Kwa wanyamwezi, Kilio cha "mayu noyaga" ni cha "mama nimekoma".
Hicho ndicho kilio kinachowasubiri Yanga watakapokutana na Medeama hapo kesho!
Medeama ni kitimu ambacho hakipo hata kwenye ramani ya soka la Afrika lakini kwa yanga ni mlima mrefu usiopandika!
Tuliwaambia michuano ya losers...
Kocha wa Yanga Miguel Gamond akiongea na vyombo vya habari kabla ya mechi yao na Medeama kesho amenukuliwa akisea
"Ni lazima tushinde mechi yetu ya kesho mbele ya Medeama ili tufuzu hatua inayofuata, najua sio rahisi ila tutaweza kesho kupata alama, tumepata alama moja kwenye kundi ila timu...
Hapo vipi?
Kuna jambo nimejifunza sana kwenye hii michuano ya club bingwa.
Kwanza uelewe hizi timu zinazocheza ni bora sana, hilo ni la kwanza kabisa.
Hivyo wanapokuja katika michuano hii hawachezi kwa lengo la kumiliki mpira na kushambulia ila wanacheza technically (mpira wa akili na...
Kilichotokea kwake kwa wanamichezo ni rahisi tu kusema hakuwa mchezoni.
Ila kabla ya Gemu Aziz ki alionekana akiongea na wachezaji wa Al Ahly weusi na kufurahi mno. Wakagonga wakaingia uwanjani. Wanamichezo tunasema fair play.
Kwenye gemu sasa. Hakuonesha madhara kabisa. Hata sehemu za...
Juzi katika mechi ya Yanga vs Al Ahly uwanja wa Mkapa, mashabiki wa Yanga waling'oa viti na kuwarushia mashabiki waliokuwa wanaishangilia Al Ahly. Inteligensia yangu imeniambia kuwa mashabiki wa Yanga walifanya hivyo baada ya kuudhiwa na kitendo cha mashabiki wa Al Ahly kuwasha moshi uliosambaa...
Kwa kikosi walichonacho na uwezo binafsi wa mchezaji mmoja mmoja bila kusahau wanavyoendelea kurekebisha makosa yao, naiona Yanga hii ikitinga hatua ya robo fainali mapema tu. Hata msimamo katika kundi lao, bado unatoa nafasi kwa kila timu kusonga mbele huku nikiamini Yanga yuko katika nafasi...
Shabiki wa timu ni mhimili laini wa timu ambao kazi Yake kwenye timu ni kusimamia furaha yao isipotezwe na wachezaji, viongozi, wafadhili na wadhamini wa timu yao. Yaani malipo ya shabiki wa timu ni furaha TU ya ushindi wa timu. Mashabiki ndio mjeredi (whip) imara wa timu kuwafanya wachezaji...
Kwa mechi niliyoiona jana ya Simba dhidi ya Galaxy, na Galaxy ndio anaongoza kundi
Nikacheki tena ile ya Simba dhidi ya Asec, na Asec na Galaxy ndio "wababe" wa kundi
Hakika Yanga angepangwa kundi hili hadi sasa angekuwa na pointi 6 na angemaliza na pointi 18
Tuache kujipa moyo eti mfumo wetu tunaweza shinda bila namba 9 mwenye quality ya juu. Pengo linaonekana harry kane au haaland anahitajika. Hakuna timu duniani imechukua kombe kubwa bila kuwa na namba 9 wa maana.
Mzize, Konkoni na Musonda wameprove failure.
Naomba anaeweza kuweka ratiba aiweke huku akizingitia kuonyesha ni wapi mechi husika zitachezwa kwa maana ya home and away.
Kama ilivyo kwa timu nyingine, bila shaka zimebaki mechi ambapo mbili ni za nyumbani na mbili za ugenini.
Nyumbani ni dhidi ya Medeame na CRB na ugenini ni dhidi ya Ahly...
Habari Wakuu,
Kuelekea Mechi za CAF CHAMPIONS LEAGUE kesho tarehe 2 December, Matokeo yatakuwa kama Yafuatavyo,
Yanga vs Al Ahly (Yanga Atashinda)
Jwaneng vs Simba (Itaisha kwa Draw)
Tp mazembe vs Mamelod (Tp Mazembe Atashinda )
Mimosas vs Wydad (Wydad Atashinda)
Nouadhibou vs pyramids...
Leo mida ya saa 1:00 jioni inatarajiwa kuchezwa mechi ya pili ya kundi D ikiwakutanisha mabingwa wa kihistoria wa Tanzania (Yanga) dhidi ya Mabingwa wa Kihistoria wa Afrika kutokea Misri (Al Ahly). Mechi inachezwa katika Uwanja wa Mkapa uliopo Dar es Salaam Tanzania.
Unafikiri nani ataibuka...
Club ya Simba ni moja kati ya Klabu inayopenda sifa za hovyo na za kipropaganda, kesho Jumamosi Simba inaenda kunyolewa huko ugenini na Galaxy, halafu kesho mashabiki wa mihemko wa Simba kama kawaida yao watarudi kwenye Media na kuanza kusema Mangungu aondoke, Try Again, Saido, Chama, Kapombe...
Hapo vip!
Leo ilikuwa nawasikiliza waandishi wa habari walijaribu kuwahoji wachezaji wa ALLy Ahlly dhini ya kujuaa ukubwa wa Simba cl na yanga.
Wachezaji wa Ally Ahly wamesea hawajawahi kukutana na yanga kwasababu ni timu ndogo ila kwa tanzania ni maarufu,wakasema timu kubwa wanaoijua Tanzania...
Kwakweli dunia inakwenda kasi sana, Jana nimeona page ya Yanga ikihamasisha mashabiki kwenda kupokea Mgeni airport, basi nikajuwa ni mchezaji mpya kumbe eti ni msanii.
Viongozi msilete masihara, mechi na Al Ahaly ni ngumu Kwahiyo tuache ujinga ujinga tujikite kwenye maandalizi ya mechi hii...
Kuna dalili kubwa Simba ikamaliza nafasi ya tatu msimu huu kama SI kuwa wa mwisho kwenye ligi,Kwa mpira uliopigwa na Asec ni wazi kuwa lazima Simba atapoteza match yake ya away hivyo, kundi limezidi kuwa zito baada ya Wydad kugongwa na galaxy.
Vile vile Kwa upande wa Young African kama...
Nianze kwa kueleza kusikitishwa kwangu na kiwango kidogo cha uelewa kilicho onyeshwa na baadhi ya wana jf ambao walikuja kuushushua utabiri wangu baada ya mechi.
Komenti za wana jf hao zilinifanya nikumbuke maneno ya mtu mmoja mwenye hekima na busara ambae aliwahi kusema kwamba " The same...
Kuna huyu mtangazaji wa Manara TV anayehoji watu kwa kifaransa, leo alimuhoji mchezaji wa ASEC Mimosas. Watu wamekuwa wanamsifia sana huyu dogo kisa ufahamu wake wa lugha ila ukiangalia inaonyesha hajawahi kupitia mafunzo yoyote ya uandishi wa habari kwa sababu kuna vitu vingi anavikosea ikiwemo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.