yanga

Young Africans Sports Club (maarufu kama Yanga ni Timu ya Soka nchini Tanzania iliyoanzishwa mnamo mwaka 1935.

Jina la utani wanajulikana kama Timu ya Wananchi (Wananchi) au Wanajangwani.
  1. D

    JamiiForums Tanzania Msuva Yanga wanapoteza pesa za wanachama na tajiri wao. KAISHA KACHAKAA

    Kuna rumours that Msuva amesign youn Africans baada ya kutemwa na js kabylie. leo kacheza vibaya sana. kiwango amna kitu. yanga mkimbieni huyu mtu. atakuja kupoteza mda na nafasi za kinda hapo yanga. Kaisha timu ya taifa pia tumteme time is up. Afcon pelegrino ndani Msuva hapana. Hamna...
  2. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Mapinduzi cup Milioni 100 bado ni ndogo kwa simba na Yanga, Waongeze dau lifike walau 300

    Kwa Yanga na Simba kila timu hapo ina sponsorships deals zenye kuingiza takribani bilioni 5 kila mwaka Kombe la Ligi kuu bingwa anapewa milioni 500 lakini hio bado ni pesa ndogo, Malengo huwa ni kuvuta mpunga wa kimataifa, msimu wa mwaka jana pekee Simba kakunga bilioni 2 kasoro caf na bilioni...
  3. William Mshumbusi

    JamiiForums Tanzania Kwa upuuzi wa Viongozi wa Simba. Yanga inajipenyeza na kuchukua kilakitu alichokipigania Mo kwa Miaka mingi

    Waache waendelee tu kujenga majungu huku watani wanajenga timu. Madhaifu ya yanga yanatibika na Siku wakisimama Africa watahodhi vitu vingi sana. Uongozi wa kutafutana na Akina Chama, Phiri na Okra. Wa kijinga sana. Wachezaji sio gari kwamba utaliuza utanunua lingine zuri. Uongozi utafukuza...
  4. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Mashabiki wa Yanga ndiyo wanunuzi wa habari za michezo Tanzania

    Ukitaka habari zako za michezo ziuze hapa Tanzania, andika au toa habari za kuisifia au kuitukuza Yanga. Hakuna mashabiki wanaonunua habari za michezo hapa Tanzania kuliko mashabiki wa Yanga. Kwa hili mashabiki wa Yanga mheshimiwe.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Yanga bingwa tena msimu huu wa 2023/2024 , wanasimba tujiandae kisaikolojia

    Nikiwa kama shabiki kindakindaki wa klabu ya Simba sc ,nathubutu kusema kwa kinywa kipana kuwa Yanga atatwaa tena ubingwa wa ligi kuu ya NBC msimu wa 2023/2024. Naitazama Yanga kwa jicho la kimpira naona kabisa kuwa wameizidi simba kwa vitu vingi sana. Wachezaji wa Yanga wana ari na shauku ya...
  6. kiwatengu

    JamiiForums Tanzania Ukweli Mchungu; Chama Jr akija Yanga, Benchi litamuhusu sana. Nashauri aende Azam

    Kwa kiwango alichonacho kwasasa sio rahisi aanze kwenye 1st eleven ya Gamondi. Na siku zote Chama hajawahi kuwa mzuri akitokea Benchi. Atapata nafasi Azam FC. Kuliko Yanga! Yanga wakimsajili ni kwa ajili yakupeleka makasiriko Msimbazi na si vinginevyo.
  7. funaku

    JamiiForums Tanzania Yanga the African galacticos

    Hakuna shaka kabisa sasa Timu ya wananchi Dar es Salaam Young Africans inaenda kuwa timu ya vigogo na masuperstars wa Africa...a.k.a African galaticos. Kila la kheri Engeneer Hersi na GSM.
  8. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Yanga ijikite Kombe la Shirikisho

    Mpaka sasa katika hatua ya makundi hakuna matokeo ya Yanga ambayo yamekuwa tofauti au ya kushangaza sana tofauti na yale tuliyoyatarajia. Labla yale ya kushindwa kupata point 3 kutoka kwa Medeama kule Ghana. Kutoka suluhu na mwarabu kwa Mkapa si matokeo ya kushangaza, Yanga alihitaji ushindi...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Yanga komaeni kushinda mechi zenu: Hii ndoto ya kutaka Al Ahly amfunge CRB ugenini ni ndoto ya bafuni wakiwa wanaoga!!

    Namna pekee (the only scenario) ya Yanga kutinga robo fainali ni ya kushinda mechi zake zote mbili zilizobaki dhidi ya CRB nyumbani na dhidi ya Al Ahly wakiwa ugenini! Kama ubavu huo hawana wasahau ndoto za kuingia hatua ya robo fainali!! Kama Al Ahly alishindwa kumfunga CRB akiwa nyumbani ni...
  10. M

    JamiiForums Tanzania UTABIRI: Yanga Sc kuishia na alama 5 tu katika makundi ya CAF Champions league

    Nimeweka uzi huu kuwakumbusha wana Yanga kuwa ule muda wa kucheka umekwisha marabaada ya kupata ushindi kwa mara ya kwanza ktk hatua ya makundi ya klabu bingwa barani Africa ndani ya miaka 88 toka kuanzishwa kwa klabu hiyo. Vituo vinavyofuata ni Al Ahly na CR Belouizdad ambao bila ya shaka...
  11. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Hayawi hayawi sasa yamekuwa, hatimae Yanga SC yapata ushindi kwa mara ya kwanza baada ya miaka 80

    Ndugu zangu vifijo na nderemu vimetawala mitaa ya jangwani baada ya klabu ya yanga kujipatia ushindi kwa mara ya kwanza katika historia ya klabu hiyo. Ikumbukwe mapema leo klabu hiyo ilikuwa ikipepetana dhidi ya timu kibonde kutoka Ghana medeama fc kisha kuichabanga magoli matatu kwa mtungi...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Hongera Simba na Yanga

    1. Simba na Yanga hongera, kujipa nguvu nyumbani Mmeonesha ubora, bara pia visiwani. Mmeionesha dira, kwamba mmekuza Fani Kaza buti msikwame, shikilia hapohapo 2. Kaza buti msikwame, shikilia hapo hapo. Msitari msihame, kwepa tabia ya popo. Kwa kabumbu mjitume, kataa kuwa makopo. Kaza...
  13. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Yanga mmeingizwa bure ila mmeingia wachache kuliko Simba walioingia jana kwa pesa zao

    Hivi hii Yanga ina mashabiki kweli au tumekuwa tunadanganyana tu muda mrefu. Inakuwaje Simba iliyotoka katika kipindi kigumu iingize mashabiki wengi jana kuliko nyie mlioambiwa mtaingia bure leo tena katika mechi ya kihistoria? Nasema ya kihistoria kwa sababu leo mlitegemewa mpate ushindi...
  14. kiwatengu

    JamiiForums Tanzania FT: Young Africans SC 3 - 0 Medeama FC | CAFCL | Benjamin Mkapa Stadium | 20.12.2023

    🔰𝐌𝐀𝐓𝐂𝐇𝐃𝐀𝐘🔰 🏆 #CAFCL ⚽️ Young Africans SC Vs Medeama SC 📆 20.12.2023 🏟 Benjamin Mkapa 🕖 4:00pm Mungu Ibariki Tanzania!! Mungu ibariki Yanga!! #DaimaMbeleNyumamwiko# Kikosi cha Yanga kinachoanza. Kikosi cha Medeama Kinachoanza. Dakika ya 33' Yanga wanapata goli, kupitia kwa Pacome. Yanga 1 -...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Yanga ipo nafasi ya pili kwa sababu Wapinzani wao hawajacheza

    Mashabiki wa Yanga wanashangilia, wanaweza wasielewe hili kutokana na ndio hivyo tena mnajua, mambo ya uelewa tena Ila ni kuwa CRB akicheza na Ahly watarudi kwenye nafasi yao halali
  16. MKATA KIU

    JamiiForums Tanzania YANGA hatupo vizuri kucheza mechi kwenye jua. Mechi kuanza saa 10 jua bado kali.. Yanga tunaweza kufungwa Dar

    Habari wadau. Yanga tupo vizuri sana kwenye mechi zenye mazingira mazuri ya hali ya hewa ya kutochoka.. maana mpira wetu ni pasi za kutosha.. Kucheza juani naona kabisa kutoboa ngumu leo. Yanga huwa tunateseka sana kucheza kwenye jua
  17. Southern Highland

    JamiiForums Tanzania Bora uvunje viti ukiwa na jezi ya YANGA kwenye mechi ya YANGA

    Bila blah blah nadhani wote tulishuhudia kilichotokea mexhi ya Yanga dhidi ya Al Ahly hasa baada ya mgeni(Ahly) kutangulia kupata goli la uongozi baadhi ya mashabiki wakiwa na jezi nyekundu walionekana wakivunja na kuruka juu ya viti kushangilia goli lile la uongozi kabla Yanga hawajasawazisha...
  18. William Mshumbusi

    JamiiForums Tanzania Leo yanga watajuta kuwashitaki waamuzi CAF.

    Waamuzi hawapendi sana kukosolewa na kushitakiwa. Alifanya hivyo sana Mourinho Chelsea sema alikuwa na kikosi bora sana na alizikabili hujuma. Ila Yanga leo watajua hawajui
  19. J

    JamiiForums Tanzania Ina maana Caf hawajui logo ya Yanga au ni dharau?

    Ukicheki club nyingine kama Simba, Wydad, Mamelodi, Mazembe, Al Ahlyna nyinginez majina yao yameandikwa huku pembeni yake kuna logo isipokuwa Yanga na vitimu vingine vidogo Najiuliza ni kuwa hawaifahamu logo ya Yanga au ni dharau? Maana Yanga imecheza fainali ya Shirikisho na kuvaa medali...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Yanga inambidi amfunge Medeama goli 5 ili kufufua matumaini ya kufuzu

    Ki ukweli japo mi shabiki wa Simba nataka pia Yanga apite robo, sababu itakuwa heshima kwa TZ kuwa na timu mbili robo fainali, katika timu 8 (Hata Misri ni mara chache anafanikiwa kuingiza timu 2 robo fainali) Ili Yanga awe na nafasi ya kufuzu robo sio tu amfunge Medeama bali anatakiwa...
Back
Top Bottom