Nahitaji manukato kutoka Zanzibar na maduka wanayouza

RAJABU MBELWA

New Member
Mar 10, 2020
1
2
Habari wana JF

Naomba kupata maelekezo jinsi ya kuanza kufanya biashara ya kununua perfume na manukato kutoka Zanzibar na kuuza Dar. mwenye kujua au uzoefu anielekeze maduka ya manukato na perfume yanapatikana wapi hapo Zanzibar na wanauza kwa kiasi gani, nauli ya Zanzibar mpaka Dar ni sh. ngapi na natakiwa kuwa na kiasi gani namaanisha mtaji ili kuanzisha biashara hii, pamoja na walengwa haswa au wateja niwa aina gani, nipo serious naomba msaada, ahsanteni:)
 
Zipo sehemu hapahapa Dar unaweza ukapata kwa bei ya jumla sawasawa na huko Zenji maana wanaouza ni watu kutoka huko huko huna haja ya kutumia nauli tena cha msingi ni kujua walengwa wako ni kina nani na biashara yako utaifanya vipi Mf frame,mtandaoni kukopesha aka na je ulishawahi kuifanya hii biashara
 
Ushauri huu uko vyema mkuu
 
Back
Top Bottom