youtube

  1. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Aliyetumia chaneli yake katika YouTube kumzushia kifo Dkt. Harrison Mwakyembe, akamatwa

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, limemkamata Tazarn Alfan Mwambengo (27), mkazi wa Ukonga, ambae anatuhumiwa kusambaza taarifa za uongo kuhusu kifo cha Dkt. Harrison Mwakyembe kupitia chaneli ya televisheni ya mtandaoni jambo ambalo si la kweli. Katika chaneli hiyo ya mtandao...
  2. Tengeneza Njia

    JamiiForums Tanzania Influencers wa Tanzania kwenye Youtube wapo wapi?

    Wadau! Nimekaa na ku-observe kwa muda sasa huu upande wa Youtube ukiachana na wasanii na chaneli maarufu za habari na udaku kupata views nyingi Youtube na hata watu hawa kutumika kama mabalozi wa makampuni kadhaa - hii huwaingizia pesa. Youtubers wapi wengine ambao wapo tunawaona kweli...
  3. Kainetics

    JamiiForums Tanzania Muongozo Kamili wa kuanzisha na kuendesha Youtube Channel

    Habari JamiiForums, natumai sote tu wazima. Wengi kwenye stage moja au nyingine washaingiwa na wazo la kuanzisha channel yao binafsi ya Youtube either kama hobbie au namna moja wapo ya kuingiza pesa. Kati ya wote ambao hupatwa na hili wazo, karibia asilimia 60% huendelea na kufungua channel...
  4. sinza pazuri

    JamiiForums Tanzania Wimbo wa Rayvanny "Tetema" waondolewa YouTube

    Wimbo wa msanii wa WCB Wasafi ambaye afanyi vizuri kwa sasa Rayvanny umeondolewa YouTube na producer wa wimbo huo S2kizzy. NB: wasanii watambue muziki ni biashara waache kukosa shukrani pale inapofikia zamu yao nao kutoa kipato kwa muwekezaji. Utetezi wa kusema mimi ni mtoto nimekuwa nataka...
  5. Kine Master

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nikiingia YouTube sioni sehemu ya kutolea maoni

    Wakuu habari za muda huu poleni kwa mihangaiko ya kila siku katika jukumu la kujenga familia na taifa kwa ujumla. Moja kwa moja niende kwenye swali langu naombeni msaada najua hapa kuna manguli walioiva kwenye techs sasa ni siku ya 7. Kila siku nikiingia youtube sioni option ya kutoa maoni au...
  6. D

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kusolve tatizo la youtube adsense

    Naomba msaada wa mtu anayeweza kusolve ilo tatizo kila nikijiunga inakataa wanajibu hivyo kama nilivyotuma. Asanteni
  7. Boss Man

    JamiiForums Tanzania Views za YouTube zinahesabiwaje? Video ina Views Billion 10 na Dunia ina watu 7.9B

    Duniani tupo watu 7.9B lakini Baby Shark Ina views Billion 10 (10B) Hawa watu billion 1.2 wametoka wapi[emoji848] ni wakina nani hao wame view? Hili swala limegawa watu kwenye makundi mawili na kila kundi likiamini wao ndio wako sahihi na wanachokiongea na hadi Sasa Mimi Binafsi sijajua jibu...
  8. D

    JamiiForums Tanzania Uza youtube channel yako ambayo hutumii

    Kama una youtube channel yako yenye subscribers wengi na hutumii tuwasiliane,nitainunua
  9. Jamesmonroe

    JamiiForums Tanzania Msaada: Siwezi kutazama video za YouTube kwenye kivinjari cha Firefox

    Habari marafiki. Hii ni post yangu ya kwanza hapa. Ninatuma hii kwa suala na kivinjari changu cha Firefox. Kwanza kabisa, ningependa kueleza kuwa mimi ni mwanafunzi wa usimamizi wa biashara ambaye hutumia muda wake mwingi kusoma mtandaoni. Kama matokeo, itabidi nitazame mafunzo ya youtube...
  10. apakak

    JamiiForums Tanzania Youtube Adsense inahitajika

    Habari wakuu, ninatafuta Youtube adsense,mwenye nayo tuwasiliane PM
  11. snipa

    JamiiForums Tanzania Account za Wasanii YouTube bongo zinasemekana kudukuliwa, kwanini Sio kweli ?

    Kumekuwa na ongezo la account youtube kusemekana zimedukuliwa , hii inatokana na kuwa. Wasanii wanashare logins zao na website za boosters, na ndipo Hao jamaa at the end wanapodai wanadeliver hiyo service, wao wanashare contents zao kama streaming za crypto. Ndio mwisho wa siku account...
  12. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Channel ya YouTube ya Diamond Platnumz yafutwa (Terminated)

    Siku mbili tangu akaunti ya YouTube ya Diamond Platnumz iliporipotiwa kudukuliwa, akaunti hiyo imeondolewa na YouTube wenyewe kwa kilichoandikwa kuwa mtumiaji amekiuka masharti ya mtandao huo. Inadaiwa kuwa baada ya kudukuliwa uongozi wa msanii huyo wa Bongo Fleva ulifanikiwa kuirejesha...
  13. britanicca

    JamiiForums Tanzania Mnao Copy Nyuzi zangu na kupeleka Twitter na YouTube Mjue nami nipo huko basi toeni Credit Mnachanganya watu

    Kuna Nyuzi zangu Kama nne nimeona watu kama sita wana copy na kutumia, 1.Nilileta ule wa MOSCOW na DR SHIKA watu wakaenda kuifanya Simulizi YouTube wakapata Viewes bila hata kuni acknowledge...
  14. Cannabis

    JamiiForums Tanzania Ibraah wa Konde Gang aweka rekodi ya kihistoria YouTube

    Msanii Ibraah kutoka Konde Gang ameweka rekodi ya kihistoria baada ya kuweka video ya wimbo wake mpya uitwao "rara". Wimbo huo umeweka rekodi ya kupata views zaidi ya laki tatu chini ya dakika moja. Rekodi hiyo inasemekana ni ya kwanza kutokea kwa msanii wa Afrika Mashariki na kati. Mpaka...
  15. Makanyaga

    JamiiForums Tanzania Wahusika: Tunaomba album ya nyimbo za ujio wa Baba Mtakatifu Yohanne II Septemba 1990 mtuwekee youtube

    Kwa watumishi wa Mungu wanaohusika kwa namna yoyote ile; Tunaomba Album hiyo iliyotoka mwaka 1990 baada ya ujio wa Baba Mtakatifu Yohanne Paul II, nyimbo zake mtuwekee kwenye youtube. We are terribly missing the album! Kwa kipindi hiki kwenye youtube kuna wimbo mmoja tu wa album hiyo, ambao...
  16. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Movie gani kali uliicheki youtube na sisi tuicheki?

    Youtube kuna full movies nyingi sana. Nyingi za zamani na chache mpya. Ni wewe na bando lako tu, na uzuri youtube haili bando kivile. Mi napenda kutembelea channel inaitwa Wu Tang collection kuangalia movie za zamani za kichina. Hizo ndiyo huangalia sana.
  17. khomgodlove

    JamiiForums Tanzania Youtube inachukua asiliamia 30 kama income tax (withholdtax) ambayo sidhani kama inafika ama kurudi hapa nchini kwetu

    Youtube inachukua asiliamia 30 kama income tax (withholdtax) ambayo sidhani kama inafika ama kurudi hapa nchini kwetu. Mfano: wimbo mmja wa DIAMOND PLATNUMZ uliwahi kufikisha Milioni 100 za kitanzania asilimia 30 yake ni milioni 30 zote zinakwenda USA. Kungepatikana namna hata ya nchi...
  18. Labani og

    JamiiForums Tanzania Orodha ya Wasanii waliofanya vizuri YouTube mwezi Februari

    YouTube wametoa orodha ya wasanii waliofanya vizuri kwa kupata watazamaji wengi mwezi February. WCB ( wasafi ) .......+ NLM (next level music). Wameendelea kukiwasha Orodha ni Kama ifuatavyo: 1. Diamond Platinumz. 38.3 million 2. Rayvany 18.9 million 3. Zuchu 18.6 million 4. Harmonize 16...
  19. Kasomi

    JamiiForums Tanzania YouTube kuondoa Maudhui yanayosababisha taharuki kati ya Russia na Ukraine

    Mtandao wa YouTube unao milikiwa na Google umetoa tahadhari kwa wamiliki wa vituo vya YouTube watakao chapisha Maudhui yanayo Sababisha Taharuki Kati ya Russia na Ukraine. Mtandao huo utaziondoa video zote zenye kuleta uchochezi kati ya nchi hizo mbili. Video hizo ni pamoja na video zilizo...
  20. Kasomi

    JamiiForums Tanzania YouTube Yasitisha Uchumaji mapato (Monetisation) kwa YouTubers nchini Russia

    Kulingana na vuguvugu la Russia na Ukraine Mtandao wa YouTube unao milikiwa na Google umesitiza Uvunaji mapato kwenye nchi ya Urusi kipindi hiki mpaka hapo badae itakapojiridhisha. Kulingana na Sera za uchumaji wa mapato kwenye kituo cha YouTube(Google Monetisation policies for YouTubers)...
Back
Top Bottom