yangu

Dragon Quest: Young Yangus and the Mysterious Dungeon is a prequel and spin-off to Dragon Quest VIII, developed by Cavia and published by Square Enix as part of the Mystery Dungeon series.

View More On Wikipedia.org
  1. D

    JamiiForums Tanzania Chukueni maneno yangu, Bollen Ngetti atakiangamiza CCM na Taifa!

    Wanabodi, Usipuuze maneno ya mlevi apitaye njia. Msikilize na kufuatilia ayasemayo baadaye. Kuna mtu nchi hii anatumia mwamvuli ya uanahabari (cover paper) akiitwa Bollen Ngetti. Nimemfuatilia jamaa huyu kwa muda mrefu. Si Mwema kwa nchi yetu. Kama kuna wanaoamini Bernard Membe amefariki basi...
  2. JamiiForums Tanzania Najiona maisha Yangu yakikosa nuru kabisa na kuelekea ukingoni

    Wakuu habari, poleni na majukumu ya kila siku. Ni hivi wadau kila nikishika simu yangu nakuiona app ya JF napata hasira natamani kupigiza simu yangu chini, Maana bila platform hii huwenda maisha yangu yangekua na amani na matumaini. Mimi sio mdau saana wakuandika nyuzi humu JF lakini...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Gigy Money asaidiwe

    Kwa mawazo yangu nafikiri ana depression, ana tatizo kubwa la akili.. Kwa yaliyompata yeye na mwenzake Amberlulu, sikutarajia kama atajisifia kwamba ni muuzaji wa mwili.. Hivi karibuni pamekuapo na matukio ya kifedhuli kuhusiana na wasanii maarufu, na hao wanaonyesha kabisa ni wauzaji wa...
  4. JamiiForums Tanzania Experience yangu JF katika kutafuta huba la moyo wangu 😘😘😘

    Wajanja wa mji hoyee, Nadhani kila mmoja wenu yupo sawa na mambo yake, . Mnamo 2019 nilianza kutafuta mwenzi wa maisha yangu waswahili wanasema huba la moyo . Nilipata mwanaume sio single ila alitaka niwe mke 2 nikaona hapana na ndio mwisho wa mawasiliano pale nilipokataa. Wakaendelea kuja...
  5. JamiiForums Tanzania Nashuhudia mbele yenu, hii ndio hela yangu ya mwisho kuhonga

    Tangu mwezi wa nne hadi sasa nimetumia laki nane (800,000+). Wastani wa laki moja kila mwezi. Kwa anasa inayohusu wanawake, kuanzia sasa naachana na haya mambo kabisa. N.B kama unaona hela hii ni ndogo kwako kwangu ni kubwa sana.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Nikiwa bado na mashaka ndani yangu lakini bado natamani angalau nifikie hatua ya mafanikio kidogo kama yanavoonekana kwenye picha hapo chini

    Hellow members,baada ya harakati za mchana leo nikasema ngoja niingie online kidogo na mimi nione uwezo wa AI katika kutupa picha ya vitu tunavoviwaza. Basi nikaingia bing.com nikasearch AI image generator then nikaimbia maneno yafuatayo "Create an image of warehouse of the transportion...
  7. JamiiForums Tanzania Mwanamke aliefanana jina la mama yangu ama mama mdogo wangu hachomoki na ananipenda kweli ni hadi mimi nimwache, kuna nguvu za kiroho ?

    nikiwa shuleni kulikuwa na binti anafanana na jina la mamdogo wangu, sijisifii lakini kiukweli alikuwa anafanya sana jitihada tuwe karibu japo nilikuwa domo zegei, alishajaribu kunipa vizawadi kadhaa, kunitetea mara kadhaa, n.k japo nilimuangusha sana wengine wakamchukua Nilipoanza chuo...
  8. JamiiForums Tanzania msaada tv yangu imeungua kifaa hiki

    Hellow wanajamvi inshort naomba niende oneway on the point ni kwamba Tv yangu Hisense imeungua nilipeleka kwa mafundi Tv pale Service Center kwa watu wa Hisense wapo pale Kariakoo wakanambia Kibao (Motherboard imeungua yote) hivyo labda ninunue Kibao kingine na wao kwa bahati m baya hawana hivyo...
  9. JamiiForums Tanzania Mambo niliyojifunza katika maisha yangu nikiwa nina miaka kati ya 20 mpaka 30

    MAMBO NILIYOJIFUNZA KATIKA MAISHA YANGU NIKIWA NINA MIAKA KATI YA 20 MPAKA 30 Anàandika, Robert Heriel Mtibeli Nilianza kutafuta maarifa na hekima tangu nikiwa mdogo, mtoto wa miaka saba hivi. Katika umri huo wakati wengine wakicheza Kibabababa na kimamamama mimi nilikuwa katika kusoma vitabu...
  10. JamiiForums Tanzania FT: Tanzania 0-2 Morocco Kufuzu Kombe la Dunia, Novemba 21, 2023

    Naam leo ndo leo majira ya saa 4 usiku kwa saa za afrika mashariki kutakuwa na mchezo kati ya Tanzania na Morocco KUFUZU WORLD CUP: TANZANIA YAPOTEZA 2-0 DHIDI YA MOROCCO KWA MKAPA Timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ imepoteza kwa magoli 2-0 licha ya kuwa nyumbani kwenye Uwanja wa Mkapa...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Hapa jirani yangu pana nyumba haijawahi kukaliwa na watu tokea ikamilike kujengwa. Ni mwaka wa 10 huu, mpaka geti linaanza kuoza. Nijitwalie?

    Kuna nadharia mbili hapa. 1. Yawezekana mmiliki alikuwa anamjengea mchepuko. Ili siku moja aje amfanyie surprise. Lkn kabla ya surprise jamaa akapata ugonjwa ama ajali na kufariki. Kwahiyo si mchepuko wala familia waijuao nyumba hii. 2. Mmiliki alipoikamilisha alipigwa kifungo cha miaka 30 au...
  12. JamiiForums Tanzania Mwanamke aliniharibia kabisa maisha yangu, hawa viumbe hatari sana

    Wakuu mu hali gani? Nashukuru mie mzima wa afya. Kuna kisa nimekuwa nacho kwa muda mrefu, sikuwahi kushare humu. Niliandika kiufupi tu ila naona ni vizuri nikashare kwa ukubwa ili tupate kujifunza na wengine. Sikuwahi kujua kama mwanamke anaweza kuwa chanzo cha kuharibika kwa maisha ya mtu...
  13. JamiiForums Tanzania Dogo aliyekuwa anatembea na mke wa jirani yangu sasa ana mazoea na mwanamke wangu

    Wakuu mulibwanji? Aisee hapa nlipohamia sasa nina miezi 8 nilikuta kuna mpangaji 1 na mwenye nyumba mimi nikawa mpangaji wa pili, huyu ndugu niliyemkuta alikuwa anaishi na mkewe na hawana mtoto wala mtu mwngne wanayeishi naye. Habari niliyoikuta hapa ni kwamba mtoto wa kiume wa mwenye nyumba...
  14. JamiiForums Tanzania Nipeni ushauri kuhusu huyu mwanamke maana sielewi

    Nanukuu kama ilivyosimuliwa na muhusika, " Niliingia katika mahusiano na binti mmoja alikuwa akiishi na wazazi wake. Tulikuwa vizuri mpaka ikafikia nikawa namhudumia kama mke vile, kuanzia kula yake, kuvaa na hata akiumwa nahusika na kila kitu. Ikafikia wakati akahama kwao, akaenda kupanga na...
  15. JamiiForums Tanzania Nina haja ya dhati Lamomy wa JF kwenye maisha na huduma yangu daima

    Namshukuru Mungu kwa ajili ya yako na yangu, kwa wasaa huu muhimu, ambao ni zawadi kutoka kwa Mungu kwetu sisi sote. Tumeipewa zawadi hii bure na tuitumia bure, na kwahivyo yatupasa kuitumia vizuri kadiri tuwezavyo na kwa uaminifu, huku tukimshukuru yeye pekee daima, kila wakati tunapopata...
  16. JamiiForums Tanzania Kwamba haina sababu ya mimi kufurahia mafanikio yangu?

    Kwamba haina sababu ya mimi kufurahia maisha na haya mafanikio yangu kidogo niliyonayo afya njema aliyonipa Mungu. Eti kwakuwa mzazi au mlezi wangu hana, mafanikio kama ya kwangu. Huu kwangu ni ubinafsi tu na ninaamini kila mmoja ana bahati zake katika safari yake ya maisha. Mfano Diamond v/s...
  17. JamiiForums Tanzania Maoni yangu ya kisomi kuhusu mabango ya Yanga

    Nitaelezea kwa ufupi sana maoni yangu ya kisomi kuhusiana na ishu ya mabango ya Yanga yanayoonyesha matokeo ya mechi yake na Simba yaliyopachikwa maeneo mabalimbali Dar es Salaam. Upande mmoja wamekuja na hoja kuwa walichofanya Yanga ni kuchukua maudhui kutoka Azam TV na walichofanya ni...
  18. JamiiForums Tanzania Niko njia panda katika maamuzi yangu na wazazi wangu, wanataka nijiendeleze kielimu

    Habari wanaJf, mimi ni kijana niliyehitimu kidato cha sita mwaka 2021 katika tahasusi ya HGL, baadae nikaanza biashara yangu ya mpesa, mwaka huo sikuomba chuo kutokana na matatizo ya kifamilia. Mwaka jana nikaomba chuo course ya sheria ila nikakosa mkopo, nikaamua kujikita kwenye biashara...
  19. JamiiForums Tanzania Niyaonayo kwenye familia yangu; Vijana tuna la kujifunza kwani nasi ni wazee watarajiwa. Soon tutaumbuka!

    Nisiwachoshe! Nimezaliwa kwenye familia ya pangu pakavu tia mchuzi tule. Tupo watano, wote tumesoma Hadi elimu ya juu ila wenye kazi ya uhakika wa kipato yaani ajira maalumu ni watatu. Mzee alistaafu miaka mitatu iliyopita na kufanikiwa kupata kiinua mgongo not less 50ml sasa hivi ni mwendo wa...
  20. N

    JamiiForums Tanzania Arusha wanachomana visu

    WA SALAAMU.. mimi nimezaliwa Arusha Nimekulia Arusha Nimesomea Arusha. Ila sasa naogopa hata kurudi nyumbani wajuba,kumekuwa na matukio ya hatari sana,vijana wanauwana hali inatisha Arusha,kipindi naishi nyumbani chugah mambo ya kuuwana yalikuwa sio kama sasa,kuna kizazi kimeibuka cha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…