Wasanii mnaoibukia kulikoni? YouTube ni hovyo sasa

Newbies

JF-Expert Member
Jul 13, 2018
1,448
2,111
WASANII MNAOIBUKIA KULIKONI? KWANI YOUTUBE NI HIVYO SASA 😨

Sikatai kuwa hata mchicha na mbuyu vilianza sawa, lakini Huu mtindo wakuomba sub 4 sub au kuomba views Na subscribe inbox kama utawafikisha pahali! Niukweli mchungu lakini muupekee hivyo hivyo. Kuna madhara makubwa yakumwomba mtu subscribe channel yako. Yes kasubscribe Leo kwakukuonea huruma Je kesho ataangalia ki2 Tena.

Au Ndio imepita hiyo😢 ipo hivi lengo la mtu kuamua kusubsribe maana yake kavutiwa Na maudhui Na hangependa apitwe Na chochote kingine utakachopost tena. Subscribe yakuomba inbox haiwez kukufikisha popote kwa kuwa mtu anaweza kusubsribe na asirudi kuangalia ulichopost tena😨

Au Ndio mmeambiwa YouTube kuna mihela 🤓 Ndio zipo Lakin sio kirahisi kama watu wanavyodhani lazima upambane kweli kweli. Anyway wasanii mnaokuja embu focusing kwenye haya.
  • Tafuta bajeti nzuri kwaajili ya wimbo au kazi yako ili uweze kutoa kazi bora
  • Tafuta organic views Na subscriber kwa kuandika video title nzuri, video descriptions Poa, tags Na playlist, Na uwe unapakia maudhui Mara kwa mara, Bila kusahau thumbnail Poa utaona sub Na views vinakuja vyenyewe🤣 sio uchawi 🤓

- jaribu paid traffic hii inawatoa wengi, lipia channel yako itangazwe Facebook Google nk.

- Jaribuni video distribution site Na hii hata kwa wasanii wakongwe. Kuna makampuni yapo kwaajili ya kusambaza mziki wako kwenye site kubwa kubwa za muziki find it.

- Sio kwamba YouTube ni mwisho😨 naung'ang'anie huko. Kutoka YouTube sio jambo rahisi unafikir subscribe wakuomba inbox hata 1k na views 100000k utapata hata tsh 5000? Jaribuni Na mitandao mingine kama Amazon kumonetize kazi zenu

Angalizo mtu asije inbox kuomba sub nakurepot 😀

Kama nimekukera sema
 
Hivi mi hua nashangaa, mwanamuziki akitoka wimbo mmoja anataka watu waview na kusubscribe, account haina mwaka, account yenyewe atakuja kupost siku anatia wimbo mwingine mpya. Hua najiuliza hapo wanalipwaje na youtube?
 
Back
Top Bottom