youtube

  1. Sele Mkonje

    JamiiForums Tanzania Hongera Diamond kwa kuwa msanii wa Kwanza Afrika mashariki Kufikisha 1Bilion Views on Youtube

    Leo wakati nataka kuchek Quarantine ya Diamond nikajikuta nashuhudia maajabu na rekodi mpya ambayo Diamond Platnumz ameivunja. Tukio lake la kuweka rekodi hiyo limetokea dakika chache zilizopita. Diamond anafuatiwa na Millard ayo ambaye kwa sasa ana viewers M933 na huku King wa bongo Fuleva ana...
  2. Program Manager

    JamiiForums Tanzania Diamond Platnumz ang'ara kwenye jarida la Billboard kwa kufanya vizuri Youtube

    Mtandao maarufu wa kupanga charts za muziki duniani wa Billboard umeachia makala wakielezea namna ya kupata mafanikio kimataifa kwa kutumia mtandao wa Youtube huku wakimtolea mfano star wa muziki wa Tanzania @Diamondplatnumz Makala hiyo imeandikwa "Wanamuziki wa Marekani wanatafuta njia za...
  3. mfianchi

    JamiiForums Tanzania Youtube video downloader kwenye Macbook

    Wakuu kama kichwa kinavyojieleza nahitaji software ya kushushia video kwenye Youtube kwenye Macbook, ikiwa zipo zeye funguo tafadhali nishushie na funguo zake
  4. mkiluvya

    JamiiForums Tanzania Trump asaini sheria inayolenga Kuibana Mitandao Ya Kijamii Ikiwemo Twitter, Facebook na Youtube

    Rais Donald Trump wa Marekani jana Alhamisi alisaini Amri ya Utendaji (Executive Order on Preventing Online Censorship) inayolenga kuongeza uwezo wa serikali kusimamia na kuibana mitandao ya kijamii. Amri hiyo inalenga kampuni zilizopewa ulinzi wa kisheria kupitia kifungu cha 230 cha Sheria ya...
  5. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Almasi inang'aa: Diamond yumo katika video tisa (9) zinazotrend Tanzania Youtube

  6. Mshumaa_Tz

    JamiiForums Tanzania YouTube sahivi ndo kipimo cha muziki mzuri

    Naomba nisiwe Mnafiki YouTube sio kipimo cha muziki Mzuri. Naona watu kila siku wanalilia views kuliko kurequest ngoma kweny TV na radio . Nyimbo ikifanikiwa kupenya kwenye radio za bongo na nje , pia na Television hapo hata sisi tusiokuwa na smart phone nyimbo Tutailewa ...na msanii atapata...
  7. Mkaruka

    JamiiForums Tanzania USHAHIDI: Kumbe Wasafi wanaboost YouTube Channels zao kupata views. Sijui tambo huwa zinatoka wapi wakati siyo natural trending !!!

    Ninaweka kama kumbukumbu tu !! Kwa wale wasanii wengine wanaotegemea kuweka tu video zao YouTube na kutegemea kila kitu kiende basi ndio hivyo wenzenu wanalipia !!!
  8. Nyenyere

    JamiiForums Tanzania Kuhusu sheria ya kuweka video YOUTUBE

    Wakuu, Naomba kujuzwa kuhusu sheria iliyowekwa hapa Tanzania ya kupost content kwenye youtube channel. Je, ni content za aina gani ambazo zinapaswa kulipiwa hiyo tshs 1,000,000 au labda ni channel yoyote ile mradi tu unafungua youtube? Hii ni njia mbaya kabisa ya kuzuia vijana kujipatia...
  9. HELA

    JamiiForums Tanzania Muwekezaji/mshirika anahitajika

    Salamu wakuu, Muwekezaji au mshirika anahitajika kwenye biashara ya televisheni mtandaoni kwenye jukwaa la YouTube. Kituo kipo tayari chenye watazamaji zaidi ya laki moja na nusu waliojiandikisha. Kinachohitajika 1. Uzalishaji wa maudhui -Vifaa na nguvu kazi 2. Leseni ya Mamlaka ya mawasiliano...
  10. Forgotten

    JamiiForums Tanzania Hizi YouTube channel zinanimalizia bundle langu.

    .
  11. H

    JamiiForums Tanzania Diamond azawadiwa certificate na YouTube baada ya kufikisha 3m subcriber

    Msanii wa kimataifa kutoka Tanzania Diamond Platnumz aweka record ya kuwa most African artist mwenye subcribers wengi baada ya kufikisha million 3 na hii imefanya uongozi wa YouTube kumpa certificate Kama zawadi. Nampa pongezi kijana wa Tandale wazungu wanamsemo "Work hard pay off"
  12. BabaDesi

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kupakua videos za YouTube | How to download YouTube videos

    ===== UPDATED: July 2021 This wikiHow teaches you how to download YouTube videos to your computer, phone, or tablet. Keep in mind that while downloading most YouTube videos isn't illegal, it does violate Google's terms of service if you use third-party tools. Using VLC Player on a Computer 1...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Askofu Zachary Kakobe yupo live YouTube kwenye Ibada ya Krismas

    Ni mahubiri ya ibada ya krismas
  14. NairobiWalker

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania After stealing a Kenyan song, Harmonize's Uno has been pulled from Youtube

    Tanzanians on social media have reacted differently after Harmonize's hit song 'Uno' was deleted from YouTube. On Wednesday, largest video sharing platform in the world, YouTube, pulled down Harmonize's song after Kenyan producer Magix Enga alleged he was the originator of the song's beats...
  15. beth

    JamiiForums Tanzania Youtube ni fursa nzuri ya kujiajiri

    Platform ya Youtube ikitumika vizuri, inaweza kuwa full time job kabisa. Kwa wenzetu Marekani, Uingereza na hata barani Asia, hii (vlogging na blogging) ni kazi mtu kajiajiri kabisa na inalipa vizri sana endapo tu utakuwa serious na namba zako yaani subscribers na views zitakuwa zimeshiba...
  16. NguoYaSikuKuu

    JamiiForums Tanzania YouTube channels zinauzwa

    Nauza YouTube channels :) subscribers : zaidi ya 1500 + watching time hours : zaidi ya 1500 + UPDATE (HAZIUZWII TENA ZIMEISHA)
Back
Top Bottom