yanga

Young Africans Sports Club (maarufu kama Yanga ni Timu ya Soka nchini Tanzania iliyoanzishwa mnamo mwaka 1935.

Jina la utani wanajulikana kama Timu ya Wananchi (Wananchi) au Wanajangwani.
  1. C

    JamiiForums Tanzania Wenye akili kubwa na tunaomjua vyema tulishasema msemaji wa simba sc ni mwana yanga sc mno mkabisha na kutukana

    Tena simba sc wamechelewa sana kumshtukia na kuja na onyo hili kwake Kwa miezi miwili sasa kama ukiwa makini kila ukimsikia msemaji wa simba sc ahmed ally akiongea na media utagundua kuwa hayuko serious kabisa na kwa 99%. anachokifanya ni mzaha mwingi pamoja na ukomedi wake ambao wala hauna...
  2. Tajiri Tanzanite

    JamiiForums Tanzania Yanga itaishia hatua ya makundi club bingwa 2023/2024

    Hapo vip!! Nimeona hili niliweke wazi na niwaandae wachezaji na washabiki wa yanga kisaikologia. Sababu za kuona yanga ikiishia hatua ya makundi club bingwa ni hizi. Yanga ni timu ndogo sana katika barani Afrika..haipo hata kwenye timu bora 20 bora Afrika. Yanga inacheza na timu kubwa na bora...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Ni aibu..Nimetazama kwa makini hapa sijaona jezi ya Yanga

    Licha ya kujaza Wacongoman kibao kwenye timu yao, sijaona jezi ya Yanga kwenye picha hii ya wachezaji wa timu ya taifa ya DRC wakiwa na jezi za club zao Tunasajili magasa tu?
  4. Majok majok

    JamiiForums Tanzania Simba mnayo safari ndefu ya kuijenga timu yenu, zile 5 za Yanga zinaweza kuja kujirudia msipofanyia kazi mapungufu yenu!

    Nimeifatilia Simba kwenye mechi zote za mapinduzi cup na nimeona bado wanayo matatizo makubwa sana ya kiufundi, nilitegemea mabadiliko baada ya benchikha kuichukua timu lakini silioni ilo kwa sasa! Simba bado Wana shida ya kucheza mpira wa taratibu na kujenga mashambulizi kwa mwendo wa konokono...
  5. kipara kipya

    JamiiForums Tanzania Penati kakosa Kagere mbona Yanga mnaumia?

    Nimechunguza Kagere alivyokosa pigo la mwisho la penati wengi wanaolaumu na kudhihaki ni wapenzi, mashabiki halikadhalika na viongozi wa yanga kuliko singida wenyewe. Yanga walishasema hawakuwekeza nguvu sana kwenye hiyo michuano, walichukulia kama mazoezi na kuangalia wachezaji wao wale...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Yanga Mliona mbali sana Mapinduzi Cup

    Baada ya Mlandege kupita jana na Simba kupita leo nusu fainali, sasa ndipo naelewa ni kwanini timu ya Yanga haikuyapa UMUHIMU MASHINDANO Haya. Yanga mliona mbali sana
  7. Vincenzo Jr

    JamiiForums Tanzania FT: Yanga SC 1-3 APR FC | Mapinduzi Cup | Aman Complex | 07/01/2024

    Tupo tayari kwa mchezo wa robo fainali mechi ni saa 2:15 usiku Mungu ibariki Yanga SC Takwimu za kipindi cha kwanza.
  8. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Yanga vs APR, tuchezeshe kikosi B ama C?

    Niko Zanzibar kwa ajili ya robo fainali. Niliikuwa na baadhi ya viongozi wa Yanga asubuhi moja ya mambo yanawaumiza kichwa ni hawa APR tuwape kikosi B ama C? Nkasema si mbaya kupata ushauri wenu pia. Muda badoo unaruhusu weka maoni yako tuweze kuona tunawapa APR ladha ipi.
  9. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Jinsi mzungu alivyoiba idea ya Yanga

    😀😀😀😀 Hivi Utopolo mnawachukuliaje mashabiki wenu?
  10. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Ilikuawaje Yanga wakaweka bango la kuonesha kwamba wameifunga Simba 5 -???

    Kwa zaidi ya mwezi sasa nafanya utafiti kuona kama kuna timu nyingine duniani zaidi ya Yanga, iliwahi kubandika bango barabarani kuonesha kwamba wameifunga timu nyingine, mpaka sasa bado sijapata!! Kiliwatokea nini wana Yanga kuja na wazo kama lile!!
  11. kiwatengu

    JamiiForums Tanzania FT: Yanga SC 0 - 0 KVZ FC | Mapinduzi Cup | New Amaan Stadium | 04.01.2024

    🔰𝐌𝐀𝐓𝐂𝐇𝐃𝐀𝐘🔰 🏆 #mapinduzicup ⚽️ Young Africans SC Vs KVZ FC 📆 04.01.2024 🏟 Amaan, Zanzibar 🕖 2:15 Usiku Ni Match ya Round ya Tatu. Yanga Tayari ameshaingia Robo fainali, Mechi inachezwa kukamilisha ratiba tu. Tunategemea kupata burudani kweli kweli kutoka kwa Wananchi. KIKOSI CHA YANGA...
  12. Majok majok

    JamiiForums Tanzania Yanga ndio timu pekee iliyotoa wachezaji wengi kucheza AFCON 2024, timu bora inaendana na usajili bora

    Ni ngumu sana kupenya kwenye vikosi vya timu za taifa kwenda kucheza michuano mikubwa barani afrika, ubora pekee wa mchezaji husika ndio umpelekea kocha kumjumuisha mchezaji kwenye kikosi chake Cha mapambano! Kwa Tanzania ni klabu moja pekee iliyofanikiwa kupeleka wachezaji wengi kwenye timu za...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Yanga kuhusu usajili wa Msuva

    Nimesoma kupitia mitandao kuwa Yanga wanataka kumsajili Simon Msuva. Ushauri wangu kwa Yanga kuwa waachane na Msuva. Mpira wake umekwisha. Msuva umri umeenda. Waendeee kumwamini Skudu ni mchezaji mzuri na hatari. Hakuna haja kumtosa Skudu.
  14. Vincenzo Jr

    JamiiForums Tanzania FT: Yanga SC 2-1 Jamus FC | Mapinduzi Cup | Aman Complex | 02/01/2024

    Tupo tayari kwa mchezo wetu wa pili wa kombe la Mapinduzi hapo baadae ni saa 2:15 usiku Mungu ibariki Yanga SC Kila la kheri Yanga SC
  15. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Kwa nini Yanga wanatafuta Straika wakati Crispin Ngushi yupo?

    Straika wa Yanga Crispin Ngushi Jana katupia mbili kwenye mchezo wa Yanga dhidi ya Jamhuri,lakini kakosa bao tano za wazi na kumpoteza mipira mingi sana, Je Ngushi anafaa kuwa straika tegemeo la Yanga!? Je Mayele alikuwa akiyafanya kwa ufasaha mkubwa sana na bado tulimponda, ndio tulihitaji...
  16. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Okra kutuvalia kata K watu wa Yanga alimaanisha nini?

    Unajua adabu ya mtu unaijua toka mwanzoni. Okra mchezaji mzuri sana, najua atatusaidia. Jana sikupenda allivyovyaa kwa kweli ile jeans yake, Yanga watu wa heshima siku zote. Kuna kipindi alikuwa anatembea huku anavuta jeans juu means jeans ilikuwa inashuka huu sio ustaarabu wa yanga. Msaidien...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Yanga kumsajili Okrah ni sawa na kuweka kiraka kikuu kwenye nguo mpya!

    Ni suala la muda tu itakapodhihirika kuwa walichokifanya ni sawa na kuweka kiraka kikukuu kwenye nguo mpya! Ni hayo hayo Bernard Morrison! Soka la kisasa nidhamu inapewa kipau mbele kuliko kipaji!! Nidhamu mbovu huua kipaji na kuleta hasara kwa timu na mchezani, yetu macho!!
  18. Vincenzo Jr

    JamiiForums Tanzania FT: Yanga SC 5-0 Jamhuri SC | Mapinduzi Cup | Aman Complex | 31.12.2023

    Yanga tunajiandaa kuwakabili Jamhuri SC muda ni saa 2:15 usiku. mungu ibariki Yanga SC Kila la kheri Yanga SC Wafungaji Ngushi 10', 17', Kibwana 22', Mzize 38', Skudu 45'
  19. murthehelp

    JamiiForums Tanzania Ni kweli Simon Msuva anakuja Yanga?

    Habari za hivi karibuni zilizopo hadi sasa zinaeleza kuwa kuja kwa Simon Msuva kujiunga na Yanga SC bado ni taarifa rasmi haijathibitishwa na klabu zenyewe. Kwa sasa inaonekana kama tetesi tu na hakuna tangazo rasmi kutoka kwa pande zote mbili. Tutafuatilia kwa karibu na kutoa taarifa za...
  20. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Yanga ikiingia robo fainali inaweza kuipaisha Simba katika rank za CAF na FIFA

    Huu unaweza kuwa uzi wangu wa mwisho kwa mwaka 2023 na nataka nimalize mwaka kwa ujumbe chanya. Wenye akili zao watausoma na yale watakayoona ni mazuri wataenda kuyafanyia kazi. Yanga na Simba bado wako kwenye mbio za kufuzu kwenda katika robo fainali ya klabu bingwa ya Afrika. Yanga hajacheza...
Back
Top Bottom