Kama Seleman Matola yuko Simba, Mtabadili kila kocha hata aje Pep Guardiola

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,969
22,161
Si kwa nia mbaya maana nilisema hivi huko nyuma wakati anaondoka madevu simba

na leo narudia tena kama matola bado yuko simba mtabadili kila aina ya kocha na hamtafanikiwa ...kama mlimpeleka shule aje kuwa kocha mkuu mtavuna mlichopanda

naomba muweke hili kwenye kumbukumbu yaan akija yoyote mpya na matola yuko pale mmeumia....

kila la heri mnyama
 
Una hoja usikilizwe....

Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
 
Kuna baadhi ya mambo simba haitaji hata kurudi shule una copy n paste kuna baadhi ya makapi lazima wakubali kuyaondoa klabuni kama kaseja katoka sembuse huyu na wenzie ...kuna wachezaji wamo kila mwaka wamo safisheni hawana viwango kila mtu anasema wanaachwa usajili ukija wamooo.....unajua msipo jaribu hata kuiga mtafanya level ya yanga ibaki ihefu pekee kama mtaani wanavyosema ..atutaki iwe hivyo jamani....safisheni wachezaj wa zamani wasio na uwezo wanaochezea majina futilia mbali futilia mbali matola simple
 
Viongozi wa Simba ni kama kenge hawasikii mpaka damu itoke. Wao wanapenda wazee ndio na hawataki mabadiliko. Walimsaji Striker Chilunda ila hawajawahi kumpa mechi.
 
Ina maana Matola ndio anawapeleka chaka viongozi kusajili wachezaji wabovu?

Hebu taja mbadala wa namba ya Shabalala ni nani? Pia, mbadala wa fullbacks ni nani?
 
Back
Top Bottom