Konde Gang wananunua viewers au ndio Ibra mkali?

Mad Max

JF-Expert Member
Oct 21, 2010
18,474
47,581
Nimeona Ibra ametoa video ya wimbo Jipinde, YouTube masaa 16 yaliyopita views Mil 1 hadi sasa (Saa 5 mchana tar 19-08).

Hizo views Mil 1 vijana wa WCB Mbosso na Rayvanny wametumia week nzima kuitafuta.

IMG_20210819_115305.jpg
 
Kitu tayari 😂😂

walianza na sandakalawe nikaona huenda labda watu wameikubali,

Ikatilewa ngoma ya killy views milioni 1 ndani ya siku ila ipo trending namba 12 hapo nikajua huu ushakua mchezo.

Naona nae ibra kaamua kusafiria nyota.

Nae alikiba alionja kidogo kwenye kazi yake ya jealous, Mi views kibao ila yupo chini ya simba mwenye views za kawaida ila original
 
Kununua views sio rahisi kihivyo na ni gharama sana kiukwel,ila ninachoshangaa wasanii wa usafini ikiwa views mil 1 ndani siku moja kawaida,ila akiwa msanii mwningne kanunua views why?..halafu kumbuka dogo kafanya timing ya kuachia nyimbo(kipindi ambacho hakuna hit song inayosumbua)....kuwa trending ni kuwa inaangaliwa sana tz,vp kama inaangaliwa sana nchi zingne kuliko tz?
 
Hawa vijana wa wcb ndio wanaponishangaza hapo sasa daah.....

Mziki mgumu sana huu
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom