youtube

  1. teac kapex

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa namna ya kuunganisha watumiaji wa Youtube wakati video ikiendelea

    Naomba nisaidiwe ni njia gani wanazotumia, mfano wakati kuna tukio fulani linaendelea utakuta watu wengine wanaangalia tukio hilo LIVE ni nini kinatakiwa kuwepo? kwa mfano nikiwa Kanisani na ibada inaendelea nataka watu wengine waone ibada hiyo LIVE kupitia youtube je ni vifaa gani...
  2. beth

    JamiiForums Tanzania Urusi yatishia kupunguza kasi ya Google

    Urusi imetishia kupunguza kasi ya Google ikiwa itashindwa kufuta kile ambacho Taifa hilo linaita ni maudhui yanayovunja Sheria huku Mamlaka ikitoa saa 24 kwa video zinazohusiana na Dawa za Kulevya na vurugu kuondolewa. Kampuni hiyo pia umeshutumiwa kuminya Mtandao wa YouTube kwa Vyombo vya...
  3. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Mtu anaweza kununua views, comments, likes na subscribers. Zijue sababu na vikwazo

    Nimekuwa nikishangaa sana kiasi kufikia mpaka kuona aibu kwamba naishi na jamii ambayo ipo nyuma sana kwenye maswala ya teknolojia. Haya mambo ya kununua youtube views katika ulmwengu huu yapo tangu zaidi ya miaka 10 lakini inatia aibu kwamba hata baadhi ya wasomi wameuwa wabishi, Watu kununu...
  4. Kasomi

    JamiiForums Tanzania JF ingekuwa YouTube

    Kama JF ingekuwa kama YouTube ili kuvutia wasomaji hivi ndivyo nyuzi zingesomeka. 1- Zulu man with some power na miminimkulimaakachekasana waomba kufupishwa majina yao. 2- beaf la Bujibuji na The Icebreaker laingiliwa na ndege JOHN 3- Mshana Jr akutwa na ungo kwenye nyumba ya SHIMBA YA BUYENZE...
  5. Mstahiki Mea

    JamiiForums Tanzania Wasanii mnaoibukia kulikoni? YouTube ni hovyo sasa

    WASANII MNAOIBUKIA KULIKONI? KWANI YOUTUBE NI HIVYO SASA 😨 Sikatai kuwa hata mchicha na mbuyu vilianza sawa, lakini Huu mtindo wakuomba sub 4 sub au kuomba views Na subscribe inbox kama utawafikisha pahali! Niukweli mchungu lakini muupekee hivyo hivyo. Kuna madhara makubwa yakumwomba mtu...
  6. Kasomi

    JamiiForums Tanzania YouTube Yafuta viewers kwenye wimbo wa Harmonize

    Mtandao wa YouTube wenye makao makuu yake Marekani. Umefuta baadhi ya viewers kwenye wimbo wa ATTITUDE wa msanii Harmonize aliyo mshirikisha Msanii wa Zamani H. Baba pamoja na msanii wa Lumba kutoka nchini Congo Awilo Longomba. Utaratibu wa kufuta Viewers hua upo katika mtandao wa YouTube...
  7. nagG

    JamiiForums Tanzania Emmanuel tv youtube channel imefungwa, saidia kuirudisha

    Kama ni mfuatiliaji wa Emmanuel Tv kwa maombi na mahubiri ya Prophet Tb Joshua utakua unaifaham channel pendwa ya Emmanuel Tv youtube channel kwani watu hupata maombi na mahubiri kupitia channel hii, hivi karibuni youtube imeifungia channel hii kwa sababu zisizo za msingi hivyo basi unahitajika...
  8. Tz boy 4tino

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania East African musicians with most YouTube Subscribers

    East African music industry.
  9. Binadamu Mtakatifu

    JamiiForums Tanzania Natafuta blog and youtube channel partner

    Hi nimetengeneza blog na youtube channel yake na Android app ya blog nahitaji partner wa kifanya nae kazi ya kuiendeleza kwa faida ya 50/50 ila bado aijaanza kuingiza mapato kwa sasa link ya blog iihapo na soon nitanunua domain name mpya www.supersoundtz.blogspot.com njoo Pm tuyajenge sitozi pesa
  10. Shadow7

    JamiiForums Tanzania Diamond Mfalme wa Youtube kwa wasanii Kusini mwa Jangwa la Sahara, aweka rekodi nyingine

    Msanii wa Bongo Fleva Diamond Platnumz amepiga hatua nyingine kubwa katika kazi yake ya muziki. Diamond kwa jina halisi Naseeb Abdul amekuwa mwanamuziki wa kwanza kusini mwa jangwa la sahara kupata subscriber milioni tano katika mtandao wa Youtube, kupitia chaneli yake ya youtube. Mbali na...
  11. Tanzania Tech

    JamiiForums Tanzania YouTube Tax kwa Creator (Wenye Channel) Nje ya USA

    Naona kama bado hakuna mtu anafahamu kuhusu ili so nimeona nianzishe uzi kuhusu ili ili kusudi watu wote wafahamu kuhusu mabadiliko mapya yanayokuja kwenye mtandao wa YouTube. Kama wewe ni mmoja wa watu wenye channel na upo nje ya marekani basi hii ina kuhusu kwa asilimia 100. Kuanzia mwezi wa...
  12. Haitham Kim

    JamiiForums Tanzania Wimbo wangu mpya kwa ajili ya John Pombe Magufuli unapatikana YouTube kwenye channel yangu HAITHAM KIM

    Watanzania Tunakulilia Baba 😭 @haithamkim X @wyse_tz Official Video is out ‼️
  13. Haitham Kim

    JamiiForums Tanzania Wimbo Wangu Maalumu kwaajili ya John Pombe Magufuli unapatikana YouTube kwenye channel yangu HAITHAM KIM

    Watanzania Tunakulilia Baba 😭 @haithamkim X @wyse_tz Official Video is out ‼️
  14. Sam Gidori

    JamiiForums Tanzania Unaishiwa bando haraka? Fahamu namna ya kudhibiti matumizi yako ya data mtandaoni

    Umeshawahi kuwa mhanga wa kifurushi chako kuisha kabla haujakusudia kiishe? Pengine umekuwa ukilalamika kuwa baadhi ya mitandao inakumalizia data zako, na hii inaweza kusababishwa na kutofahamu kiwango cha data kinachotumika kwa matumizi ya kawaida mtandaoni. Si rahisi kuweka makadirio ya moja...
  15. pelezicr

    JamiiForums Tanzania Fuatilia KONGAMANO LA MITIBIASHARA LIVE kupitia YouTube na Zoom

    Bofya hapa kuingia YouTube Pia kama unaweza kujiunga moja kwa moja kwenye majadiliano bofya hapa chini kujiunga na ZOOM Join our Cloud HD Video Meeting
  16. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Rais Biden aweka rekodi mpya ya kupata dislikes nyingi, Youtube wakamatwa wakizipunguza, comments zazimwa

    Katika muhula huu, Rais Biden ameweka rekodi yake mpya ya aina yake isiyo na mpinzani kwa kuifanya channel ya youtube ya Ikulu ya Marekani kupata dislikes nyingi kutoka kwa wananchi pale kila video inapopandishwa tangu aingie madarakani. Mbaya zaidi ni kwamba Youtube walichunguzwa na...
  17. kali linux

    JamiiForums Tanzania Kwa nini youtube channels kubwa za Tanzania zinaombaomba misaada? Je YouTube hawalipi?

    Kiufupi kabisa kama umetengeneza youtube channel baada ya 2015 na bado haujaanza kuingiza hela kafanye kitu kingine tu coz hela ya YouTube channel ni ngumu mno kwa sasa. Hii imesababishwa na kukazwa kwa terms zao. Wale mnaodhan kina millard wanaingiza hela ndefu kupitia youtube ads nadhan...
  18. Slowly

    JamiiForums Tanzania Njaa Kali ama ni nini : Wasanii kuweka mpaka Video za matembezi kwenye accnt zao za YouTube

    Hili Jambo linanishangaza Sana , sijaona wasanii wengine hasa wa nje , wakiweka video tofaut na official music kwenye official accnt zao za YouTube , huku Tz ni fujo tupu , unakuta msanii anaoga bafuni anajirekodi anaweka kwenye accnt yake ya YouTube ..... Huyo Zuchu sasa ni hamna kitu , wimbo...
  19. mathsjery

    JamiiForums Tanzania Kwanini mnawanyanyapaa wanao share Chanel zao za youtube?

    Utasikia sema unataka viewers, hivi ukikaa kimya unapata shida gani? Watu wanapambana wapate pesa ya kula wewe unaponda, vipi kama angekuwa ndugu yako unaemfahamu ungenena hivyo? Wacheni watu wapambane na hali zao maana hujui wanayopitia. Nb: acheni majungu Fang rekebisha title kwenye neno...
  20. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Huduma za Google, kama Gmail na YouTube zimeonekana kusumbua kwa baadhi ya nchi ikiwemo Tanzania na India

    Mtandao wa TechCrunch umeripoti kuwa huduma zinazotolewa na google kusumbua kwa baadhi ya nchi hasa nchi za Ulaya, Uingereza na India. Huduma za kampuni ya Google kama Gmail na Youtube zimeonekana kutofanya kazi. Hata hivyo imeripotiwa kuwa google wapo katika harakati za kurudisha mtandao huo...
Back
Top Bottom