza kutoa vitambulisho vipya vya ukazi kwa wananchi wa Zanzibar ==== Uzinduzi wa Vitambulisho vipya vya Kieletroniki (SMART CARDS) vya Mzanzibar mkaazi. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akipokea Kitambulisho kipya cha...
  16. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Rais wa Zanzibar ataka sheria ziandikwe kwa lugha ya Kiswahili ili wananchi wajue haki zao

    NA RAJAB MKASABA, IKULU RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein, ameitaka Jumuiya ya Majaji na Mahakimu ya Nchi za Afrika Mashariki (EAMJA) kuhakikisha sheria zinatafsiriwa kutoka lugha ya Kiingereza kwenda lugha ya Kiswahili. Alisema hatua hiyo...
  17. Ng'wamapalala

    JamiiForums Tanzania Ukomo wa Rais wa Tanzania na Zanzibar ulipangwa au nasibu?

    Katika mazingira na suala muhimu ambalo linaisaidia sana CCM kuendelea kuwa madarakani ni ukomo wa Rais wa Tanzania na Rais wa Zanzibar kutokuisha mwaka mmoja/wakati mmoja kwa pamoja. Ni ukweli kuwa ni vigumu sana katika chaguzi zetu za nchi za Afrika kuweza kumuondoa madarakani Rais anayetetea...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Miaka 10 ya Dr Shein madarakani Zanzibar pamekuwa mahali penye amani

    Kiukweli Rais wa Zanzibar Dr Shein ameifanya Zanzibar pawe mahali pa amani na salama kuishi. Zanzibar ya Dr Shein utegemezi wa bajeti ya serikali kwa wahisani umepungua. Miundo mbinu imeimarishwa ukiwemo ununuzi wa meli mpya ya mafuta Wazee wote wanalipwa posho ya kila mwezi ili kujikimu...
  19. aleesha

    JamiiForums Tanzania Kwa nini ikitokea visa vya mauaji Zanzibar wahusika ni watanganyika?

    KIJANA mmoja alietambulikana kwa jina la Noel Jengeni Mlilo mwenye umri 27, mkazi wa shehia ya Wawi wilaya ya Chakechake, na mwenyeji wa Mkoa wa Songwe Tanzania bara, amekutikana kichakani akiwa amefariki, shehia ya Mtuhaliwa wilaya ya Mkoani Pemba. Akizungumza na mwandishi wa habari hizi kaka...
  20. mtima nyongo

    JamiiForums Tanzania Jinsi tunavyoishi wakristo hapa Zanzibar kipindi hiki cha mfungo

    Mazingira ya maisha hapa Zanzibar kipindi hiki cha mfungo wa Ramadan kwa Wakristo ni magumu sana hasa kuhusu suala la chakula,kwa sisi ambao tuko kikazi huku na familia zetu ziko bara ni shida. Mfano kupata chakula inabidi uende kwenye lile kanisa ambapo zamani kulikua na soko la watumwa...
Back
Top Bottom