Huko ulipo unaipata youtube ?

Cannabis

JF-Expert Member
Jan 20, 2014
8,937
25,279
Wakuu , ningependa kufahamu huko mlipo kama mnaipata youtube. Naona wadau mbali mbali wanalalamika haifunguki, na nimethibitisha ila ukiweka VPN inafunguka kama kawaida.

Ni nini kinaendelea ?
 
Wakuu , ningependa kufahamu huko mlipo kama mnaipata youtube. Naona wadau mbali mbali wanalalamika haifunguki, na nimethibitisha ila ukiweka VPN inafunguka kama kawaida.

Ni nini kinaendelea ?

Uko sahihi, ni Giza!

Mamwela watakuwa wana test mitambo.

Eti wanatuhurumia, tusipate katiba mpya!
 
Mama ameanza kutucharaza bakora ?

Tutaelewana tu. Mazungumzo ni mmoja baada ya mwingine.

Alisema nasi katusikia. Maoni yake hayakubaliki.

Tokea hapo moja hili tunaona tusubiri uthibitisho. Hadi kitakapotokota kabisa ndipo chakula kitakopowiva!

We are very determined!
 
Labda ana test mitambo tusubiri tamko la tcra vinginevyo tunadai fudia hii Mitandao. Wengine tunanunua bando kuangalia mambo ya akina Nalimison tu. Hivyo wametusababishia usumbufu mkubwa.
Hizi ishu mzee mwenzangu unakuwa kama mgeni, huwa hazitolewi tamko...ndio imeisha hiyo🤣
 
Kweli nimejaribu inazunguka tu haifunguki , labda kuna technical problem , let wait and see!
 
Hizi ishu mzee mwenzangu unakuwa kama mgeni, huwa hazitolewi tamko...ndio imeisha hiyo🤣

Sasa hivi mahakama ziko huru. Hizi si enzi za aliyekwenda.

Tunawauliza TCRA. Tunamwuliza mkurugenzi Kuwe. Anawajibu wa kutupa mwongozo.

Kawaacha hivi ni kufuga tabia mbaya zisizokubalika. Pana day kubwa la fidia hawa.

Tega masikio labda waseme walikuwa wana test mitambo ambalo pia halituhusu.
 
Back
Top Bottom