yangu

Dragon Quest: Young Yangus and the Mysterious Dungeon is a prequel and spin-off to Dragon Quest VIII, developed by Cavia and published by Square Enix as part of the Mystery Dungeon series.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania IGP Sirro achana na ukaguzi wa mafunzo ya kidini, staafu kwa fahari

    Bado naendelea kushtushwa na kitendo cha IGP kusema kua wana mpango wa kukagua mafunzo yalotolewayo na na taasisi za kidini humu nchini, watuambie kua Polisi huo ujuzi wameutoa wapi na wanaruhusiwa na sheria ipi kuingilia imani za watu? Afande Sirro mzee wangu unataka kufika mbali sana, staafu...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mightier sijachukia Simba SC yangu Kufungwa Goli 1 kwa 0 na TP Mazembe katika Simba Day na bado nina Furaha kwa Mbungi Kubwa iliyopigwa?

    1. Nimefungwa na Timu Bora mwenzangu na ambaye ameshakuwa Bingwa wa CAF CL mara Tano tofauti na Zanaco FC au Rivers United FC. 2. Nimefungwa na Timu yenye Uzoefu mkubwa wa Kimpira kuliko Zanaco FC au Rivers United FC. 3. Nimefungwa na moja ya Timu si tu Kubwa bali ni Tajiri pia barani Afrika...
  3. JamiiForums Tanzania Ni macho yangu au nimekosea! Msaada nifaamishwe hiki ni kitu gani!

    Nipo nafanya kazi kwenye ofisi fulani hivi za serikali mkoa Kilimanjaro. Ninapokaa hapa unaweza kuona kwa uzuri kabisa maua yaliopo nje, katika kopo moja wapo kuna ua la kawaida na jani lImeota pembeni yake. Kama nilivyoweka picha hapo chini. Sasa tunabisha wengine wanasema ni weed na wengine...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Maoni yangu binafsi kuhusu mkopo wa Trilioni 1.3 ya COVID-19

    Jana kwenye taarifa ya habari tulihabarishwa kuwa Serikali ya Jamhuri ya Tanzania imepokea mkopo wa 1.3 trillioni ili kupambana na ugonjwa hatari ya Covid-19. Binafsi sisemi au sikatai mkopo huu ila nasema fedha hizi ni nyingi sana kwa ajili ya mkopo. Kama juzi juzi tulipokea dozi millioni...
  5. JamiiForums Tanzania Jakaya Kikwete: Rais Samia anaendesha nchi vizuri, tuendelee kumuunga mkono

    Rais mstaafu J. Kikwete akihojiwa amesema nchi inakwenda vizuri chini ya Samia na changamoto mbalimbali zinaondolewa ikiwemo uongezaji wa huduma za dharura kwenye sekta ya afya. Kikwete amesisitiza Samia analeta matumaini kwa watanzania kwa manufaa ya leo na kesho. My take. Hii inaweza kuwa ni...
  6. JamiiForums Tanzania Simu inanisumbua Camera

    Wakuu habar zenu mimi na shida simu yangu inanisumbua camera. Itel a32f, camera inaonesha giza nimepeleka kwa fundi akabadilisha akaweka camera zingine lakini bado inaonesha giza tu nimejaribu pia kwa fundi mwingine kabadisha kaweka zingine lakini inaonesha hivyo hivyo kuback up naye nimeback up...
  7. JamiiForums Tanzania Naogopa kwenda kwa rafiki yangu

    Wakuu mmebarikiwa Sana na Mungu WA Mbinguni hakuna laana. Aisee Nina rafiki yangu zaidi ya ndugu yaani tumeshibana hasa hasa hakuna Jambo linaweza tokea la kutugombanisha tushindwe kutatua. Huyu jamaa yangu anafanya kazi mkoa mwngn Ila jirani na mkoa niliopo na nilipo Mimi ndipo familia yake...
  8. JamiiForums Tanzania Usafiri na maoni yangu binafsi juu pahala sahihi pa kuwapeleka machinga ndani ya Dar

    Naishauri serekali yetu ilitwae eneo lote la shule ya sekondari Benjamin maps hapo kariakoo na pajengwe mall maalumu itakayokuwa na vizimba 5000 vyenye namba za utambulisho maalumu ili machinga wote waliotapakaa mabarabarani waingizwe humo, zoezi hili liende pamoja na kubotesha machinga complex...
  9. JamiiForums Tanzania Ndoa yangu inateketea

    Habari wana JF wote kwa ujumla, bila ya kupoteza muda naomba kuja kwenye mada husika. Mimi ni kijana wa miaka 35,ndoa yanagu mpaka sasa inamiaka 5 tuu. Katika kipindi chote hichi tumeishi kwa furaha na upendo mkubwa tumebahatika kupata watoto 2. Mke wangu ni mtumishi chuo kikuu(mwalimu)na mimi...
  10. I

    JamiiForums Tanzania Wapi naweza kuomba grant ya Tsh 500M kwa ajili ya project yangu?

    Habarini wanaJF, Ningeomba muongozo mahala pa kuwasilisha project yangu kwa ajili ya kuomba grant ya kuitekeleza hapa Tanzania. Project hii itagharimu takriban Tsh 500M na pia kama kuna mtu angependa kuwekeza ni project ya uhakika ambayo itarudisha ela yake. Nasubiri muongozo wenu wakuu.
  11. JamiiForums Tanzania Sina mapenzi na mama yangu

    Wakuu habari.. Mmebarikiwà sana na Mungu wa Mbinguni hakuna laana. Aisee Mimi Nina wadogo zangu wawili Mimi nikiwa mtoto wa Kwanza tena wa kiume mdogo wangu wa pili ni wa kike na wa mwisho ni wa kiume. Cha ajabu toka nikiwa mdogo hata sijaanza chekechea nilikuwa naishi na shangazi yangu ndiye...
  12. N

    JamiiForums Tanzania Pikipiki yangu!!

    Pole na kazi wakuu!! Mafundi naomba munisaidie nipo kijijini huku Nina pikipiki aina ya TVS changamoto yake Ni kwamba inasumbua kuwaka. (Napiga kiki mpaka nachoka)(Ukisukuma inawaka) hata ikiwaka ikikaa hata masaa mawilo ina Anza Tena kusumbua kuwaka!! Yaani mpaka iwake Ni changamoto. Clatch...
  13. JamiiForums Tanzania Tanzania yangu

    Nakupenda Tanzania yangu ya Mama Samia
  14. JamiiForums Tanzania Maisha yangu na baada ya miaka hamsini: Simulizi ya maisha ya Shaaban Robert

    Hii ni simulizi ya maisha ya Shaaban Robert kama ilivyoandikwa na yeye mwenyewe. Fuatana nami uisome hapa, pia unaweza kuisoma bure ndani ya maktaba app (by pictuss) inayopatikana playstore. DIBAJI Ni fahari kubwa kwangu kukaribishwa kuandika maneno machache kuhusu kazi na sifa za marehemu...
  15. D

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Nauza gari yangu ruksa kuvunja pia

    TOYOTA KLUGER Gari ni yangu mwenyewe haina shida yoyote CC 2360 Millage 92,000km - Original Safari Leather Seat New tyres Sports reams 18.5m-inapungua call/Watsapp 0715140001
  16. JamiiForums Tanzania Anadai ana mimba yangu, kutoa hataki, kulipa kodi hataki, kuhama hataki

    Nina kajinyumba kangu kadogo kakushikia kiwanja Goba kunguru, kana vyumba viwili vya kulala, sebule, chumba kimoja kina choo na bafu ndani na pia kina choo cha wageni jirani na sebuleni. Yaliyonikuta najuta kuzaliwa jamani, natamani nilie, kilio hakitoki, natatamani niende kwa Mwamposa nikanywe...
  17. JamiiForums Tanzania Kama upo Chuo Dodoma jua mkeo huku anagegedwa vibaya mno

    Habari zenu wakuu! Bila kuwachosha naomba niwaeleze hii kitu,Kipindi naajiriwa (gvt)nimekuta watu wengi tu pale aliwepo mshikaj mmoja ambae alikuja kuwa mshikaji wangu sana.Baada ya kuzoeana sana nikamshauri akaongeze elimu (degree)na kwel baada ya miez kadhaa jamaa kaondoka kwenda Dom chuo...
  18. JamiiForums Tanzania Imeniuma Sana kuona ng'ombe anakatwa kichwa, sitakula nyama maisha yangu yote

    Ndugu Wana Jamiiforums sikujua Kama ng'ombe anachinjwa kikatili vile. Alilia Sana Akatoa haja zote Mwisho alilia machozi Macho yakageuka rangi huku machozi yakambubujika kwa uchungu. Imeniuma Sana naahidi kuwa vegan. Superbug
  19. JamiiForums Tanzania Ndoa yangu changa inataka kuniua

    Wahesimiwa wa mmu, ndoa yangu ya mwaka mmoja inakaribia kuniua, ushauri wenu muhimu sana. Huyu mwanamke nimejuana naye miaka miwili kabla sijaamua kumuoa, ingawa pia maamuzi ya kumuoa yaliharakishwa na kumpatia ujauzito akiwa mwaka wa pili chuo. Matatizo sasa yanaanzia hapa: 1. Baada ya kumuoa...
  20. JamiiForums Tanzania Asante JF kwa kutunza kumbukumbu. Hii ndiyo ilikuwa post yangu ya kwanza kabisa toka nijiunge na JF tarehe 31/5/2008!

    Post yenyewe inapatikana hapa; Kilango sasa awageukia akina Slaa Jun 25, 2008 Add bookmark #48 For the past two years, I have been following very closely what is taking place in this blog, Jamii Forum, as a guest. On May 31st this year, I decided to register as a member and I am glad I did...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…