Nisaidie niweze kurudia masomo yangu ya kidato cha IV

BROTHER OF BROTHERS

Senior Member
Jun 30, 2013
105
144
Habari yako mwana JF,
Kwa Imani yangu Kubwa kwenu Bila kujali Naomba utaratibu wa kuweza kurudia Masomo Yangu ya kidato Cha nne. Mimi nilihitimu Mwaka 2008 na matokeo Yangu hayakuwa mazuri kwani nilipata Dv IV ya point 28 na hii ilitokea Baada ya kufiwa na Baba yangu mzazi.

Wiki Moja kabla ya NECTA Kwa Muda mrefu Sasa natamani kurudia paper Tafadhali Naomba Mnisaidie Kama naweza ku reseat ili nifanye hivyo na kama Haifai Kwa mapenzi Mema nishauri nifanye nini. Naomba kuwasilisha.
 
Habari yako mwana JF,
Kwa Imani yangu Kubwa kwenu Bila kujali Naomba utaratibu wa kuweza kurudia Masomo Yangu ya kidato Cha nne. Mimi nilihitimu Mwaka 2008 na matokeo Yangu hayakuwa mazuri kwani nilipata Dv IV ya point 28 na hii ilitokea Baada ya kufiwa na Baba yangu mzazi Wiki Moja kabla ya Necta Kwa Muda mrefu Sasa natamani kurudia paper Tafadhali Naomba Mnisaidie Kama naweza ku reseat ili nifanye hivyo.na kama Haifai Kwa mapenzi Mema nishauri nifanye nini. Naomba kuwasilisha.
Kuanzia 2008 mpka leo haujajua chakufanya😔
 
Nenda necta,Elimu Haina mwisho ruksa kurudia
 
mkuu naomba Niku ulize swali, una taka urudie mtihani kwa sababu zipi?
👉Uboreshe matokeo tu.
👉Uji endeleze ki elimu
👉Au Umeona elimu ndo njia pekee ya wewe kutoboa??
👉Ila 2008 mhhh, Miaka 13 Ime pita, hau jafika 40 kweli🤔🤒

👉Mimi mwenzio sijawai enda shule, but still nakomaa na mtaa.
 
Anataka kusafisha cheti sio mbaya tumuache.
 
Back
Top Bottom