Najaribu kuingia YouTube lakini inagoma, kama nusu saa iliyopita nilikuwa naipata.
Kuna yeyote anapata tatizo kama langu?
Natumia Mtandao wa Tigo
PIA SOMA
= >...
Zangu ni
1. Thoughty2 - Hii channel ni bomba sana sana, ina information ya mambomengi kuanzia history, technology, crime and investigation na kadhalika. Jamaa mwenye channel ni Mwingereza na anachekesha kweli jinsi anavyokuwa ana narate. Yani hachoshi anafanya complicated topics zinakuwa...
Channel ya Youtube ya msanii Ibraah wa Konde gang imefutwa (Terminated) inasemekana kuna vitu amekiuka ikiwemo copyright na wataalamu wa mitandao wanasema account ikishakuwa Terminated hakuna uwezekano wakuilidisha tena . Ingekuwa imehackiwa wangeiludisha ila kuwa Terminated dogo inabidi aanze upya.
Muda huu naangalia ACT-Wazalendo wako kila sehemu Live YouTube. CHADEMA hakuna kitu. Clips fupi fupii na za hovyo. Na hata Jana ilikuwa hivyo hivyo Arusha. Wiki iliyopita, Mbagala na Segerea same.
Mimi CCM lakini napenda kumuona Lissu, na ntampigia Kura.
CHADEMA ni chama kikubwa, badilikeni...
Most popular of the videos is the song 'Yope remix' where he featured Innos' B from Congo, which has so far gained some 106million views today.
Diamond platnumz mimi kama shabiki yako mkubwa ninakupa pongezi...
Naona teknolojia inataka kuipiga kumbo sheria yetu iliyokuwa inadhibiti traditional media-magazeti-tv-redio. Hizi ilikuwa rahisi, unapiga pini tu wote kimya.
Lakini sasa teknolojia inataka kuleta mchezo wa paka na panya,tunakaba huku, teknolojia inaleta hiki,unakaba hiki, inaleta hiki, ila...
Kusema ukweli tokea Lissu arudi, anzia mkutano wa kamati kuu na mkutano mkuu. Nilifuatilia matangazo Mwananchi digital kila Lissu akiongea wakiona anaelekea kumsema Magufuli wanaanza kupunguza sauti na mwisho wanafinyia sauti ndani kabisa.
Leo sasa kituko nilikuwa naangalia Millard Ayo yaani...
Kwa kweli ni kichefuchefu, watu wanafanya promo kama hawana wazazi au ndugu, mbaya zaidi wana promote Sodoma na Gomora na vitoto sijui walikuja kufanya kazi za ndani wakaasi? Manake ni zaidi ya huyo anayewasimamia (mkuu wa mashetani) Hebu fuatilieni hii channel ya Ophoro Tube.
Kwa kweli ni...
Habarini,
Kwa wale ambao wamekuwa YouTuber wanaweza kuwa wanafahamu shughuli iliyopo katika kuhakikisha wanakamilisha mchakato wa kufikisha watch hours 4000 jinsi ambavyo si mchakato mdogo ikiwa ndio kwanza unaanza na hauna mbinu za kuwezesha channel yako kutazamwa na watu wengi, lakini pia...
Nadhani kila moja jukwaa hili anajua youtube wanalipa pesa kwa videos zako unazokubali kuwawekea matangazo yao.
Hakuna kipimo kimoja ama kilichokuwa fixed kujua malipo ni kiasi gani kwa views kadhaa ila ukweli ni kwamba pesa ipo.
Sasa naombeni wadau tupeane idea za niche gani ambayo wabongo...
Karibu wiki nzima bunge lilikuwa linajadili bajeti. Mbunge Zitto Kabwe hakuonekana bungeni hata siku moja kuchangia mawazo. Sasa kaibuka na comedy ya hotuba ya kuchambua bajeti YouTube. Kesho kaitisha press conference eti kufanya uchambuzi wa bajeti.
Hivi anajitambua? Mbunge uache shughuli nyeti...
MASWALI YALIYOULIZWA NA WADAU KUHUSU MADA HII
Habari ndugu zangi ,
Kama kichwa kinavyouliza hapo , ningependa kujua ni kwa namna gani kupata subscribers wengi na viewers wengi kwenye you tube , kunaweza kukunufaisha mmiliki...
Tafadhali kama kuna mwenye majibu , ushuhuda, uzoefu au elimu yoyote...
Mtandao wa YouTube umejizolea umaarufu kwa kuwa kituo na jukwaa kuu la taarifa na burudani kwa njia ya picha mjongeo (Videos)
Aidha, kwa nyakati tofauti watumiaji wake wamekuwa wakikerwa na mlolongo wa matangazo kila wanapofuatilia ua kutazama video kupitia YouTube
Mbinu rahisi ya kuzia...
Leo wakati nataka kuchek Quarantine ya Diamond nikajikuta nashuhudia maajabu na rekodi mpya ambayo Diamond Platnumz ameivunja.
Tukio lake la kuweka rekodi hiyo limetokea dakika chache zilizopita. Diamond anafuatiwa na Millard ayo ambaye kwa sasa ana viewers M933 na huku King wa bongo Fuleva ana...
Mtandao maarufu wa kupanga charts za muziki duniani wa Billboard umeachia makala wakielezea namna ya kupata mafanikio kimataifa kwa kutumia mtandao wa Youtube huku wakimtolea mfano star wa muziki wa Tanzania @Diamondplatnumz
Makala hiyo imeandikwa "Wanamuziki wa Marekani wanatafuta njia za...
Wakuu kama kichwa kinavyojieleza nahitaji software ya kushushia video kwenye Youtube kwenye Macbook, ikiwa zipo zeye funguo tafadhali nishushie na funguo zake
Rais Donald Trump wa Marekani jana Alhamisi alisaini Amri ya Utendaji (Executive Order on Preventing Online Censorship) inayolenga kuongeza uwezo wa serikali kusimamia na kuibana mitandao ya kijamii. Amri hiyo inalenga kampuni zilizopewa ulinzi wa kisheria kupitia kifungu cha 230 cha Sheria ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.