YouTube 'Sub Sahara': Wanamziki wenye subscribers wengi 2021 kwenye mtandao wa youtube.

I am Groot

JF-Expert Member
Jul 20, 2018
3,732
10,035
Hii Ndiyo Orodha Ya Mastaa Wa Muziki Afrika (Kusini Mwa Jangwa La Sahara) Wanaoongoza Kwa Wafuasi (Subscribers) Wengi Katika Mtandao Wa Youtube

1: diamondplatnumz 🇹🇿 - 6.03 Million

2: rayvanny 🇹🇿 - 3.46 Million

3: harmonize_tz 🇹🇿 - 2.96 Million

4: davido 🇳🇬 - 2.82 Million

5: fallyipupa01 🇨🇩 - 2.65 Million

6: 2niteflavour 🇳🇬 - 2.4 Million

7: ckay_yo 🇳🇬 - 2.33 Million

8: burnaboygram 🇳🇬 - 2.28 Million

9: wizkidayo 🇳🇬 - 2.21 Million

10: teknomiles 🇳🇬 - 1.93 Million

Source: youtube.
 
Aliyejaza 02 arena yupo chini huko ila wabongo tunapenda sana mitandao taifa linaenda pabaya sana tukija kushtuka tumeshachelewa.
 
Ndio, ila hii sio count ya kucheki video (views), ni count ya ‘followers’ .
Nafahamu, lakini mtu ili asubscribe inakuwa aingie youtube, aone video , akipendezwa anasubscribe kabisa. Hamna mtu anaingia youtube eti kwenda kusubscribe. Sasa basi, na hivi vifurushi vya bajeti!! Mbona lipo wazi.
 
Nafahamu, lakini mtu ili asubscribe inakuwa aingie youtube, aone video , akipendezwa anasubscribe kabisa. Hamna mtu anaingia youtube eti kwenda kusubscribe. Sasa basi, na hivi vifurushi vya bajeti!! Mbona lipo wazi.
Mimi huwa nasubscribe baada ya kuona kwenye king’amuzi.., kama ilivyo kwa wengine wengi, ili siku nyingine akitoa video nzuri niweze kupata notification, na kama nina bando, niweze kuangalia
 
Back
Top Bottom