Yanga na Simba waanzishe vikundi vya kuchekesha - Vigodoro!

Jaji Mfawidhi

JF-Expert Member
Feb 20, 2016
14,047
20,411
Klabu ya Yanga wamekuwa wa kuzodoa zodoa tena kwenye media , wasemaji wamejenga chuki kuliko washabiki, wamefanya chuki kubwa sana. Yanga wamesababisha Simba nayo ianze kujibu na kuonekana wajinga lakini upuuzi ulianzishwa na Yanga.

Ali Kamwe na Shayo[Privadinho] kama wangepata na wanadada wengine wawili wenye tabia kama zao, wanaweza kupata kikundi kizuri cha kusuta na kikawa kinakodishwa kwenda kusuta na kuzodoa ila si kutumika kwenye mpira wetu wa Tanganyika.

Gongo wazi", utopolo ni majina hayana ladha kwa jamii iliyoelimika, ni maudhi na binafsi wasomi wengi huwa hawapendi kwakuwa gongo wazi ni watoto wanazaliwa hivyo si kwa mapenzi yao bali genetical, the same na utopolo, haya majina ikipendezwa hawa comedians waache matra moja.

Viongozi wa Yanga wamekuwa wakivaa jezi za timu pinzani wa Simba kunapokuwa na mechi za kimataifa.
Viongozi wa Yanga badala ya utani wao wanakwenda airport kupokea wapinzani wa Simba na kwenda mbali zaidi kuwapa siri za Simba na kuizomea Simba dhidi ya wapinzani.

Haijawah kutokea Simba akacheza na Al Ahly alafu washabiki wa Zamalek wakaja wamevaa jezi za Simba na kuitukana Al -Ahly.

Watu wachache wameharibu mpira, yupo Ali Kamwe, Shayo[Privadinho], na wakati mwengine Ahmed Ally.
Yanga wanaoana Simba amefungwa Na Waydad wanaizomea Simba badala ya kuungana na simba na bila kujua Simba imeiheshimisha Tanganyika na kusababisha kupata nafasi nne kimataifa.

Yanga imekaa miaka 25, umri wa Wema Sepetu bila kuingia CAF Champions , Simba hawakuwahi kuwazomea kwa hilo na wa Tanganyika wengi hawakuwahi kujua hilo mpaka mwaka huu walipoanza kuitukana Simba na Simba ndio ikajibu mapigo kwa kuweka hizo takwimu wazi.

WhatsApp Image 2023-12-13 at 10.40.36.jpeg

WhatsApp Image 2023-12-13 at 10.38.08.jpeg
 
Ngombaru wapo kila sekta. Yule sema ovyo (Mr. oa-acha-oa Tena) ndo aliharibu Moira hapo Bongo.
Hatujachelewa, ukimsikiliza na kumwangalia Kamwe anaemda Clouds, anachukua mike kwa dakika 10 anazopewa dakika nane anatumia kuitukana Simba na kuionyesha ni kama klabu ya netball huku dakika 2 akizungumzia akizungumzia maisha yake yalivyoboreshwa na GSM.
 
Mkuu tatizo liko kwa pande zote mbili, Ahmed Ally hawezi fanya interview yoyote bila kuinanga Yanga, hivyo hivyo kwa Ally Kamwe, timu zote zimekuwa na utamaduni wa kunangana. Unasema Simba hawajawahi kuwacheka Yanga kwa kukaa miaka 25 bila kuingia makundi champions league, dah labda ulikuwa umehama Tanzania hii, kwa miaka miaka mitano mfulilizo ambayo Simba alikuwa anafanya vyema kwenye mashindano ya Afrika, Yanga hajawahi kusalimika na ndimi za mashabiki wa Simba!
 
Ahmed Ally alianza kujibu baada ya Simba na Mashabiki wao kutukanwa sana:
Binafsi wanaume ninawaheshimu sana na sisi wanawake hatuwezi tukana hadharani ila Ali Kmwe hata jana Pale Chamazi alikuwa anawazomea Simba Queen na kushangilia JKT Queens, its okay kushangilia utakacho lakini ni aibu kuwa na chuki, mpira ni furaha ndio maana utaona wachezaji wa Man U wanapoteza game kwa Arsenal na baada ya game wanakwenda kwenye birthday ya mchezaji wa Arsenal.

ali Kamwe na Shayo wameharibu mpira wa Tanganyika, binafsi ingalikuwa mamlaka yangu ningewatengua, hawafai kuwepo kabisa.
 
Hizi vurugu za wasemaji zilianzishwa na simba wakati msemaji wao ni manara Mpaka akaleta neno utopolo !
Hata hivyo siungi mkono Ali kamwe na kuendeleza huu upuuzi .
 
Yanga wamekuwa wa kuzodoa zodoa tena kwenye media , wasemaji wamejenga chuki kuliko washabiki, wamefanya chuki kubwa sana. Yanga wamesababisha Simba nayo ianze kujibu na kuonekana wajinga lakini upuuzi ulianzishwa na Yanga.

Ali Kamwe na Shayo[Privadinho] kama wangepata na wanadada wengine wawili wenye tabia kama zao, wanaweza kupata kikundi kizuri cha kusuta na kikawa kinakodishwa kwenda kusuta na kuzodoa ila si kutumika kwenye mpira wetu wa Tanganyika.
Gongo wazi, utopolo ni majina hayana ladha kwa jamii iliyoelimika, ni maudhi na binafsi wasomi wengi huwa hawapendi kwakuwa gongo wazi ni watoto wanazaliwa hivyo si kwa mapenzi yao bali genetical, the same na utopolo, haya majina ikipendezwa hawa comedians waache matra moja.

Viongozi wa Yanga wamekuwa wakivaa jezi za timu pinzani wa Simba kunapokuwa na mechi za kimataifa.
Viongozi wa Yanga badala ya utani wao wanakwenda airport kupokea wapinzani wa Simba na kwenda mbali zaidi kuwapa siri za Simba na kuizomea Simba dhidi ya wapinzani.

Haijawah kutokea Simba akacheza na Al Ahly alafu washabiki wa Zamalek wakaja wamevaa jezi za Simba na kuitukana Al -Ahly.

Watu wachache wameharibu mpira, yupo Ali Kamwe, Shayo[Privadinho], na wakati mwengine Ahmed Ally.
Yanga wanaoana Simba amefungwa Na Waydad wanaizomea Simba badala ya kuungana na simba na bila kujua Simba imeiheshimisha Tanganyika na kusababisha kupata nafasi nne kimataifa.

Yanga imekaa miaka 25, umri wa Wema Sepetu bila kuingia CAF Champions , Simba hawakuwahi kuwazomea kwa hilo na wa Tanganyika wengi hawakuwahi kujua hilo mpaka mwaka huu walipoanza kuitukana Simba na Simba ndio ikajibu mapigo kwa kuweka hizo takwimu wazi.

View attachment 2841242
View attachment 2841241
Kikundi kingine cha kigodoro ukiongoze wewe maana uliyoandika yote ni kigodolo type.
 
Nchi hii kilakitu kinafanywa kwa mazoea na sio kitaaluma.

NI MJINGA PEKEE NDIO ANAEWEZA KUSEMA HII NCHI IPO SERIOUS KWENYE MAMBO INAYOFANYA.

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
 
Back
Top Bottom