Ikiwa leo zimebaki siku 90 kumaliza mwaka 2021, ikiwa pia imetimia robo tatu ya mwaka, kuna video nyingi za muziki wa Bongofleva zimefanikiwa kutazamwa zaidi kwenye mtandao wa YouTube kwa kipindi hicho.
Baadhi ya video hizo ni:
1. Sukari - Zuchu
Video ya wimbo huu iliyotoka Januari 30, 2021...
Baadhi ya key zilizopo kwenye keyboard ya computer hua ni Shortcut kwenye YouTube.
Hivyo ukiwa unatumia computer kuna baadhi ya key unaweza zitumia kama mbadala wa kipanya.
Baadhi ya shortcuts hizo ni;
1- kusimamisha video inayo play kwenye YouTube bonyeza Back space hiyo inatumika kama ku...
Mtandao wa YouTube unao milikiwa na Google waja na YouTube story.
Youtube story ni kipengele cha kumruhusu mtumiaji wa YouTube mwenye account yaani youtuber kuweka hadithi kama ilivyo mitandao mbalimbali ya kijamii mfano Facebook na Instagram wao pia wanatumia Facebook story au instagram story...
Katika hali ya kushtusha Leo 7/9/2021 majira ya kuanzia saa 5 na nusu, mitandao maarufu ya kijamii Twitter na YouTube haipatikani bila VPN.
Mtumiaji atalazimika kuwasha VPN ili kuendelea kufurahia kutumia mitandao hiyo. Mitandao hiyo siku za karibuni imekuwa ikitumika kama platform ya chama...
Mtandao wa Youtube Jumatano umesema umeondoa kwenye mtandao wake zaidi ya video millioni moja za habari hatari za kupotosha kuhusu virusi vya corona, tangu kutokea kwa hilo mwaka iliyopita.
Taarifa ya mtandao huo unaomilikiwa na kampuni ya Google, inajiri wakati mitandao ya kijamii ikishutumiwa...
Nimeona Ibra ametoa video ya wimbo Jipinde, YouTube masaa 16 yaliyopita views Mil 1 hadi sasa (Saa 5 mchana tar 19-08).
Hizo views Mil 1 vijana wa WCB Mbosso na Rayvanny wametumia week nzima kuitafuta.
Hii Ndio List Ya Wasanii Wenye Wafuasi (Subscribers) Wengi Zaidi Kwenye Mtandao Wa YouTube
1. #DIAMOND 5.44M
2. #RAYVANNY 3.03
3. #HARMONIZE 2.68M
4. #MBOSSO 1.71M
5. #ZUCHU 1.44M
6. #ALIKIBA 1.03M
7. #LAVALAVA 1.01M
8. #NANDY 847K
9.#ASLAY 805K
10. #ROMA 442K
CC @chartdatatz
Ulimwengu umebadilika, hatuwezi kukataa kuwa teknolojia imebadilisha maisha yetu, kwa namna ambayo ni chanya na hasi pia. Siku hizi vitu ambavyo wazazi wetu hawakuwaza kama chanzo cha kipato imekuwa chanzo cha kipato kwetu, na kwa hali ilivyo ya ugumu wa ajira na wahitimu kuwa wengi tumejikuta...
Nilokuwa na pitia YouTube kuna channel kadhaa raia wa nchi zingine wanalalamika kuhusiana na kodi ambayo Marekani imepitisha ya 30% kwakuwa YouTube ni kampuni ya "kimarekani".
hivyo basi kuqnzia sasa YouTube channel creator watakuwa wanalazimika kulipa kiasi hiko cha kodi kwa asalimia hizo...
Ulimwengu umebadilika, hatuwezi kukataa kuwa teknolojia imebadilisha maisha yetu. Siku hizi vitu ambavyo wazazi wetu hawakuwahi kuota kuwa vingekuwa vyanzo vya fedha, vimekuwa vyanzo vya kipato kwetu, na hali ilivyo ya ugumu wa ajira na huku wahitimu ni wengi, tumejikuta kuwa inatubidi tutafute...
Zifahamu Biashara Zinazolipa Zaidi Mtandaoni.
Biashara hizi pia zinakuja na changamoto zake hivyo ni vizuri kuchagua unayoiweza
Linapokuja swala la biashara mtandaoni ni wazi kuwa kila mtu ana upeo wake pamoja na uzoefu unaomsaidia kupata pesa mtandaoni, lakini pia kufanya biashara mtandaoni...
Wasafi Fm kupitia ukurasa wao wa instagram waliweka maneno ya msanii kutoka Nigeria ambaye alikuwa anasema kuwa wasanii waache kununua viewers wa youtube na akasisitiza kuwa anawambia wasanii wengine sio wanigeria maana wa uko Nigeria awawezi kununua viewers wa Youtube.
Kwenye hili sikubaliani...
Imekuwa shughuli pevu kwa king (mfakme) kupata taji la namba 1 huko youtube
Hapo wiki mbilizilizopita zuchu alimuwekea kauzibe king kiba, Ndomboloo ikashindwa kukamata namba moja
Saizi kaachia salute lakini wapi, kuna uwezekano mkubwa wa zuchu kushika namba mbili.
Njooni tujadili kupanda kwa viewers wa nyimbo zake , je ni kweli ananunua viewers.
Nyimbo yake ya sandakalawe ilikuwa na viewers 400k baada ya masaa machache ikawa na viewers 1.5 m
Nazijua fika takwimu za mitandao ya kijamii na Twitter ndo inaongoza, ila kama tukiangalia engagement ya mambo yanayowahusu basi Twitter ni ya mwisho na kama inatija yeyote basi ni kuwajaza Kiburi na huenda mkapopoteza ushawishi wenu kabisa ndani ya miaka mitatu ijayo.
Ukienda kutazama post...
Wakuu , ningependa kufahamu huko mlipo kama mnaipata youtube. Naona wadau mbali mbali wanalalamika haifunguki, na nimethibitisha ila ukiweka VPN inafunguka kama kawaida.
Ni nini kinaendelea ?
baadhi yetu tulikuwa na matumaini makubwa juu ya video hii kuleta tikisiko na tetemeko huko youtube ila naona masaa 6 yamepita sasa videi haipi hata kumi bora huko youtube.
upande wa simba yule anaembiwa atulize mzuka ili na wengine wapate ahueni mbugani naona simba amekataa ushauri, video tatu...
Jamani naombani msaada hivi nikitaka kuconnect AdSense to YouTube channel nitalazimika niwe na website au hata nikitumia blog yenye Blogspot nayo itakaa poa.
VITA YA VIEWERS NA TRENDING KWENYE YOU TUBE.
Baada ya Ali Kiba kuachia nyimbo yake ya Ndomboro na nyimbo hiyo kutrend kuanzia audio, dance akiwa na mwanae pia video yenyewe sasa official Zuchu naye kafuata ubunifu kama huo wa KINGKIBA wakuachia audio, dance akiwa na madancer wake ampapo baadae...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.