Nyani Ngabu yuko wapi?

BICHWA KOMWE -

JF-Expert Member
Jul 21, 2022
4,695
10,221
Huyu jamaa siku hizi yuko wapi??

Mzee wa mayai ya malkia, ni wachache sana humu wanaofikia akili ya yule jamaa. Super Genius.

Wengine nao wamekuja humu wanajifanya fanya wachambuzi uchwara lakini wapi, nikiwaangalia hawafikii uzani wa Nyani Ngabu katika mizani ya kiakili.

Nafikiri atakuwa ameikimbia Jamiiforums kutokana na uvamizi wa kundi kubwa la MAKANJANJA na VISHOKA waliojaa humu siku hizi.

VISHOKA na MAKANJANJA hawakai zizi moja na watu wenye akili kubwa. Lazima mmoja atoroke.

Nimegundua kitu kimoja kwamba MAKANJANJA wana nguvu sana. Wakivamia eneo ni kama nzige.

Thanks to Maxence Melo, angalau sasa jukwaa linadhibitiwa kwa kiasi fulani na kwamba VISHOKA hawatambi kihivyo.

Tuendelee kukaza uzi, hawa nzige wakicharuka tumekwisha kama Facebook.

Nimemiss sana Kingereza cha Nyani Ngabu na Kaka ake Kiranga
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom