Emmanuel tv youtube channel imefungwa, saidia kuirudisha

nagG

JF-Expert Member
Oct 26, 2015
277
258
Kama ni mfuatiliaji wa Emmanuel Tv kwa maombi na mahubiri ya Prophet Tb Joshua utakua unaifaham channel pendwa ya Emmanuel Tv youtube channel kwani watu hupata maombi na mahubiri kupitia channel hii, hivi karibuni youtube imeifungia channel hii kwa sababu zisizo za msingi hivyo basi unahitajika kuandika malalamiko yako katika page za youtube na instagram hata twitter kuishurutisha youtube kurudisha channel hii kwani ni msaada mkubwa kwa watu hasa kipindi hiki cha COVID-19
IMPORTANT ANNOUNCEMENT: Emmanuel TV YouTube Channel Suspension!

Emmanuel TV’s mission is to share the love of God with everyone - irrespective of race or religion - and we strongly oppose all forms of hate speech! We have had a long and fruitful relationship with @youtube and believe this decision was made in haste. We appreciate your prayers and support as we are making every effort to appeal this decision and see the channel restored.

WHAT YOU CAN DO:
Good Christians are good citizens.
  • On YouTube, post comments with your concerns about this issue.
  • On Facebook, raise your concerns about this issue on YouTube
  • On Twitter, tweet your concerns about this issue to @TeamYouTube
  • On Instagram, share your concerns about this issue @youtube
Please refer to our channel URL - https://www.youtube.com/channel/UCYPyAh4PaRbaTTXwGP_XmzA - when writing comments.

TT.PNG
 
View attachment 1753363
Nyie mnatafuta sifa za kijinga
 
Huko ukaya gayism imetawala kwa hiyo wakiona watu wana waletea habari za kikombozi wa imani wana kengeuka. Gayism pale kwa Biden, zipo hotel mwanaume huruhusiwi kuingiaa na mwanamke yaan kama. Ni wanaume rijali unaingia pekee yako tu ili uende ukawanyuke ma gay. Hapa inabidi tusimame kuiombea dunia na hawa youtube washenzi pia
 
Huko ukaya gayism imetawala kwaa hiyo wakiona watu wana waletea habari za kikombozi wa imani wana kengeuka. Gayism pale kwa Biden, zipo hotel mwanaume huruhusiwi kuingiaa na mwanamke yaannkama.niwannaume rijali unaingia pekee yako tu ili uende ukawanyuke ma gay. Hapa inabidi tusimame kuiombea dunia na hawa youtube washenzi pia
kinachoshangaza katika channel zote za kijinga zinazotakiwa kufungwa wameona emmanuel tv ndio inafaa kufungwa? huu ni ushetani
 
Kwahiyo wewe hutaki kutuambia hizo sababu ni zipi ili sisi tujue kama ni za msingi au la? Ila unataka tulalamike tu kwa jambo tusilolijua? Hivi unatuchukuliaje?
sababu ya kuombea watu wapone COVID 19 kwa neno la Mungu, wakati wao wanataka wauze vacine
 
waifunge tu. Hawa wanatumika kutia upofu akili za watu weusi na kupotosha. Nani alikudanganya utaombewa upone covid na huyo nabii anayedaiwa roho kibao za watu? Mbona tunapenda miujiza hivi? Tuache kumjaribu Mungu.
 
sababu ya kuombea watu wapone COVID 19 kwa neno la Mungu, wakati wao wanataka wauze vacine
Simple kabisa unaona hapa umetoa sababu yani?

Alafu unakuta nae mtu anakuja kufata mkumbu anatoka uko nje anatangaza kabisa hooo tv imefungwa kisa alikuwa anaponesha corona... Ndo yale yale ya Madagasca na dawa yao..

Hebu Africa tuamkeni na hivi vilevi vya dini bana..

Sipingi why wamefunga ila umetoa pointless sana ambayo hujashawish mtu kuyaamini usemayo..

Jitahidi kutoka nje ya mihemko, utapokea kila jambo na kuona sawa tuu
 
Kwahiyo wewe hutaki kutuambia hizo sababu ni zipi ili sisi tujue kama ni za msingi au la? Ila unataka tulalamike tu kwa jambo tusilolijua? Hivi unatuchukuliaje?
Watu wa Mungu, waliokuwa na obsession na huyo mtu, watakuja na sababu zao za msingi kwao na hata kama inamaanisha kuvunja vigezo na masharti vya wenye channel.

Everyday is Saturday................................:cool:
 
Sijui mna nini yaani walokole hv huwa mnalishwa nini? Yaani kweli utibiwe korona kupitia television?
 
Kama ni mfuatiliaji wa Emmanuel Tv kwa maombi na mahubiri ya Prophet Tb Joshua utakua unaifaham channel pendwa ya Emmanuel Tv youtube channel kwani watu hupata maombi na mahubiri kupitia channel hii, hivi karibuni youtube imeifungia channel hii kwa sababu zisizo za msingi hivyo basi unahitajika kuandika malalamiko yako katika page za youtube na instagram hata twitter kuishurutisha youtube kurudisha channel hii kwani ni msaada mkubwa kwa watu hasa kipindi hiki cha COVID-19
IMPORTANT ANNOUNCEMENT: Emmanuel TV YouTube Channel Suspension!

Emmanuel TV’s mission is to share the love of God with everyone - irrespective of race or religion - and we strongly oppose all forms of hate speech! We have had a long and fruitful relationship with @youtube and believe this decision was made in haste. We appreciate your prayers and support as we are making every effort to appeal this decision and see the channel restored.

WHAT YOU CAN DO:
Good Christians are good citizens.
  • On YouTube, post comments with your concerns about this issue.
  • On Facebook, raise your concerns about this issue on YouTube
  • On Twitter, tweet your concerns about this issue to @TeamYouTube
  • On Instagram, share your concerns about this issue @youtube
Please refer to our channel URL - https://www.youtube.com/channel/UCYPyAh4PaRbaTTXwGP_XmzA - when writing comments.

View attachment 1753363

Hizo sababu zisizo za msingi ni zipi, ili tuanzie hapo kupigania ili ifunguliwe! Lazima kuna mshikeli hadi wakafungiwa! Haiwezekani wafungiwe hivi hivi tu! Kwa hiyo tusiingie kichwa kichwa hapa kama moto wa mabua unaowaka dakika mbili tatu na kuzimika. Lazima tuwe na subira ili tujue chanzo cha kufungiwa. Kuendelea kutoa malalamiko kwenye mitandao iliyotajwa bila kujua kiini cha argument kunaweza kusababisha tukanaswa pia na kufungiwa. Ngoja acheze mwenyewe mechi zake maana mimi najua hawa jamaa wakikufungia kwenye mitandao yao huchomoki, labda uunde mtandao wako, na hawa hawana mkubwa wala mdogo. Mradi tu ukikiuka masharti yao wanakuniga, mwuulizeni Donald Trump kilichompata! Hadi leo anaisikia tweeter kwa watu!
 
Back
Top Bottom