yuko

YUKO was a Ukrainian group that combines folk and contemporary music.

View More On Wikipedia.org
  1. robinson crusoe

    JamiiForums Tanzania Yuko wapi Bashe na kilimo chake? 'DPWedi' kila wizara!

    Sakata la bandari limeibua yote nyuma ya mipango ya rais na waarabu. Bandari waarabu, Ngorongoro waarabu, na BBT ya bashe waarabu. Wakati tunapinga mipango ya Bashe kwa kuacha mipango ya wizara wengine walimuona ni star, ana maono kumbe yote hiyo ni mbwembwe kuwafurahisha waarabu ambao ndo...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Kamanda Sugu yuko wapi?

    Muda mrefu umepita sijamsikia Kamanda Sugu akizungumzia suala la Mkataba wa Bandari. Je ni mgonjwa?. Ni vema tukajua Kamanda yuko wapi na hali yake ikoje?.
  3. Mganguzi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mshangao Kenya: Spika ajikuta peke yake bungeni

    Siasa ya Kenya imeingia dosari kubwa sana, hali Kenya sio shwari kabisa. Leo hii spika amefika ndani ya jengo la Bunge nakujikuta pekee yake hakuna mbunge aliyehudhuria.
  4. R

    JamiiForums Tanzania Mbowe: Inashangaza mpaka Mkurugenzi wa Bandari anasema tunafanya kwa hasara na bado Mbarawa yuko ofisini

    Mbowe ameyasema katika mkutano wa CHADEMA na waandishi wa habari akieleza juu ya Maazimio ya Kamati Kuu juu ya DP World kwamba, katika watu wanaoamini kuwa anatakiwa kujiuzulu ni Mbarawa. Na kusema inashangaza mpaka Mkurugenzi wa bandari anasema jamani sisi tunafanya hasara sana, na bado Mbarawa...
  5. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Prof. Mbarawa azungumza kuhusu uwekezaji wa Bandari

    Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa anazungumza na Waandishi wa Habari, Jijini Dar es Salaam muda huu kuhusu uwekezaji wa Bandari. Mbarawa: Pamoja na Serikali kuendeleza juhudi za maboresho ya Bandari zetu, bado ufanisi katika utoaji huduma wa Bandari haujafikia viwango...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Zitto Zuberi Kabwe yuko wapi? Kweli akufaaye kwa dhiki ndiye rafiki

    Nimeshangazwa na ukimya wa hali ya juu wa Zuber Zitto Kabwe mtu aliyesifika kupambani haki za Watanzania kwa ujumla wao. Walioko karibu na huyu Kiongozi wa ACT wazalendo watujulishe. Huko aliko yuko salama? DP world!
  7. MIXOLOGIST

    JamiiForums Tanzania Rais Samia bado yupo kwenye njia sahihi

    Bila kupepesa macho, huyu mama ni visionary leader, anajua anachofanya. Ukifuatilia deliverables zake you will be shocked. Facts and data zinaonesha amefanya mambo mengi kwa muda mfupi, pengine kuliko mtangulizi wake. Hakika, she is composed and focused. Anatuonesha kwa vitendo namna sahihi ya...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Hivi bado Mkurugenzi Mtendaji wa wilaya ya Rorya mkoani Mara yuko ofisini baada ya kuudharau Mwenge wa Uhuru?

    Jana ktk taarifa ya habari ya jioni Channel Ten kiongozi wa mwenge wa uhuru kitaifa alilalamika kuwa mkurugenzi mtendaji wa wilaya ya Rorya alionesha dharau kwa mwenge wa uhuru, hakutaka kutoa ushirikiano wowote ikiwa ni pamoja na kukata kutoa documents kuhusu miradi mbalimbali iliyoko ktkt...
  9. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Rais Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete yuko wapi?

    Mzee wetu simsikii wala haonekani. Nimeuliza tu.
  10. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Kocha Nabi yuko overated, Kaizer Chief wamemstukia, kuna watu nyuma yake ndio wanambeba bila hao hamna kitu

    Kaizer Chief wanajua sana. Wakati wa anafanyiwa usaili alijigamba kuwa anaweza kuleta maajabu kilabuni, akaambiwa njo uanze kazi akaanza mara nije na Mayele na benchi langi lote,janaa wakamstukia kuwa hamna kocha hapa. Amin amin nawaambia bila Mayele na njemba fukani pale Yanga Nabi...
  11. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Rostam Aziz: Historia ya Dkt. Slaa haimpi uhalali wa kujifanya anajali maslahi ya Mtanzania. Kampuni zangu hazihusiki na uwekezaji wa DP World

    Mfanyabiashara mkubwa nchini Rostam Aziz amezungumza na waandishi wa habari Juni 26, 2023 ambapo ameeleza mambo mbalimbali ikiwemo sakata la bandari ya Dar na kuhusika kwake kwenye uwekezaji huo mkubwa. --- Juzi katika mdahalo pale hoteli ya Serena nilisema kuwa sihusiki na hili jambo (mkataba...
  12. D

    JamiiForums Tanzania Yuko wapi mamito Evelyn Salt wa Jf

    Wewe kiumbe uko wapi!
  13. D

    JamiiForums Tanzania Yuko wapi ndugu Mpwayungu Village mdau na Mtetezi wa Sekta ya Walimu Tanzania

    Huyu mdau nini kimempata ndani ya majuma mawili sasa hapatikani au na yeye kalambishwa asali!
  14. Superbug

    JamiiForums Tanzania Rais Samia yuko tested kila rais alipitia majaribu na tukavuka salama

    1. JULIUS KAMBARAGE NYERERE. Majaribu ya vita ya Kagera kukoswakoswa mapinduzi na hatimae uchumi kudorora miaka ya 80s. 2. ALI HASSAN MWINYI. Mabucha ya nguruwe wabunge wa G55 na vuguvugu la mabadiliko ya vyama vingi. 3. BENJAMIN WILLIUM MKAPA. Mauwaji ya mwembe chai almanusura vita ya...
  15. Pleasepast

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kuandika wosia

    Habarini za usiku wependwa Naomba msaada kwa anaejua ni utaratibu gani wa kufuata ili mtu aweze kuandika wosia aweze kugawanya mali zake na je.? Inawezekana kumrithisha mtoto wa kuanzia umri gani na uo wosia ukisha andikwa unatuzwa wapi na ikitokea alie andika amefariki walengwa wataupataje...
  16. N

    JamiiForums Tanzania Zanzibar kuendelea kunufaika na karafuu ya Morogoro, wakatazwa isiuzwe kwa ushindani, Waziri wa Kilimo, viwanda SMZ yuko Morogoro leo

    Juhudi za Mkoa wa Morogoro kuwakwamua wakulima wa karafuu kupata mnunuzi mwenye bei nzuri zimegonga mwamba baada ya kulazimishwa kuwa lazima karafuu inayozalishwa Morogoro basi iuzwe kwa SMZ ili wao wauze nje kwa bei kubwa zaidi. Kwa wasiojua, Morogoro vijijini wanazalisha karafuu nyingi kuliko...
  17. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Video: Makonda akitoa watu mapepo

    Msitoe lugha chafu tafadhali.
  18. F

    JamiiForums Tanzania Mke anatafutwa

    Kuna Mwanamke anatafutwa, tunaomba utusaidie kutuonesha alipojificha. Kama mnavyojua, safari ya kumtafuta mwenza wa maisha ina njia nyingi, na hakuna njia maalumu ndio maana nchi zilizoendelea wana mpaka dating sites zinazowaunganisha wenza. Kijana wetu anatafuta mwenza ama mke kwa njia...
  19. K

    JamiiForums Tanzania Yuko wapi Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Othman Masoud Othman?

    Ni kitambo kidogo tangu kiongozi huyu aonekane hadharani. Ni zaidi ya miezi karibu 7 Mhe. Othman hajaonekana kwenye tukio lolote la Kitaifa. Mfano ni hivi karibuni Masoud hakuwepo Dodoma katika Hafla ya Uzinduzi wa Ikulu ya Chamwino. Si hivyo tu, hata kwenye matukio makubwa ya Kisiasa visiwani...
  20. The Supreme Conqueror

    JamiiForums Tanzania Hili la Luaga Mpina ni pt2 ya Vita ya Musiba na Membe. Nani yuko nyuma ya pazia?

    Wakuu kumekua na sintofahamu nyingi juu ya sakata la madai ya wanakijiji kudai kutapeliwa ardhi yao na muwekezaji Mbunge wa kisesa Luaga Mpina kuhusu ardhi yenye Ukubwa wa ekari 1000. Mengi yanazungumzwa na mwisho lililoongeza mjadala ni kuwa Waziri wa Fedha Dr Mwigulu Nchemba ndiye Yuko nyuma...
Back
Top Bottom