yanga

Young Africans Sports Club (maarufu kama Yanga ni Timu ya Soka nchini Tanzania iliyoanzishwa mnamo mwaka 1935.

Jina la utani wanajulikana kama Timu ya Wananchi (Wananchi) au Wanajangwani.
  1. vibertz

    JamiiForums Tanzania Maneno mengi kwa wanaojifanya wachambuzi, lengo ni kuivuruga Yanga

    Nimeona watu humu jukwaani, na mitandao mengine kumlaumu kocha wa Yanga kutofanya rotation. Mshabiki wa Yanga mwenye akili timamu hawezi kulilia kocha afanye rotation kwenye mechi ngumu tena ni za klabu bingwa. Mechi ngumu huchezwa na wachezaji wanaoaminika na kocha, lakini watu wanajifanya...
  2. kavulata

    JamiiForums Tanzania Simba na Yanga chezeni mechi ya kuchangia Hanang

    Waathirika wa maporomoko ya Mlima Hanang wengi wao kama sio wote ni washabiki wa Simba na Yanga. TFF ratibu pambano la Simba na Yanga ili mapato yote yaende Hanang kama kurudisha kwa jamii. Natoa hoja!
  3. Gordian Anduru

    JamiiForums Tanzania Kufuzu Quarter Final Caf Cl: tofauti 10 kundi la Simba na Yanga

    1. Anayeongoza kundi la Simba ana point 7 iliSimba amfikie anahitaji mechi mbali wakati anayeongoza kundi la Yanga ana point 5 the Kumfikia ni mechi Moja tu 2.Simba ana mechi na Wydad wakati Yanga ana mechi na Medeama Kwa Mkapa. Wydad. Mgumu kuliko Medeama. 3.Simba ana mechi Ghana ambako Wydad...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Refa aliewanyima goli Yanga kwenye mechi yake na Medeama, hawezi chukuliwa hatua?

    Hivii huuu refa hapaswi kuwajibika/kuwajibishwa kwa maamuzi mbovu ya kuwanyima goli Yanga akisema lilikuwa ni goli la offside? Vipi na yule mshika kibendera nae hapaswi kuwajibika? Kwa maneno mengine, utaratibu ukoje au ni mpaka Yanga wawasilishe malalamiko rasimi ndio yafanyiwe kazi? Huyu...
  5. SankaraBoukaka

    JamiiForums Tanzania Kila timu inaruhusu goli ila janga kubwa SIMBA ni ufungaji..

    Kila timu duniani inaruhusu goli ila janga KUBWA Simba ni kushindwa kufunga magoli pamoja na nafasi nyingi zinazotengenezwa. Mechi na Wydad kama tungekuwa na washambuliaji wanaojielewa ilikuwa mapema sana ushindi... Nafasi nyingi zilipatikana ila uwezo mdogo nakukosa umakini kunasababishwa na...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Hivi Simba waliokuwa wanawacheka Yanga kuwa mkiani, wao sasa hivi wako wapi?

    Nasikia Simba waliokuwa wanawacheka Yanga kushika nafasi ya mwisho kwenye kund,i, leo wanaongoza kundi baada ya mechi yao na Wydad. Nawapa hongera sana kwa kuongaza kundi.
  7. D

    JamiiForums Tanzania Yanga na Wydad are useless teams upfront

    i watched the 2 games. Makocha wa hizi team wote Awana objective football . Useless in attack . Kama wanashinda watoa nje . Kwa yanga it’s worse than wydad . Yanga amna kitu wanaweza useless team in this champions league . Very disorganized attack. I believe watatoka wa Mwisho kwenye magroup...
  8. Heparin

    JamiiForums Tanzania FT | Ngao ya Jamii | Simba Queens 5-4 Yanga Princess | Azam Complex

    Kikosi cha Simba Queens Kikosi cha Yanga Princess Simba Queens yaingia fainali kwa kuipiga Yanga Princess Kikosi cha timu ya soka ya Wanawake ya Simba Queens kimefanikiwa kuingia Fainali ya Ngao ya Jamii Wanawake 2023 kwa kuifunga Yanga Princess kwa penati 5-4 katika Nusu Fainali iliyopigwa...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Hata kama Yanga atatoka makundi bado atakuwa kafikia lengo. Hakuahidi uongo kwa mashabiki zake

    Yanga alijiwejea lengo la kufika hatua ya Makundi CAF CL, na keshatimiza lengo hilo, ikitokea ziada hiyo ni bonus. Sema mashabiki wanakuwa na expectations kubwa sana sababu wanaiona timu yao iko vizuri mno, lakini Yanga inaelewa ugumu wa mashindano ya kimataifa na huwa haiwapi mashabiki wake...
  10. kavulata

    JamiiForums Tanzania Kauka nkuvae ya Gamondi inaijeruhi Yanga

    Mpira wa miguu ni mchezo wa kugongana na kutumia nguvu nyingi sana hasa kwenye mashindano makubwa ya CAF na Derby. Wachezaji walewale kila mechi za kila mashindano zinaiumiza timu, wachezaji wanachoka na kuumia na kulazimika kucheza na uchovu na maumivu, hivyo kucheza chini ya uwezo wao...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Simba wanajaribu kulazimisha tuamini kisaikojia kuwa Yanga hana nafas, ila wanasahau wao walifungwa mechi mbili na bado wakafika robo fainali

    Hawa jamaa ni akili mgando kabisa. Kama sikoseI, wao kwenye kundi lao walipoteza mechi mbili za ugenini na bado wakafika robo, halafu wanaibeza Yanga ambayo mpaka sasa imepoteza mechi moja tu ya ugenini. Ukweli huu wanaujua vizuri, wanachokifanya ni kujaribu kucheza na saikolojia yetu wakati huo...
  12. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Simba chukueni Mudathir, Sure Boy, Kibwana, Moloko na Farid Musa, Kocha wa Yanga hawataki

    Kwa vile hawa bado ni Wachezaji wazuri tu wanaweza kusaidia Simba kwenye michuano ya kimataifa. Taarifa zinaonyesha kwamba kocha wa Yanga hawataki
  13. Majok majok

    JamiiForums Tanzania Nimeamini mpira wa kiafrika ni majanga huyu refa wa Medeama na Yanga kadhihirisha mipango ya nje ya uwanja

    Nilipata wasi wasi niliposikia kuwa wafanyabiashara wa mji wa Kumasi wameungana ili kuakikisha yanga atoki salama pale babayara stadium, na ilikuwa ni lazima yanga afie pale! Wasi wasi Wangu kumbe nilikuwa sahihi sana kwa kilichotokea uwanjani kwa refarii kumrudisha fadhira kwa waliomkarimu...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Kundi la Yanga ndio litatoa bingwa wa hii michuano

    Huu ndio ukweli na ndio maana mpaka leo timu namba moja kwa ubora bado haina uhakika wa kutinga robo fainali(mpaka sasa inahaha kuingia robo fainali). Labda Mamelodi ndio anaweza kuleta ushindani.
  15. Da Gladiator

    JamiiForums Tanzania Yanga SC na Michuano ya CAFCL

    Asalaam Aleykum(Amani iwe nanyi) Tanzania na Dunia kwa ujumla. Leo naomba niwazungumzie wananchi, Dar Young Africans Wana jangwani Nipende ku'declare interest' kwa mambo yafuatayo. 🙌 Mimi n mshabiki na mpenzi wa soka wa muda mrefu na siko mbali na maswala ya ukufunzi wa mpira wa mguu 🙌Yanga...
  16. D

    JamiiForums Tanzania Tuseme ukweli, Gamondi anafeli pakubwa sana Yanga

    Salaam wana JF, Kwanza kabisa niwapongeze wote kwa kumaliza weekdays salama. Pia Ngoja niendelee na mada yangu hapo kwenye title. Mimi ni mmoja kati ya wana football ambao nilikuwa namuhusudu sana Nabi na nilifurahishwa zaidi na namna ambavyo aliondoka akiwa bado anapendwa, Ni wachache sana...
  17. 5 Nyingi

    JamiiForums Tanzania Uongozi wa Yanga Malizaneni na Mzee wa Utopolo

    Jamaa anahisi anatengwa, kwa mtazamo wangu huyu jamaa ni mzuri kwenue hamasa kuliko watu kama Mwalimu Yanga, Mzee wa Mashairi, God Yanga nk. Ila anatengwa sana kwenye offers mbalimbali ambazo club inatoa kwa mashabiki vinara, ntafurasi endapo siku moja ataingia kwenye orodha pendwa ya viongozi...
  18. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Uzushi na uongo wa Haji Manara kumhusu Fabrice Ngoma

    Ni zaidi ya mara mbili nimemsikia Haji Manara akisema kuwa Fabrice Ngoma ni mchezaji mwenye umri mkubwa sana kuliko unaotangazwa katika taarifa zake rasmi. Toka nimemsikia nilikuwa nina mashaka na hizo taarifa ila sikuzifuatilia. Manara mara zote hizo amekuwa anasema alimshuhudia kwa macho yake...
  19. Suley2019

    JamiiForums Tanzania FT: Madeama 1-1 Yanga | CAFCL | Baba Yara Sport Stadium | 08.12.2023

    Mechi za hatua ya Makundi za Ligi ya Mabingwa Afrika kuendelea tena leo tarehe 08.07.2023 Yanga kutoka katika kundi D watakuwa ugenini kumenyana na Madeama ya nchini Ghana. Mechi hii itachezwa kuanzia saa 1:00 jioni katika uwanja wa Baba Yara nchini Ghana. Je, wawakilishi hawa wa Tanzania...
  20. Titicomb

    JamiiForums Tanzania Pacome na goal of the week, kule jezi ya Yanga kwenye wimbo wa AFCON 2023

    Sasa ni rasmi goli la Pacome Zouzoua dhidi ya Al Ahly limechaguliwa kuwa goli bora la Juma (week) la Total Energies CAF Champions League. Sasa nimeelewa kwanini jezi ya Yanga imetumika kwenye video ya wimbo rasmi wa AFCON 2023 badala ya jezi za Taifa Stars. Yanga imekuwa maarufu Sana viunga...
Back
Top Bottom