yanga

Young Africans Sports Club (maarufu kama Yanga ni Timu ya Soka nchini Tanzania iliyoanzishwa mnamo mwaka 1935.

Jina la utani wanajulikana kama Timu ya Wananchi (Wananchi) au Wanajangwani.
  1. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Nini kinakwamisha Simba na Yanga kushirikiana kimataifa?

    Moja ya mambo yanayokwamisha sana mpira wetu ni ushindani na uhasama wa Simba na Yanga unaopelekea vilabu hivi siyo tu kushindwa kushirikiana katika mashindano ya kimataifa bali wakati mwingine hadi kuhujumiana na kufanyiana fitna. Juzi juzi nilipokuwa naangalia tuzo za CAF niliona jinsi...
  2. Tate Mkuu

    JamiiForums Tanzania Hiki ndicho kikosi changu cha kwanza cha mchezo wa maruduo kati ya wananchi Yanga dhidi ya Madeama

    Naomba nisiwachoshe. 1. Djugui Diarra 2. Kwasi Jeshi 3. Joyce Lomalisa/Farid Mussa Malick 4. Dickson Job 5. Bakary Mwamnyeto 6. Ibrahim Bacca 7. Khalid Aucho 8. Max Nzengeli 9. Stephen Aziz Kii 10. Hafiz Konkoni 11. Pacome Zouazoua. Subs: Abutwalib Mshery, Kibwana Shomary, Nickson Kibabage...
  3. Pdidy

    JamiiForums Tanzania yanga itashinda na 3+ wekamzigoo...

    Nianze kwa kuwatakia sikukuu njema ya Christmas's kabla sijasahau Naomba niwape siri kama kuna timu Medeama atajuta kukutana nayo nyumbani ni Yanga Nisiseme mengi kifupi Yanga itashinda FT na total goals zaidi ya 3 Adbest
  4. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Tiketi bure mechi ya Yanga inaenda kuifaidisha sana Simba

    Kuweka kiingilio bure mechi ya Yanga kunaongeza sana watazamaji watakaoenda kwenye mechi ya Simba. Tena kipindi hiki ambacho mashabiki wa Simba walirudi nyuma kidogo, hii ni boost kubwa sana. Yule mshabiki aliyekuwa alipe 3000 au 5000 kuangalia mechi ya Yanga ameshajihakikishia anaingia bure...
  5. William Mshumbusi

    JamiiForums Tanzania Yanga ya Ligi kuu ni kama Barcelona ila Ya klabu bingwa ni kama Mashujaa tu. Je jk alikuwa sawa bado inashinda Ligi kwa mbinu sio?

    Ukiwaangalia yanga Ligi kuu ni kama barca ile ya Moto kabisa. Ya richcard. Aziz ki anakuwa kama gaucho. Pakome ni inesta mtupu, Mzize ndio Eto, mwamnyeto Puyo. Akina nzegeli nddio usiseme. Sasa watoe nje sasa. Inakuwa timu ya ovyo kabisa. Kama saudi Arabia word cup au Mashujaa ligi...
  6. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Baada ya kuambulia mashabiki watatu Yanga sc waamua kuweka kiingilio bure ili wajaze uwanja kama simba sc wanavyojazaga.

    Yanga sc kwa mtaji wamashabiki walionao kuweka kiingilio bure siyo kwa kupenda bali wanaogopa fedhea. Tatizo kubwa la yanga wanatamani kuwa kama simba hasa michuano ya kimataifa yaani caf champions league. Waneweka kiingilio bure kwa lengo la kuonyesha kuwa, na wao wanaweza kuujaza uwanja...
  7. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Je goli la 4 la Yanga vs Mtibwa ni la Skudu au la beki wa Mtibwa aliyejifunga?

    Embu tukumbuke sheria za mpira wa miguu zinasemaje kuhusu goli la kujifunga ili tujue kama mtu anayestahili kupewa credit ya goli la nne katika mechi ya jana ya Yanga vs Mtibwa ni Skudu au beki wa Mtibwa. Skudu alipopiga mpira, kipa alianza kuruka kuufuata ule mpira ila kuna beki wa Mtibwa...
  8. C

    JamiiForums Tanzania Nimeota yanga Leo anafungwa na mtibwa goli moja bila

    Ngoja tusubiri muda utaamua
  9. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Nimeshikwa na butwaa baada ya kuambiwa kuwa huyu mchezaji mpya wa Yanga ana miaka 18

    Ndugu zangu ni macho yangu au vijana tunazeeka sura lakini ingali tuna umri mdogo? Klabu ya yanga leo imemtambulisha mchezaji wao kinda wa miaka 18 kutoka JKU ya Zanzibar kwa mkataba wa miaka 3.
  10. kavulata

    JamiiForums Tanzania Ihefu iwe makini kucheza na Yanga, itashuka daraja

    Ihefu inatumia nguvu nyingi sana inayoweza kutumika kucheza mechi Saba na timu nyingine ndogo za ligi. Wanaingia uchovu wa kudumu baada ya kulazimisha kuifunga Yanga au Simba unasababisha kupoteza mechi 7 baada ya mechi na Yanga. Baada ya kuifunga Yanga wanaendelea kufurahi na kushangilia kwa...
  11. Vincenzo Jr

    JamiiForums Tanzania FT: Yanga SC 4-1 Mtibwa Sugar | NBC Premier League | Azam Complex | 16.12.2023

    Naam majira ya saa 12:30 jioni ya Leo wananchi tutakuwa na jambo letu Magoli mawili yaliyofungwa na Stephane Aziz Ki na mengine ya Kennedy Musonda na Mahlatse Makudubela ‘Skudu’ yameipa Yanga ishindi wa magoli 4-1 dhidi ya Mtibwa Sugar kwenye Uwanja wa Azam complex Jijini Dar es Salaam. Yanga...
  12. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania Yanga inashuka viwango siku kwa siku!

    Juzi tu hapa Nkane, Mdathir, Sureboy, Farid Mussa, Moloko, Kibwana, Walikuwa ni wachezaji hatari sana hata kama walikuwa wanatokea Sub, ukianza kuhesabu magoli ya ushindi au perfomnce zao bora hapa hutoacha kukumbuka. Nkane aliipatia Yanga goli la kuwapa Taji la ASFC 2021/22 , baada ya...
  13. William Mshumbusi

    JamiiForums Tanzania Chama hana mbadala Simba. Akiondoka sasa hivi aende Yanga au Azam nahama naye na nachoma jezi ya Simba

    Simba viongozi wanazani kupata mchezaji wazuri ni pesa tu. Wanaiumiza Timu sana. Ata wachezaji wenzake hakuna aneweza kutia mashaka uwezo wake ulivyo juu kabisa. Katoa asist matata mechi ya Al ahly. Wanawazurumu pesa zao alafu wanamfitinisha na kocha. Naomba chama aende Azam au Yanga na...
  14. tpaul

    JamiiForums Tanzania Simba na Yanga: Jinsi ushabiki wa mikeka ulivyoua ushabiki wa mpira

    Zamani kabla mikeka haijaingia hapa nchini mashabiki wa mpira walikuwa na ushabiki halisi kwa timu zao pendwa. Nakumbuka mechi kati ya Man United na Arsenal iliyochezwa mwaka 2003. Van Van Nistelrooy alikosa penati dakika za majeruhi. Siku hiyo kulikuwa na mshawasha mkubwa sana miongoni mwa...
  15. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Medeama walalamikia penati 3 walizonyimwa katika mechi dhidi ya Yanga

    Baada ya mechi ya Medeama vs Yanga kumekuwa na kelele nyingi kuhusu goli la clear offside la Kibabage, ila wengi walifumbia macho matukio kadhaa ambayo refa alimezea ambayo yangewapa faida Medeama. Kuna uzi mmoja nilisema kitendo ambacho baadhi ya watu wanasema kilistahili kadi nyekundu...
  16. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Yanga wanaendelea kutumia mbinu za Shirikisho kwenye Klabu Bingwa

    Jana nilisikia kuwa Yanga baada ya mechi yao na Medeama, walizungumza na mshambuliaji wao hatari aliyewasumbua sana Jonathan Sowah kwa nia ya kumsajili. Nakumbuka msimu uliopita katika mashindano ya shirikisho, karibia kila timu iliyokuwa inacheza na Yanga, baada ya mechi ya kwanza na timu...
  17. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Yanga yafutiwa adhabu ya kutosajili baada ya kumlipa Bigirimana

    Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA) limeiondolea Yanga adhabu ya kufungiwa kusajili wachezaji baada ya kukamilisha malipo ya aliyekuwa mchezaji wake Gael Bigirimana. Awali mchezaji huyo alifungua kesi FIFA dhidi ya klabu hiyo ya Ligi Kuu ya NBC kwa kushindwa kumlipa baada ya...
  18. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania Yanga na Simba waanzishe vikundi vya kuchekesha - Vigodoro!

    Klabu ya Yanga wamekuwa wa kuzodoa zodoa tena kwenye media , wasemaji wamejenga chuki kuliko washabiki, wamefanya chuki kubwa sana. Yanga wamesababisha Simba nayo ianze kujibu na kuonekana wajinga lakini upuuzi ulianzishwa na Yanga. Ali Kamwe na Shayo[Privadinho] kama wangepata na wanadada...
  19. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Ukiacha ufundi, Benchikha inabidi awafundishe wachezaji ujanja wa kimpira

    Moja ya jambo kubwa ambalo Benchikha anaweza kuisaidia Simba na hilo jambo likaisaidia kwa miaka mingi ni kuwapa wachezaji ujanja wa mbinu za kisaikolojia ya jinsi ya kucheza na waarabu wenzake. Simba imesogea pakubwa sana katika mpira wa Afrika. Leo hii hakuna anayeshangaa tena Simba akimfunga...
  20. kavulata

    JamiiForums Tanzania Yanga epuka mpango wa kusajili washambuliaji dirisha dogo, walioko wanatosha kabisa

    Kuna wadau wanaotaka Yanga kuongeza washambuliaji dirisha dogo. Siungi mkono kwakuwa walioko wanatosha na kupitiliza. Timu ya Yanga Ina magoli mengi ya kufunga kuliko timu nyingine ya ligi hivi sasa kwenye ligi. Kwenye mashindano ya CAF timu zote hata zile kubwa zenye washambuliaji Bora ikiwemo...
Back
Top Bottom