Wakati mchina anafanya majaribio ya ndege za jet, USA yuko mbioni kutuletea super sonic planes

ward41

JF-Expert Member
Apr 3, 2022
397
1,395
Kuna kitu humu mbeleni anataka kukifanya USA kwenye usafiri wa anga

Shirika la anga la NASA limezindua ndege aina ya supersonic engine X59 na ni ya, abiria

Hii ndege Ina speed zaidi ya sauti.
Ni maboresho ya ndege aina ya Concorde zilizokuwa zinatumika huko nyuma.

Hii ndege Ina uwezo mkubwa Sana wa kusafiri muda mfupi kutoka sehemu moja hadi nyingine.

Kwasasahivi Ipo kwenye majaribio na shirika la anga la MAREKANI
( NASA).
91663_x59flying_004clockheedmartin_669961.jpg

x-59-takeoff.jpg
 
Kuna kitu humu mbeleni anataka kukifanya USA kwenye usafiri wa anga

Shirika la anga la NASA limezindua ndege aina ya supersonic engine X59 na ni ya, abiria

Hii ndege Ina speed zaidi ya sauti.
Ni maboresho ya ndege aina ya Concorde zilizokuwa zinatumika huko nyuma.

Hii ndege Ina uwezo mkubwa Sana wa kusafiri muda mfupi kutoka sehemu moja hadi nyingine.

Kwasasahivi Ipo kwenye majaribio na shirika la anga la MAREKANI
( NASA).
View attachment 2910126

View attachment 2910125
Mkuu kwani USA ndo kaanza?
Mbona concord imefanya kazi sana miaka hiyo mpaka walipoamua kuiground? Alikuwa mwingereza na mfaransa.
And by the way hufuatilii hata mchina ana project ya supersonic jet kwa ajili ya kusafirisha raia. Tafuta utapata maana unlike US, habari nyingi za wachina wabongo zimetuacha.
 
Supersonic? Hehe hiyo mbona imeshafanywa in the 70s. Hata Airwing ya TPDF ina supersonic jets.
 
hicho siyo kigezo kwamba sisi bado ni watoto. Thailand, Indonesia, Malaysia etc tumepata nao uhuru. SEMA SISI WAAFRIKA NI WENDAWAZIMU NA NYANI WALIOENDELEA KIDOGO TU UKILINGANISHA NA WALE WA PORINI.
afadhali Mimi mzungu. kwa hiyo nyie wa afrika ni manyani yaliyo changamka?
 
Kuna kitu humu mbeleni anataka kukifanya USA kwenye usafiri wa anga

Shirika la anga la NASA limezindua ndege aina ya supersonic engine X59 na ni ya, abiria

Hii ndege Ina speed zaidi ya sauti.
Ni maboresho ya ndege aina ya Concorde zilizokuwa zinatumika huko nyuma.

Hii ndege Ina uwezo mkubwa Sana wa kusafiri muda mfupi kutoka sehemu moja hadi nyingine.

Kwasasahivi Ipo kwenye majaribio na shirika la anga la MAREKANI
( NASA).
View attachment 2910126

View attachment 2910125
Amna kipia , ww unafikiri kwa nini hizo jeti zilisitishwa

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
 
hicho siyo kigezo kwamba sisi bado ni watoto. Thailand, Indonesia, Malaysia etc tumepata nao uhuru. SEMA SISI WAAFRIKA NI WENDAWAZIMU NA NYANI WALIOENDELEA KIDOGO TU UKILINGANISHA NA WALE WA PORINI.
Mtu kama saa 100 hata Mumpe miaka 2000 , atabaki hapo hapao kutembeza bakuli kufikiria huko nje waaru wana mahela saana

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
 
Kuna kitu humu mbeleni anataka kukifanya USA kwenye usafiri wa anga

Shirika la anga la NASA limezindua ndege aina ya supersonic engine X59 na ni ya, abiria

Hii ndege Ina speed zaidi ya sauti.
Ni maboresho ya ndege aina ya Concorde zilizokuwa zinatumika huko nyuma.

Hii ndege Ina uwezo mkubwa Sana wa kusafiri muda mfupi kutoka sehemu moja hadi nyingine.

Kwasasahivi Ipo kwenye majaribio na shirika la anga la MAREKANI
( NASA).
View attachment 2910126

View attachment 2910125
Wakati Mmarekani anataka kujaribu Supersonic flict
Wakati Mchina anataka kujaribu Jet Engine flight
Wakati huo Mtanzania mwenye akili na msomi anajitahidi kuwa CHAWA wa kisiasa apate ugali wake

Tuangalie sisi tupo katika nafasi ipi kwenye hayo mambio ya maendeleo. Tunaendelea kuwa na vyombo vinavyoua watu kwa sababu hawapo loyal kwa wanasiasa watawala badala ya kuondokana na watawala wasio na tija kwa maendeleo na mabadiliko mtambuka kwa nchi yetu.

Shame on you all (duh hata mimi pia)
 
Kuna kitu humu mbeleni anataka kukifanya USA kwenye usafiri wa anga

Shirika la anga la NASA limezindua ndege aina ya supersonic engine X59 na ni ya, abiria

Hii ndege Ina speed zaidi ya sauti.
Ni maboresho ya ndege aina ya Concorde zilizokuwa zinatumika huko nyuma.

Hii ndege Ina uwezo mkubwa Sana wa kusafiri muda mfupi kutoka sehemu moja hadi nyingine.

Kwasasahivi Ipo kwenye majaribio na shirika la anga la MAREKANI
( NASA).
View attachment 2910126

View attachment 2910125
hiyo tz haitatumika kwenye safari za ndani bila shaka, manake si ukute ikatumia dakika hata 20 kwenda mwanza to dsm. just curious, kama ina mwendo kuliko sauti?
 
This is for satisfying my curiosity mkuu. Hizo picha zinaonesha hizo ndege zenye supersonic engine kwaajili ya ndege za abiria?
 
hiyo tz haitatumika kwenye safari za ndani bila shaka, manake si ukute ikatumia dakika hata 20 kwenda mwanza to dsm. just curious, kama ina mwendo kuliko sauti?
Kwa Tanzania hatutweza kuzitumia kwa safari za ndani hizo supersonic planes. Labda tuwe nazo kwaajili ya kwenda mataifa ya nje tena yatakayokuwa na uwezo wa kuziaccomodate kuanzia ukubwa wa viwanja mpaka services zake.
Lakini mkuu kwa Hali tuliyonayo hii ya Aviation's Service in Tanzania na hali ya kiuchumi kiujumla tutaweza kumiliki hizo ndege kweli? Kama Airbus tu tunagwaya huko kwenye very advanced planes itakuwaje?😄
Binafsi naona tusikurupuke bali tuboreshe kwanza hivi tulivyonavyo kwanza.
 
Back
Top Bottom