Dragon Quest: Young Yangus and the Mysterious Dungeon is a prequel and spin-off to Dragon Quest VIII, developed by Cavia and published by Square Enix as part of the Mystery Dungeon series.
Nipo nafanya kazi kwenye ofisi fulani hivi za serikali mkoa Kilimanjaro. Ninapokaa hapa unaweza kuona kwa uzuri kabisa maua yaliopo nje, katika kopo moja wapo kuna ua la kawaida na jani lImeota pembeni yake. Kama nilivyoweka picha hapo chini.
Sasa tunabisha wengine wanasema ni weed na wengine...
Jana kwenye taarifa ya habari tulihabarishwa kuwa Serikali ya Jamhuri ya Tanzania imepokea mkopo wa 1.3 trillioni ili kupambana na ugonjwa hatari ya Covid-19.
Binafsi sisemi au sikatai mkopo huu ila nasema fedha hizi ni nyingi sana kwa ajili ya mkopo.
Kama juzi juzi tulipokea dozi millioni...
Rais mstaafu J. Kikwete akihojiwa amesema nchi inakwenda vizuri chini ya Samia na changamoto mbalimbali zinaondolewa ikiwemo uongezaji wa huduma za dharura kwenye sekta ya afya.
Kikwete amesisitiza Samia analeta matumaini kwa watanzania kwa manufaa ya leo na kesho.
My take. Hii inaweza kuwa ni...
Wakuu habar zenu mimi na shida simu yangu inanisumbua camera. Itel a32f, camera inaonesha giza nimepeleka kwa fundi akabadilisha akaweka camera zingine lakini bado inaonesha giza tu nimejaribu pia kwa fundi mwingine kabadisha kaweka zingine lakini inaonesha hivyo hivyo kuback up naye nimeback up...
Wakuu mmebarikiwa Sana na Mungu WA Mbinguni hakuna laana.
Aisee Nina rafiki yangu zaidi ya ndugu yaani tumeshibana hasa hasa hakuna Jambo linaweza tokea la kutugombanisha tushindwe kutatua.
Huyu jamaa yangu anafanya kazi mkoa mwngn Ila jirani na mkoa niliopo na nilipo Mimi ndipo familia yake...
Naishauri serekali yetu ilitwae eneo lote la shule ya sekondari Benjamin maps hapo kariakoo na pajengwe mall maalumu itakayokuwa na vizimba 5000 vyenye namba za utambulisho maalumu ili machinga wote waliotapakaa mabarabarani waingizwe humo, zoezi hili liende pamoja na kubotesha machinga complex...
Habari wana JF wote kwa ujumla, bila ya kupoteza muda naomba kuja kwenye mada husika. Mimi ni kijana wa miaka 35,ndoa yanagu mpaka sasa inamiaka 5 tuu. Katika kipindi chote hichi tumeishi kwa furaha na upendo mkubwa tumebahatika kupata watoto 2.
Mke wangu ni mtumishi chuo kikuu(mwalimu)na mimi...
Habarini wanaJF,
Ningeomba muongozo mahala pa kuwasilisha project yangu kwa ajili ya kuomba grant ya kuitekeleza hapa Tanzania.
Project hii itagharimu takriban Tsh 500M na pia kama kuna mtu angependa kuwekeza ni project ya uhakika ambayo itarudisha ela yake.
Nasubiri muongozo wenu wakuu.
Wakuu habari..
Mmebarikiwà sana na Mungu wa Mbinguni hakuna laana.
Aisee Mimi Nina wadogo zangu wawili Mimi nikiwa mtoto wa Kwanza tena wa kiume mdogo wangu wa pili ni wa kike na wa mwisho ni wa kiume.
Cha ajabu toka nikiwa mdogo hata sijaanza chekechea nilikuwa naishi na shangazi yangu ndiye...
Pole na kazi wakuu!!
Mafundi naomba munisaidie nipo kijijini huku Nina pikipiki aina ya TVS changamoto yake Ni kwamba inasumbua kuwaka. (Napiga kiki mpaka nachoka)(Ukisukuma inawaka) hata ikiwaka ikikaa hata masaa mawilo ina Anza Tena kusumbua kuwaka!! Yaani mpaka iwake Ni changamoto.
Clatch...
Hii ni simulizi ya maisha ya Shaaban Robert kama ilivyoandikwa na yeye mwenyewe. Fuatana nami uisome hapa, pia unaweza kuisoma bure ndani ya maktaba app (by pictuss) inayopatikana playstore.
DIBAJI
Ni fahari kubwa kwangu kukaribishwa kuandika maneno machache kuhusu kazi na sifa za marehemu...
TOYOTA KLUGER
Gari ni yangu mwenyewe haina shida yoyote
CC 2360
Millage 92,000km - Original
Safari Leather Seat
New tyres
Sports reams
18.5m-inapungua
call/Watsapp 0715140001
Nina kajinyumba kangu kadogo kakushikia kiwanja Goba kunguru, kana vyumba viwili vya kulala, sebule, chumba kimoja kina choo na bafu ndani na pia kina choo cha wageni jirani na sebuleni.
Yaliyonikuta najuta kuzaliwa jamani, natamani nilie, kilio hakitoki, natatamani niende kwa Mwamposa nikanywe...
Habari zenu wakuu!
Bila kuwachosha naomba niwaeleze hii kitu,Kipindi naajiriwa (gvt)nimekuta watu wengi tu pale aliwepo mshikaj mmoja ambae alikuja kuwa mshikaji wangu sana.Baada ya kuzoeana sana nikamshauri akaongeze elimu (degree)na kwel baada ya miez kadhaa jamaa kaondoka kwenda Dom chuo...
Ndugu Wana Jamiiforums sikujua Kama ng'ombe anachinjwa kikatili vile.
Alilia Sana
Akatoa haja zote
Mwisho alilia machozi
Macho yakageuka rangi huku machozi yakambubujika kwa uchungu.
Imeniuma Sana naahidi kuwa vegan.
Superbug
Wahesimiwa wa mmu, ndoa yangu ya mwaka mmoja inakaribia kuniua, ushauri wenu muhimu sana.
Huyu mwanamke nimejuana naye miaka miwili kabla sijaamua kumuoa, ingawa pia maamuzi ya kumuoa yaliharakishwa na kumpatia ujauzito akiwa mwaka wa pili chuo.
Matatizo sasa yanaanzia hapa:
1. Baada ya kumuoa...
Post yenyewe inapatikana hapa;
Kilango sasa awageukia akina Slaa
Jun 25, 2008
Add bookmark
#48
For the past two years, I have been following very closely what is taking place in this blog, Jamii Forum, as a guest. On May 31st this year, I decided to register as a member and I am glad I did...
Wa Denish ... Hawa ni moja ya Wazungu wastaarabu sana. Nmekaa kwao, nmefanya nao kazi katika Miradi yao Mbalimbali. Sikuwahi Baguliwa, Dharauliwa au Kubagazwa.
Ingawa sisemi kuwa wanakosekana kabisa wabaguzi katikati yao. Ni binadamu. Sisi wenyewe waafrika tunabaguana.
Nasikitika sana...
Ule ushauri wa mabenki na makampuni ya simu kwamba Namba yako ya siri ni siri yako usimpe hata unayemwamini ni mbaya sana!
Ukitaka kujua ule ushauri ni mbaya fatilia mirathi ya ndugu ndipo utajua ulikuwa hujui!
Hata ukifuata taratibu zote za mirathi usumbufu uko palepale,
kwanza usumbufu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.