youtube

  1. khomgodlove

    JamiiForums Tanzania Youtube inachukua asiliamia 30 kama income tax (withholdtax) ambayo sidhani kama inafika ama kurudi hapa nchini kwetu

    Youtube inachukua asiliamia 30 kama income tax (withholdtax) ambayo sidhani kama inafika ama kurudi hapa nchini kwetu. Mfano: wimbo mmja wa DIAMOND PLATNUMZ uliwahi kufikisha Milioni 100 za kitanzania asilimia 30 yake ni milioni 30 zote zinakwenda USA. Kungepatikana namna hata ya nchi...
  2. Labani og

    JamiiForums Tanzania Orodha ya Wasanii waliofanya vizuri YouTube mwezi Februari

    YouTube wametoa orodha ya wasanii waliofanya vizuri kwa kupata watazamaji wengi mwezi February. WCB ( wasafi ) .......+ NLM (next level music). Wameendelea kukiwasha Orodha ni Kama ifuatavyo: 1. Diamond Platinumz. 38.3 million 2. Rayvany 18.9 million 3. Zuchu 18.6 million 4. Harmonize 16...
  3. Kasomi

    JamiiForums Tanzania YouTube kuondoa Maudhui yanayosababisha taharuki kati ya Russia na Ukraine

    Mtandao wa YouTube unao milikiwa na Google umetoa tahadhari kwa wamiliki wa vituo vya YouTube watakao chapisha Maudhui yanayo Sababisha Taharuki Kati ya Russia na Ukraine. Mtandao huo utaziondoa video zote zenye kuleta uchochezi kati ya nchi hizo mbili. Video hizo ni pamoja na video zilizo...
  4. Kasomi

    JamiiForums Tanzania YouTube Yasitisha Uchumaji mapato (Monetisation) kwa YouTubers nchini Russia

    Kulingana na vuguvugu la Russia na Ukraine Mtandao wa YouTube unao milikiwa na Google umesitiza Uvunaji mapato kwenye nchi ya Urusi kipindi hiki mpaka hapo badae itakapojiridhisha. Kulingana na Sera za uchumaji wa mapato kwenye kituo cha YouTube(Google Monetisation policies for YouTubers)...
  5. Kasomi

    JamiiForums Tanzania Share experience yako; kati ya YouTube na Blogu ipi ni nzuri kwa Google Adsence?

    Wakuu salama? Mimi ningependa kufahamu kwa wajuzi kuwa kati ya Blogu au tovuti na YouTube ipi ukiunganiswa na Google Adsence inalipa vizuri? Yaani wapi unaweza earn Pesa kubwa kati ya YouTube na Blogu yaani YouTuber na Blogger nani anaweza faidika zaidi na Matangazo ya Google. Pia unaweza...
  6. Kasomi

    JamiiForums Tanzania YouTube imeingiza Faida ya Tsh. 19.9Trion kwa muda wa miezi 3

    Kampuni ya Alphabet ambayo inaimiliki Google na YouTube imetoa ripoti ya mauzo yake na faida ambayo imeingiza katika Q4 2021 (October, November na December). Alphabet imepata faida ya Dola Bilioni 75.3 sawa na Trilioni 174 Tshs. Hiyo ni jumla ya faida iliyopata katika biashara zake zote na...
  7. Kasomi

    JamiiForums Tanzania YouTube yatoa mipango ya kuongeza Faida kwa content creators

    Platform ya YouTube imetoa mipango yake katika kuongeza njia mpya za kutoa faida kwa Creators. YouTube imetaja list ya njia mpya za kupata faida katika YouTube. 𝗡𝗷𝗶𝗮 𝗺𝗽𝘆𝗮 𝗮𝗺𝗯𝗮𝘇𝗼 𝗬𝗼𝘂𝗧𝘂𝗯𝗲 𝗶𝗻𝗮𝘄𝗲𝗸𝗮 𝗶𝗹𝗶 𝗸𝘂𝘄𝗲𝘇𝗲𝘀𝗵𝗮 𝗖𝗿𝗲𝗮𝘁𝗼𝗿𝘀 𝗸𝘂𝗽𝗮𝘁𝗮 𝗳𝗮𝗶𝗱𝗮: ① Itaweka uwezo wa kuunganisha NFT na akaunti/channel ya...
  8. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Chaneli 15 za YouTube zinazoongoza kwa kutazamwa Tanzania. Diamond Platnumz azidi kukimbiza

    Orodha hii ni kwa mujibu wa mtandao wa Social Blade kwa kutazama idadi ya kutazamwa maudhui ya chaneli husika; 1. Diamond Platnumz – 1,665,769,709 2. Millard Ayo – 1,418,005,282 3. Global TV Online – 1,122,433,417 4. Rayvanny – 694,793,379 5. Harmonize – 683,915,867 6. Wasafi Media –...
  9. Binadamu Mtakatifu

    JamiiForums Tanzania Natafuta blog na youtube channel patner ambaye tutasaidiana kukuza na kuweka contect baada ya mwezi kuna mafanikio nitaongeza na kukupa 50% ya mapato

    Habari mimi ndugu yenu Binadamu Mtakatifu ni mmiliki wa channeli ya youtube na blogu hasa kilicho nileta hapa ni kuwa kazi hii ni ngumu kuifanya pekeyangu pia bado visitors ni wachache sana hivyo kama wewe ni kujana na ungependa kushirikiana na mimi njooo PM kuhusu nitakulipa nini hapa ninacho...
  10. Binadamu Mtakatifu

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa namna ya kupata copyright ya video ya youtube

    Wakuu vipi nimekuwa nikitengeneza video zangu kwenye pc sasa nataka kuweka youtube je nitapataje copyright ili kuzuia watu kucopy na kupaste. Ukinijuza fanya mimi ni kama mwenye 0 yani sina ujuzi wowote kuhusu copyright kwa anayejua tafadhali sana nijulishe ahsante
  11. B

    JamiiForums Tanzania Kulikoni mitandao ya Twitter na YouTube kutokuwa hewani?

    Kuelekea saa kumi na mbili leo, mitandao ya Twitter na YouTube imekumbwa na kwikwi. Haya mambo ya kuchaguliana kipi tusikilize au kipi tusione hali tumenunua bando na kulipia tozo zenu zote yanatoka wapi? Ama kwa hakika tunastahili maelezo kwa kuingilia starehe zetu.
  12. The Dictator

    JamiiForums Tanzania YouTube 'Sub Sahara': Wanamziki wenye subscribers wengi 2021 kwenye mtandao wa youtube.

    Hii Ndiyo Orodha Ya Mastaa Wa Muziki Afrika (Kusini Mwa Jangwa La Sahara) Wanaoongoza Kwa Wafuasi (Subscribers) Wengi Katika Mtandao Wa Youtube 1: diamondplatnumz 🇹🇿 - 6.03 Million 2: rayvanny 🇹🇿 - 3.46 Million 3: harmonize_tz 🇹🇿 - 2.96 Million 4: davido 🇳🇬 - 2.82 Million 5: fallyipupa01 🇨🇩...
  13. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Tabia ya wamiliki wa channel za youtube kuweka maneno ambayo mtu hajazugumza kwanini haipigiwi kelele

    - Uso kwa uso -Huwezi Amini -Atoboa siri Watupiana maneno Afichua mazito Yani unaweza kuta kichwa cha habari ni X ila ukianza kuangalia anachozungumza mtu ni Y. Pia picha zina editiwa ili kudanganya watu waminye hio video. YouTube ni ajira, kuna mfumo wa malipo na hili lipo wazi kabisa, kwa...
  14. JMisiru

    JamiiForums Tanzania 7 Simple Ways to Create YouTube Videos

    There are many ways to create videos for YouTube. The favorites ones include using a Flip camera or recording a PowerPoint presentation using Camtasia screen capture software. But there are many other ways, too. 1. Create videos with a pocket camcorder. The Flip video camera is a simple digital...
  15. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania TCRA mchukulieni hatua huyu Nabii Tito, channel yake ya YouTube inamdhihaki Yesu

    TCRA na vyombo husika mchukulieni hatua huyu nabii Tito channel yake youtube kaandika YESU ni shetani Hii ni hatari kwa jamii oneni wenyewe
  16. C

    JamiiForums Tanzania Wasanii waliotazamwa sana ndani ya mwezi wa kumi katika mtandao wa YouTube

    Hii Ndio List Ya Wasanii Waliotazamwa Zaidi Katika Mtandao Wa Youtube Kwa Mwezi Wa Kumi Kwa Mujibu Wa @chartdatatz 1. Diamond Platnumz - 33.6M 2. Rayvanny 20.9M 3. Alikiba 13.6M 4. Harmonize 11.8M 5. Zuchu 11.4M 6. Mbosso 11.3M 7. Lavalava 4.77M 8. Nandy 4.73M 9. Macvoice 3.1M 10. Marioo 2.9M
  17. Ferruccio Lamborghini

    JamiiForums Tanzania YouTube Hali ni Mbaya! Viewers kwa Wasanii Zimeshuka Kinoma

    TUNAFAHAMU kwamba katika ukanda wa Afrika, nchi ya Tanzania ndio ilikuwa inaongoza kwa kuwa na bei rahisi za mabando ya simu kuliko nchi yoyote hapa Afrika (Sub Saharan). Jambo hili liligeuka kuwa silaha kwa tasnia yetu ya muziki wa Bongo Fleva katika sura ya Bara la Afrika, ilikuwa rahisi...
  18. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Kwanini TBC wasifungue YouTube channel waweke nyimbo za zamani?

    Radio Tanzania/ TBC FM wao ndio Wana archive kubwa kabisa ya nyimbo za zamani, kwani bendi zote za muziki, vikundi vya taarab na kwaya vilirekodi kwenye studio za RTD. Kuna nyimbo nyingi sana hazipatikani YouTube wala sehemu yoyote Ile, hivyo Basi wapenzi wa muziki ya kwetu hatuna pa kulipata...
  19. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Kwa mara ya kwanza Youtube kumetulia, nashauri wasanii kutumia fursa ya huu utulivu ambao hautadumu

    Katika wiki hii naweza kusema ndio kipindi kilichopata utulivu mno kweye game la muziki tangu mwaka uanze. Yani katika kipicha hiki chote kulikuwa na vurugu kubwa sana huko youtube, huyu hata hajatrende vizuri mwengine ashaachia jiwe. Nadhani kwa sasa hu utulivu uwe fursa kwa wasanii. Goli...
  20. Kasomi

    JamiiForums Tanzania Historia ya mtandao wa YouTube

    Historia ya mtandao wa YouTube YouTube ilianzishwa na Chad Hurley, Steve Chen na Jawed Karim ambao awali wote walikuwa wafanyakazi wa PayPal. Hurley alisomea urasimu katika Chuo Kikuu cha Indiana ya Pennsylvania, huku Chen na Karim wakisomea kompyuta sayansi pamoja katika Chuo Kikuu cha...
Back
Top Bottom