Hiki ndicho kikosi changu cha kwanza cha mchezo wa maruduo kati ya wananchi Yanga dhidi ya Madeama

Tate Mkuu

JF-Expert Member
Jan 24, 2019
28,409
81,901
Naomba nisiwachoshe.

1. Djugui Diarra
2. Kwasi Jeshi
3. Joyce Lomalisa/Farid Mussa Malick
4. Dickson Job
5. Bakary Mwamnyeto
6. Ibrahim Bacca
7. Khalid Aucho
8. Max Nzengeli
9. Stephen Aziz Kii
10. Hafiz Konkoni
11. Pacome Zouazoua.

Subs: Abutwalib Mshery, Kibwana Shomary, Nickson Kibabage, Gift Fred, Zawadi Mauya, Sure Boy, Mudathir Yahaya Abbas, Clement Mzize, Kenned Musonda, Jesus Moloko.

Lengo la kuanza na hicho kikosi ni kuhakikisha timu inashambulia kwa kasi, inamiliki mpira na pia kukaba kwa wakati mmoja. Mzize akiingia dakika za mwisho atasaidia timu kwenye kuongeza mashambulizi. Maana hao Medeama kwenye ile mechi ya yao awali kule Ghana, walionesha dalili za kukata pumzi kwenye dakika za mwisho.

Napendekeza Hafiz Konkoni kuanza, kwa sababu anawafahamu zaidi hao Medeama kuliko hata Mzize au Musonda.

Aziz Kii mchezaji mkubwa. Uwepo wake kwenye mechi kama hiyo ya kufanya maamuzi, ni muhimu sana.
All in all, mechi hii ushindi ni lazima ili kufufua matumaini ya kusonga mbele. Naitakia ushindi mnono timu ya Wananchi Yanga.
 
nyie jipangeni ila medeama hawataruhusu goli wale jamaa wamedhamiria kwelikweli na wana cheza kwa morari hatari..aina ya mpira wao hawatafika mbali ila wataawaaribia team nyingi tu moja wapo ni yanga.
 
Hafiz Konkoni ni sawa na Yanga kucheza pungufu "10 players".

Jinsi Simba alivyopigwa kwa Mzungu na Sawadogo halikadhalika Yanga iliangukia pua kwa Konkoni.
 
nyie jipangeni ila medeama hawataruhusu goli wale jamaa wamedhamiria kwelikweli na wana cheza kwa morari hatari..aina ya mpira wao hawatafika mbali ila wataawaaribia team nyingi tu moja wapo ni yanga.
Muhimu waingie tu kwenye mfumo wetu. Hakika siku hiyo watapigwa kama ngoma.
 
Naomba nisiwachoshe.

1. Djugui Diarra
2. Kwasi Jeshi
3. Joyce Lomalisa/Farid Mussa Malick
4. Dickson Job
5. Bakary Mwamnyeto
6. Ibrahim Bacca
7. Khalid Aucho
8. Max Nzengeli
9. Stephen Aziz Kii
10. Hafiz Konkoni
11. Pacome Zouazoua.

Subs: Abutwalib Mshery, Kibwana Shomary, Nickson Kibabage, Gift Fred, Zawadi Mauya, Sure Boy, Mudathir Yahaya Abbas, Clement Mzize, Kenned Musonda, Jesus Moloko.

Lengo la kuanza na hicho kikosi ni kuhakikisha timu inashambulia kwa kasi, inamiliki mpira na pia kukaba kwa wakati mmoja. Mzize akiingia dakika za mwisho atasaidia timu kwenye kuongeza mashambulizi. Maana hao Medeama kwenye ile mechi ya yao awali kule Ghana, walionesha dalili za kukata pumzi kwenye dakika za mwisho.

Napendekeza Hafiz Konkoni kuanza, kwa sababu anawafahamu zaidi hao Medeama kuliko hata Mzize au Musonda.
Aziz Kii mchezaji mkubwa. Uwepo wake kwenye mechi kama hiyo ya kufanya maamuzi, ni muhimu sana.
All in all, mechi hii ushindi ni lazima ili kufufua matumaini ya kusonga mbele. Naitakia ushindi mnono timu ya Wananchi Yanga.
Medeana anenda kula five
 
Sijui kwanini ila nauchukia sana mpira wa bongo. Tena hasa baada ya kuibuka hawa matapeli wanaojiita wahisani sijui watoa pesa, yaani wameviteka kabisa. Wana take advantage ujinga wa watu wengi , wananufaika wao wenyewe, na wabongo maskini hawana habari , wamegeuzwa mtaji. Wamekaa kushangilia upumbavu tu..

Hawa mnaowaita wawekezaji wanapata faida kubwa sana , Hakuna mkataba wowote upo hadharani, wamejimilikisha vilabu. Wameweka matangazo mpaka matakoni, yaani sijui hata nisemeje mnielewe. Aisee soka linakua , ila kuna watu wanafaidi sana hivi vilabu

Naishia hapa Kwa leo
 
Kunywa maji mengi mkuu.....bila GSM..Yanga walikuwa Hali mbaya
 
Sijui kwanini ila nauchukia sana mpira wa bongo. Tena hasa baada ya kuibuka hawa matapeli wanaojiita wahisani sijui watoa pesa, yaani wameviteka kabisa. Wana take advantage ujinga wa watu wengi , wananufaika wao wenyewe, na wabongo maskini hawana habari , wamegeuzwa mtaji. Wamekaa kushangilia upumbavu tu..

Hawa mnaowaita wawekezaji wanapata faida kubwa sana , Hakuna mkataba wowote upo hadharani, wamejimilikisha vilabu. Wameweka matangazo mpaka matakoni, yaani sijui hata nisemeje mnielewe. Aisee soka linakua , ila kuna watu wanafaidi sana hivi vilabu

Naishia hapa Kwa leo
Dah! Pole sana Kiongozi. Bongo bila ya wawekezaji, maisha hayaendi!! Na kama huamini, basi subiri Mo atangaze leo kujitoa pale Msimbazi!! Nakuhakikishia kuna watu watamlamba hata migui, ili tu abadili huo uamuzi wake.
 
Apunguze beki aanze mudathiri
Mabeki watano mechi ya nyumbani sio poa
Coach ajilipue ashambulie tuko home ground
 
Sijui kwanini ila nauchukia sana mpira wa bongo. Tena hasa baada ya kuibuka hawa matapeli wanaojiita wahisani sijui watoa pesa, yaani wameviteka kabisa. Wana take advantage ujinga wa watu wengi , wananufaika wao wenyewe, na wabongo maskini hawana habari , wamegeuzwa mtaji. Wamekaa kushangilia upumbavu tu..

Hawa mnaowaita wawekezaji wanapata faida kubwa sana , Hakuna mkataba wowote upo hadharani, wamejimilikisha vilabu. Wameweka matangazo mpaka matakoni, yaani sijui hata nisemeje mnielewe. Aisee soka linakua , ila kuna watu wanafaidi sana hivi vilabu

Naishia hapa Kwa leo
Ulaya hakuna uwekezaji?
Team zinajiendesha tu hovyo hovyo?
 
Back
Top Bottom