yuko

YUKO was a Ukrainian group that combines folk and contemporary music.

View More On Wikipedia.org
  1. ward41

    JamiiForums Tanzania Wakati mchina anafanya majaribio ya ndege za jet, USA yuko mbioni kutuletea super sonic planes

    Kuna kitu humu mbeleni anataka kukifanya USA kwenye usafiri wa anga Shirika la anga la NASA limezindua ndege aina ya supersonic engine X59 na ni ya, abiria Hii ndege Ina speed zaidi ya sauti. Ni maboresho ya ndege aina ya Concorde zilizokuwa zinatumika huko nyuma. Hii ndege Ina uwezo mkubwa...
  2. T

    JamiiForums Tanzania Yuko wapi Andrew Chenge Mzee wa Vijisenti?

    Wanajamvi ni swali tu sijamuona muda mrefu mwanasheria nguli huyu si sehemu za furaha au misiba haonekani Anajua alipo atujuze.
  3. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Naoni yangu: Orodha ya wanasiasa bora wa muda wote nchini

    Haya ni maoni yangu binafsi kwa jinsi nilivyowaona na kuwasikia kwenye mambo yao mbalimbali waliyoyafanya kwenye siasa za Tanzania. Hii list inahusisha wanasiasa wa zamani na wa sasa, walio hai na waliotangulia mbele ya haki. Nimewaweka kulingana na ubora wao. Namba moja ina maana ndo bora...
  4. C

    JamiiForums Tanzania Yuko wapi jf member katoto kazuri

    Huyu member nna muda sijaona comments zake hapa jf. Namkumbuka kwa michango yake hapa jukwaani ila kwa sasa Kawa kimya.
  5. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Yuko wapi Benjamin Sitta, Meya wa Zamani wa Kinondoni?

    Ni swali tu jamani , huyu jamaa alikuwa Meya wa Kinondoni , ni mtoto wa Samuel Sitta aliyekuwa Spika wa Bunge la Tanzania . Baada ya ccm kuangukia pua 2015 , kwenye Halmashauri ya Kinondoni na UKAWA kutwaa madaraka , kukaundwa zengwe ili kuigawanya Halmashauri hiyo huku wakichomekwa wabunge wa...
  6. comte

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kwa maelezo ya Baba Mwita na kuwepo kwa kipindupindu jijini DSM RC yuko sahihi kutumia jeshi JWTZ

    RC, hana mamlaka ya kutoa AMRI kwa JWTZ. Kanuni za jeshi zinamtaka yeye (RC) kufanya maombi kwa fomu maalum kwa Waziri wa Ulinzi ili jeshi lije uraiani. Lakini, kuna masharti, kabla ya kupeleka ombi, ni lazima eneo husika liwe na FUJO (riot) au shughuli hatarishi ambapo jeshi hupelekwa KULINDA...
  7. Sildenafil Citrate

    JamiiForums Tanzania Uchunguzi: TB Joshua aliwanyanyasa na kuwabaka wafuasi wake

    Ushahidi wa unyanyasaji ulionea na mateso kutoka kwa mwanzilishi wa mojawapo ya makanisa makubwa ya kiinjili ya Kikristo duniani umefichuliwa na BBC. Makumi ya waumini wa zamani wa Kanisa la Synagogue Church of all Nations - watano Waingereza - wanadai ukatili, ikiwa ni pamoja na ubakaji na...
  8. chiembe

    JamiiForums Tanzania DAVOS, Switzerland: Rais wa Ukraine Zelensky akutana na kufanya mazungumzo na Rais Kagame wa Rwanda

    Tunaomba utulivu, huyu wakala wa mabeberu yuko na Kagame President Kagame met with President Volodymyr Zelensky and discussed the ongoing situation in Ukraine and efforts to resolve the conflict
  9. R

    JamiiForums Tanzania Huyu nguli wa sheria JF kwenye jukwaa la sheria yuko wapi: Dragoon

    Amepotea kabisa jukwaani na jukwaa alilo liasisi limekufa
  10. M

    JamiiForums Tanzania Lema yuko wapi?

    Tumezoea kusika uropokaji wa aliekuwa mbunge wa Arusha mjini kupitia mitandao ya kijamii na hata kwenye mikutano.Ni muda umepita bila ya kumsikia huyu jamaa.Binafsi naamini atakuwa na issues kwani si kawaida yake kukaa kimya.
  11. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Maneno kama haya ndiyo yananifanya nimdharau na kujiuliza kwanini yupo alipo sasa

    1. Naomba 2. Nadhani 3. Sijui 4. Jitahidini 5. Sikubaliani 6. Hela ipo 7. Nasikitika Ukikutana na Mtu yoyote anasema Maneno haya tajwa hapa juu jua tu kuwa hana akili (Upeo mdogo ), Mvivu Mvivu hata katika Kuongea na Kutembea na yuko hapo aliko kwa bahati mbaya mno.
  12. Kididimo

    JamiiForums Tanzania Mtaka hujui kusema Makonda yuko sahihi 100% kinakupunguzia ushawishi ndani na nje ya CCM? Ungekaa kimya ingefaa zaidi

    Mkuu wa Mkoa wa Njombe, kwenye kipindi cha Dakika 45 cha ITV, cha kila Jumatatu, kaonyesha misimamo yake. Kuwa, anapenda aone wananchi wana uelewa wa kutosha kuhusu maono ya Mama yetu Raisi. Na kuwa yeye (Mtaka) hukaa na viongozi wenzake kutafsiri na kutekeleza maono na matarajio ya Raisi kwa...
  13. sanalii

    JamiiForums Tanzania Nimepata mgeni yuko rafu sana

    1. Uchafu anaweka popote, anaweza kula embe kisha maganada akaacha hapo chini ndani yani akawa yuko comfortable kabisa. 2. Dawa ya meno anaminya popote tu. 3. Jagi la maji anakunywa kwa kushika lote na mmekaa wengi mnakula na glass zipo. 4. Inshort things are mess
  14. I

    JamiiForums Tanzania Serikali iache ushamba kwani ingetangaza makamu wa Rais Mpango yuko nje nini kingetokea?

    Huu ni ushamba kwa serikali inayojinasibu kuwa ni ya watu kufichaficha vitu ambavyo havistahili kufichwa! Kwani serikali ingetangaza kuwa Makamu wa Rais Dr. Mpango amesafiri kwenda nje ya nchi kutibiwa, au kupima afya au kusoma ingepungukiwa nini? Badala yake Kigogo amepata ujiko kwa kusambaza...
  15. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Wengi tulipoambiwa yuko kwa KAZI MAALUM hatukuelewa, ila kwa huu mtiririko hapa chini tutamwelewa vyema aliyetuambia hivyo

    KAZI MAALUM #1 (ULAYA) Mwambie Boss wako mwenye Machale ya Kukamatwa nasi atulipe Chetu haraka vinginevyo utakaa huku hata mwaka na Wajukuu zako Wanaokupenda walie mpaka Macho yao yawatumbuke sawa? KAZI MAALUM #2 (AFRIKA) Jengo Ndege Tai (JNT) ili kufunika hii Aibu kwa nchi na Taifa na...
  16. BICHWA KOMWE -

    JamiiForums Tanzania Nyani Ngabu yuko wapi?

    Huyu jamaa siku hizi yuko wapi?? Mzee wa mayai ya malkia, ni wachache sana humu wanaofikia akili ya yule jamaa. Super Genius. Wengine nao wamekuja humu wanajifanya fanya wachambuzi uchwara lakini wapi, nikiwaangalia hawafikii uzani wa Nyani Ngabu katika mizani ya kiakili. Nafikiri atakuwa...
  17. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa: Makamu wa Rais, Philip Mpango yuko nje kwa majukumu

    Kasim Majaliwa amewahakikishia Watanzania kuwa Makamu wa Rais Dkt Isdory Mpango ni mzima wa afya na yupo nje ya nchi kimajukumu. Waziri Mkuu amesema kuwa watanzaia waachane na ule mtandao unaosema maneno ya ajabuajabu na wasiwe wasiwasi wowote Kwa kuwa Makamu wa Rais Dk. Mpango ni mzima na...
  18. chiembe

    JamiiForums Tanzania Rais Samia yuko bize kujitengenezea "Augustino Mrema" wake kupitia Makonda

    Naona kabisa SSH anaenda kujipatia Augustino Mrema wake kwa kupitia Makonda. Utaratibu wa Mrema hauna tofauti na wa Makonda, anajijenga yeye binafsi, baadae Sasa ataamini yeye ndio yeye. Sasa itafikia muda anakuwa liability kwa CCM na Rais Samia sidhani kama ataweza kumdhibiti tena. CCM bado...
  19. chiembe

    JamiiForums Tanzania Kama Jackline Ntuyabalile angeachiwa IPP Media, ingekuwa imeshakufa, anajipost muda wote yuko Dubai kumbi za starehe

    Kweli mahakama inaona mbali, kama wangekubali huyu dada awe msimamizi wa mirathi na amiliki IPP Media, angekuwa ameshaimaliza. Muda wote yuko mahotelini Dubai, kwa asiyemjua anaweza kudhani anafanya kazi ya uhudumu hotelini. Haijulikani anakaa na watoto wake saa ngapi.
  20. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Kama Seleman Matola yuko Simba, Mtabadili kila kocha hata aje Pep Guardiola

    Si kwa nia mbaya maana nilisema hivi huko nyuma wakati anaondoka madevu simba na leo narudia tena kama matola bado yuko simba mtabadili kila aina ya kocha na hamtafanikiwa ...kama mlimpeleka shule aje kuwa kocha mkuu mtavuna mlichopanda naomba muweke hili kwenye kumbukumbu yaan akija yoyote...
Back
Top Bottom