Katika sherehe za Uhuru wa Tanganyika uongozi wa Chadema ulikodi ndege ya kifahari kuelekea jijini Mwanza kushiriki maadhimisho hayo, tukawapongeza.
Leo tulitegemea kuwaona jijini Zanzibar lakini tukawaona Prof Lipumba, Mzee Shibuda na wengine bila uwepo wa Mbowe wala yule mzanzibari Salumu...
WAKUU SALAAM...
TUNAUZA DAGAA NYAMA (DAGAA MCHELE) WALIOANDALIWA KATIKA MAZINGIRA MAZUZRI KUTOKA VISIWA VYA ZANZIBAR NA MAFIA BEI KILO 7500-
-TUPO DAR ES SALAAM
-UNALETEWA MPAKA NYUMBANI
-MIKOANI TUNATUMA
-MAWASILIANO 0653916356
Nauliza kwa wale watu wanaoelewa vizuri mambo ya itifaki.
Katika sherehe za mapinduzi Zanzibar, Waziri mkuu mh Majaliwa aliingia uwanjani baada ya makamu wa pili wa Rais wa Zanzibar mh Idd Seif kuwa ameshaingia na wakati wa kuondoka alianza waziri mkuu kabla ya balozi Seif.
Karibu kwa...
Nimeona kupitia TBC1 hapa mpambano kati ya Burundi na Zanzibari. Nyimbo zao za Taifa zimepigwa, nikasikia melody ya wimbo wa Zanzibar. Hauna mfanano wowote na wimbo wetu wa Taifa.
Inakuwaje mataifa kama Zimbabwe, Afrika ya Kusini wana melody inayofanana na Tanganyika wakati Zanzibar ambayo...
Sherehe hizi zitarushwa mubashara kupitia TBC, Channel ten, Azam tv, ITV nk
Rais Magufuli wa JMT na Rais Shein wa Zanzibar watawaongoza maelfu ya watanzania katika maadhimisho hayo.
Karibuni!
Up dates;
Viongozi wastaafu wameshaingia ukumbini wakiwemo mzee Mwinyi, Mkapa, Kikwete, Sumaye...
Rais Magufuli amesema Zanzibar ni kisiwa cha raha hata watanzania bara wengi wanapohitaji kupumzika huja Zanzibar.
Rais Magufuli amesema hata kaka wa baba yake alikuja Zanzibar na kubakia huko huko kama ilivyokuwa kwa wasukuma na wanyamwezi wengi.
Chanzo: Channel ten
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amesema ni sa aibu kuona shule za Zanzibar zinakuwa miongoni ambazo hazifanyi vizuri pindi inapofika wakati wa kutangaza matokeo ya Shule za Sekondari.
Rais Magufuli ametoa kauli hiyo wakati akizungumza kwenye uwekaji wa jiwe la...
Baada ya likizo ya mwisho wa mwaka, kesho Rais Magufuli ataanza ziara ya siku 5 Zanzibar ikiwa ni pamoja na kuhudhuria sherehe ya mapinduzi Zanzibar tarehe 12 mwezi huu.
Pia Mh. Rais atazindua jengo la makao makuu ya Usalama wa Taifa kisiwani Zanzibar katika ziara yake
Zaidi. soma: Zanzibar...
SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) imesema inakusudia kutunga Sheria ya Adhabu ‘’papo kwa papo’’ ili kudhibiti ajali, ambazo zimekuwa zikisababisha vifo vya wananchi wengi wa Zanzibar.
Hayo yalisemwa na Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi, Mustafa Aboud Jumbe wakati...
Hapa ni muonekano baada ya kukamilika litakavyokuwa nimechanya maneno ya kuambiwa na wanasiasa,ubunifu Wa injinia mfugale na akili zangu nikapata kitu kama hicho samani lakini kama nimekukwaza mpinzani Wa jiwe!!!!
Moja ya tatizo kubwa kwenye chaguzi za Zanzibar ni Wabara kuingizwa na CCM katika kupiga kura za kuchagua Rais wa Zanzibar pamoja na wawakilishi katika baraza la wawakilishi.
Hili ni kinyume na taratibu kwani Wabara wanaoishi Zanzibar wanatakiwa wapige kura ya kuchagua Mbunge pamoja kumchagua...
Mimi kama mzanzibari niliyeshiriki chaguzi kadhaa hapa Zanzibar za kuchagua viongozi wa nchi.
Lakini mwaka 2015 umenivunja moyo kabisa baada ya kuona kura yangu ikipeperuka bila kujaliwa shida iliyonipata kwa kutumia muda wangu mwingi kujiandikisha,kuhakikiwa taarifa zanzzgu na mwisho kujipanga...
Akihojiwa na mtangazaji Marin Hassan wa TBC, makamu wa pili wa Rais wa Zanzibar balozi Seif amewataka watanzania kwa umoja wao kuulinda muungano kwa nguvu zote kwani umeleta Heri.
Balazi Seif amesema Muungano huu unawanufaisha zaidi wazanzibar kuliko watanganyika hivyo atashangaa sana kusikia...
Baada ya mapokezi ya Bombadier majuzi kule Mwanza, upande wa pili, Rais wa Zanzibar Dk Shein aliwaalika Ikulu wachezaji wa Timu ya Taifa ya Soka kwenda kula nao chakula na isitoshe akawapa na zawadi Fedha, kwa kazi nzuri waliofanya kule Kampala katika mashindano ya CECAFA!Katka hali ya kawaida...
Rais wa Zanzibar Mh Dr Shein amesema kabla hajamaliza muhula wake wa uongozi atahakikisha sheria ya kuwatambua Wazanzibari (Watanzania wanaoishi nje ya nchi inakuwepo).
Pia Msemaji wa Zanzibar amesema mipango ya kujenga daraja la kuiunganisha Zanzibar na Tanzania bara imekamilika na taratibu za...
Wadau hili suala huwa linanitatanisha sana!
Hivi inakuwaje Zanzibar inashiriki mashindano ya Vilabu ya CAF ilihali sio mwanachama, na ndiyo linapokuja suala la Timu ya Taifa inayotambuliwa ni ya Tanzania (URT)
Au kwenye vilabu Zanzibar hushiriki kama mwalikwa wa kudumu?
Inapokea kuna suala LA kuitambulisha Zanzibar nje ya muungano tunatumia jina la Zanzibar, lakin ikiwa suala hilo linaihusu Tanganyika Basi wanakwepa na kutumia jina la muungano yaan Tanzania bara so Tanganyika.kwa ninibbasi NATO Zanzibar isitumie Tanzania visiwani.
Mfano mashindano ya Moira...
KWA MAGUFULI KILA JIWE LITAPINDULIWA.
Daraja hili muhimu kwa uchumi wa Tanzania Bara na Visiwani ni kati ya malengo na ndoto kubwa alizonazo mkuu wetu wa nchi mheshimiwa rais Magufuli kabla ya kukabidhi madaraka mwaka 2025.
Namuombea rais wetu afikie malengo haya ambayo watanzania wengi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.