Hii Ndio List Ya Wasanii Wenye Wafuasi (Subscribers) Wengi Zaidi Kwenye Mtandao Wa YouTube

Chaos Master

JF-Expert Member
Jul 7, 2021
636
1,304
Hii Ndio List Ya Wasanii Wenye Wafuasi (Subscribers) Wengi Zaidi Kwenye Mtandao Wa YouTube

1. #DIAMOND 5.44M
2. #RAYVANNY 3.03
3. #HARMONIZE 2.68M
4. #MBOSSO 1.71M
5. #ZUCHU 1.44M
6. #ALIKIBA 1.03M
7. #LAVALAVA 1.01M
8. #NANDY 847K
9.#ASLAY 805K
10. #ROMA 442K

CC @chartdatatz
 
Wasanii wa mziki au?

Na ni mziki gani?

Maana ata joti nae msanii
 
#ROMA Ameandika..........''Sio Kwa Ubaya, Na Sina Nia Mbaya Kwa Mashabiki Wetu Wa #HIPHOP Nauliza Tu, Ni Kwamba Mashabiki Wengi Wa HipHop Hawana SmartPhone,Ni Wana #Viswaswadu Tu Au?🤔

Mbona HipHop Ndio Muziki Wenye Content Kubwa, Impact Kubwa, Na Tuna Wafuasi Wengi Mitaani!INAKUWAJE WANATUMEZA HAWA?👆 Tatizo Ni Sisi Wasanii? Au Mashabiki Zetu?''
 
Hii Ndio List Ya Wasanii Wenye Wafuasi (Subscribers) Wengi Zaidi Kwenye Mtandao Wa YouTube

1. #DIAMOND 5.44M
2. #RAYVANNY 3.03
3. #HARMONIZE 2.68M
4. #MBOSSO 1.71M
5. #ZUCHU 1.44M
6. #ALIKIBA 1.03M
7. #LAVALAVA 1.01M
8. #NANDY 847K
9.#ASLAY 805K
10. #ROMA 442K

CC @chartdatatz
Hii list ni batili, simuoni Dj DON NALIMISON a.k.a Deogratius Kisandu msanii mkali kuliko Michael Jackson
 
Back
Top Bottom