Akizungumza na waandishi wa Habari juzi, Maalim Seif alifichua njama alizoziita ovu dhidi ya chama chake zilizoandaliwa na msururu wa viongozi wa CCM. Katika tuhuma hizo alifika mbali kwa kumtaja Katibu Mkuu wa CCM ndugu Bashiru kuhusika kwenye mikakati hiyo baadhi ya shutuma ni hizi.
i. Ndugu...
Katibu Mkuu wa CCM, Dk Bashiru Ally amewaonya wanachama wa chama hicho tawala walioanza mikakati ya kusaka kupitishwa kuwania udiwani, ubunge na urais akibainisha kuwa kufanya hivyo ni makosa.
Ametoa kauli hiyo leo Jumanne Desemba 3, 2019 katika ziara yake kisiwani Pemba, Zanzibar wakati...
UVUMILIVU SASA BASI, WANACHAMA LINDENI OFISI NA MALI ZA CHAMA
MAELEZO YA MSHAURI MKUU WA CHAMA CHA ACT – WAZALENDO, MAALIM SEIF SHARIF HAMAD, KWENYE MKUTANO NA WAANDISHI WA HABARI
OFISI KUU YA CHAMA ZANZIBAR – TAREHE 2 DESEMBA, 2019
Chama cha ACT – Wazalendo kinazo taarifa za uhakika za kuwepo...
Bashiru Ally ambaye ni Katibu Mkuu wa ccm anafanya ziara Zanzibar , leo inasemekana yuko Pemba , lakini kwa kauli yake mwenyewe anasema amekwenda kuimarisha chama , anadai baada ya kumaliza kazi hiyo Tanzania bara ( Tanganyika ) sasa ni zamu ya Zanzibar , hii maana yake ccm Zanzibar haikuimarika...
Chama cha UPDP kimemvua madaraka Mwenyekiti wake mzee Dovutwa baada ya kuvunja katiba ya chama hicho.
Dovutwa aliungana na Mbowe wa Chadema kujitoa kushiriki uchaguzi wa serikali za mitaa ilhali katiba ya UPDP haina kipengere kinachoruhusu chama chao kujitoa kwenye uchaguzi wowote.
Dovutwa...
Polisi Mkoani Kusini Pemba inamshikilia Daktari mstaafu Nassor Khalid kwa tuhuma za kujaribu kumtoa mimba ya miezi mitatu Sabina Othman (21) Mkazi wa Tibirinzi Kisiwani Pemba
Kamanda wa Polisi Mkoani humo, Hassan Nassir amesema tukio hilo limetokea katika Kijiji cha Mgagadu na Daktari huyo...
Kwa mara ya kwanza nchini Zanzibar, Kampuni ya OYAA TECHNOLOGIES LIMITED Imetuletea wakazi wa Zanzibar huduma ya Taxi al maarufu kama OYAA TAXI.
Mfumo huu ni kama mifumo mingine iliyozoeleka huko Bara na duniani kwingine kama Taxify,Ping na Uber.
Ni huduma ya nafuu na haraka hasa ukizingatia...
Huo ujumbe uende moja kwa moja kwa wana mikakati wa CCM na washauri wa chama na Serikali.
Mtakosea sana kufanya mbinu zenu za kuzorotesha Upinzani kwa kutumia mbinu za Zanzibnar huku Bara.
Kwa hulka Wazanzibari ni wapole sana lakini ni wamejaaliwa uelewa wa kisiasa. CCM imetumia njia nyingi...
Mimi ni kijana wa miaka 23 natafuta kazi ya kusomesha au ya uhasibu. Elimu yangu ni Diploma, mshahara ni maelewano chochote kitakachokuwepo basi tukikubaliana naweaz kuungana kufanya kazi. Nipo Zanzibar 0772 333 435.
Kwa takribani wiki moja na ushei hivi, tulipiga kambi Zanzibar na kubahatika kupata udadisi wa kinachoendelea. Zanzibar kunaonekana kuko shwari kwa nje nje lakini kwa ndani utapata kujuwa hasa nini kinaendelea.
Maelezo yafuatayo yatasaidia kutoa picha halisi kwa tahmini ya Mwandishi na kile...
Serikali ya Zanzibar imeanza kutoa vitambulisho vipya vya ukazi kwa wananchi wa Zanzibar
====
Uzinduzi wa Vitambulisho vipya vya Kieletroniki (SMART CARDS) vya Mzanzibar mkaazi.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akipokea Kitambulisho kipya cha...
NA RAJAB MKASABA, IKULU
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein, ameitaka Jumuiya ya Majaji na Mahakimu ya Nchi za Afrika Mashariki (EAMJA) kuhakikisha sheria zinatafsiriwa kutoka lugha ya Kiingereza kwenda lugha ya Kiswahili.
Alisema hatua hiyo...
Katika mazingira na suala muhimu ambalo linaisaidia sana CCM kuendelea kuwa madarakani ni ukomo wa Rais wa Tanzania na Rais wa Zanzibar kutokuisha mwaka mmoja/wakati mmoja kwa pamoja.
Ni ukweli kuwa ni vigumu sana katika chaguzi zetu za nchi za Afrika kuweza kumuondoa madarakani Rais anayetetea...
Kiukweli Rais wa Zanzibar Dr Shein ameifanya Zanzibar pawe mahali pa amani na salama kuishi.
Zanzibar ya Dr Shein utegemezi wa bajeti ya serikali kwa wahisani umepungua.
Miundo mbinu imeimarishwa ukiwemo ununuzi wa meli mpya ya mafuta
Wazee wote wanalipwa posho ya kila mwezi ili kujikimu...
KIJANA mmoja alietambulikana kwa jina la Noel Jengeni Mlilo mwenye umri 27, mkazi wa shehia ya Wawi wilaya ya Chakechake, na mwenyeji wa Mkoa wa Songwe Tanzania bara, amekutikana kichakani akiwa amefariki, shehia ya Mtuhaliwa wilaya ya Mkoani Pemba.
Akizungumza na mwandishi wa habari hizi kaka...
Mazingira ya maisha hapa Zanzibar kipindi hiki cha mfungo wa Ramadan kwa Wakristo ni magumu sana hasa kuhusu suala la chakula,kwa sisi ambao tuko kikazi huku na familia zetu ziko bara ni shida.
Mfano kupata chakula inabidi uende kwenye lile kanisa ambapo zamani kulikua na soko la watumwa...
Jipatie taarifa na maarifa mbalimbali kuhusu sekta ya miliki kuu kupita jarida hili.
Soma Jarida la The Darproperty bure, fuata link hii The Magazine(March 2019)
Heshima kwenu wakuu,
Kigugumizi cha nini baba?
Padri wa Kanisa Katoliki, Evaristus Mushi aliyefariki dunia baada ya kupigwa risasi na watu wasiojulikana wakati akiegesha gari kando na Kanisa la Mtoni mwaka 2013, rais Jakaya Kikwete katika salamu zake za rambirambi baada ya mauaji ya Padri...
Nimesikiliza hotuba ya Rais ya JPM akimshangaa Rais wa Zanzibar kuwa anasaini makaratasi ya mtu aliyekataa kumpa mkono siku ya mazishi ya Jumbe, na kusema kwake isingekuwa rahisi hivyo.
Nimejiuliza maswali mengi sana lakini mojawapo likawa ni Je stahiki za Maalim Seif ni za hisani ya rais...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.