Ndombolo na saluti zote zimeshindwa kuwa namba moja youtube trending, tatizo nini?

sky soldier

JF-Expert Member
Mar 30, 2020
5,408
19,032
Imekuwa shughuli pevu kwa king (mfakme) kupata taji la namba 1 huko youtube

Hapo wiki mbilizilizopita zuchu alimuwekea kauzibe king kiba, Ndomboloo ikashindwa kukamata namba moja

Saizi kaachia salute lakini wapi, kuna uwezekano mkubwa wa zuchu kushika namba mbili.

1625318771712.png
 
Kama unaelewa vizuri neno Trending huwezi shangaa kwa nini zuchu ni trending no.1 yaani mpaka kamshusha Boss wake anayefahamika duniani nzima.

Kwanzaa trending video YouTube huwa zinakuwa updated kila baada ya dakika 15 ampapo kila baada ya huu muda utakuta kuna video imepanda nafasi imemantain nafasi ile Ile au imeshuka nafasi. Na kwenye kufanya haya kuna vigezo vinatumiwa na kuna kigezo kingine ambacho kinatumiwa ambacho ni kama kina kura ya vetokwenye upande wa msanii kigezo hicho ni msanii gani ambaye ni popular kati ya wasanii wotewaliotoa nyimbo zao youtube na hikindoo kigezo ambacho zuchu umeona mpaka amemshusha Diamond kwenye trending no 1.

Yaani kwa kifupileo hii Alikiba , Diamond,Zuchu watoe nyimbo kwa wakati mmoja hapa Tz , Zuchu lazima atawakalisha wote hao wawili maana kwa Tanzania ndoo popular right now kwahio swala la trending lina vigezo vyake
 
Yani Views za Mmakonde zinavyopanda inashangaza na kufukilisha sana, kuhusu uimara ya hiyo platform ya youtube,. Ndo maana wasanii wakubwa wa mbele wanaweka ngoma hata hawapigi promo kwamba kaview youtube..
 
kipindi chote watu wanasema kuhusu kununua viewers, nilikuwa nakataa. Kumbe mimi ndio nilikuwa mshamba wa smartphone. Leo nimejionea mwenyewe kumbe hizi mambo zinawezekana.
 
Viva harmo, jana nilistuka kutoka view 380k hadi 1.9m gafla 3.8m tranding, like na dislike zimesimama sema dogo anapambana kiboya sana
 
Yani Views za Mmakonde zinavyopanda inashangaza na kufukilisha sana, kuhusu uimara ya hiyo platform ya youtube,. Ndo maana wasanii wakubwa wa mbele wanaweka ngoma hata hawapigi promo kwamba kaview youtube..
Walishatoka huko, watu wana platforms mpya sana wanaweka na ku promote ngoma.. Africa kwetu ndio bado watu wanachachawa na views kwamba ukiwa na views nyingi youtube we ndio bora. Kwa ma views ya Mondi angeshashinda hata Grammy achilia kuwa nominated..
 
Imekuwa shughuli pevu kwa king (mfakme) kupata taji la namba 1 huko youtube

Hapo wiki mbilizilizopita zuchu alimuwekea kauzibe king kiba, Ndomboloo ikashindwa kukamata namba moja

Saizi kaachia salute lakini wapi, kuna uwezekano mkubwa wa zuchu kushika namba mbili.

View attachment 1838933

hamorminse yuko namba 7 na ana viewers wengi kuliko wote hao

angalia comments sa ali kiba almost mara tatu za diamond

nenda pia digital platform zinginez mwanzo wa mwisho wa diamond ndio huo

hakutegemea hili, hata wewe umeanzisha uzi unajifariji maana faraja ni kuwa no.1 kumbe wenzako wwnaangalia nguvu ya huyu imetokew wapi? wapenzi wake ni

Ali kiba ana subscriber laki tisa, kwenye video yake ana comment 21k

diamond ana subscriber 3m, kwenye wimbo wake ana comment 9.8k

haujaona nani kachokwa? nani katoa mbovu?

Kibakuli, kiba atasumbua sana tu
 
😂 😂

ukiona video ina ma views na ma comments kibao alafu haijakamata hata namba moja ujue kuna michezo michafu ya kuzinunua inafanyika na ndio maana harmonize na kiba hawajagusa namba moja, youtube inaangalia vitu original tu ndio maana wcb wanapokezana vijiti ile namba 1.

ila huu mziki huu, 😂 baada ya Diamond kutrend namba 1 kwa siku 4 kweli hio nafasi ndio achukue zuchu 😂 kaka zake kina kiba hawaamini wanachokiona
 
hamorminse yuko namba 7 na ana viewers wengi kuliko wote hao

angalia comments sa ali kiba almost mara tatu za diamond

nenda pia digital platform zinginez mwanzo wa mwisho wa diamond ndio huo

hakutegemea hili, hata wewe umeanzisha uzi unajifariji maana faraja ni kuwa no.1 kumbe wenzako wwnaangalia nguvu ya huyu imetokew wapi? wapenzi wake ni

Ali kiba ana subscriber laki tisa, kwenye video yake ana comment 21k

diamond ana subscriber 3m, kwenye wimbo wake ana comment 9.8k

haujaona nani kachokwa? nani katoa mbovu?

Kibakuli, kiba atasumbua sana tu
Msanii anasumbua miaka miwili hata International shows zenye hapati
, kaenda Burundi kule dec 2020 kapwiyanga hata alichofanya haki eleweki .

Sadala pamoja na Lockdown hii still bado watu wanamuhutaji ,endeleni kujifariji Sadala ana show DRC na Gambia achana na zile tano alizo zifanya mwanzo mwa mwaka.
Screenshot_20210704-072727_Chrome.jpg
Screenshot_20210703-220900_Instagram.jpg
 
Sasa mimi nina swali la kijinga.. Kama mtu anaweza akanunua viewers inashindikana vipi kufanya muamala na na hapo kwenye trending..
 
Back
Top Bottom