yanga

Young Africans Sports Club (maarufu kama Yanga ni Timu ya Soka nchini Tanzania iliyoanzishwa mnamo mwaka 1935.

Jina la utani wanajulikana kama Timu ya Wananchi (Wananchi) au Wanajangwani.
  1. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Tukisema Yanga SC kuna Njaa na Shida muwe mnatuelewa tafadhali

    EXCLUSIVE: "Nimeandika barua ya kuvunja mkataba na Yanga kwa sababu sijalipwa mishahara yangu kwa muda wa miezi mitatu sasa. Mimi ni raia wa kigeni unategemea nitaishi vipi hapa"-Lamine Moro mchezaji wa Yanga. Chanzo Habari: Mtandao wa Shaffih Dauda Leo tarehe 7 Disemba 2019 EXCLUSIVE: Falcao...
  2. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwahiyo Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF) hawajawaona Wachezaji wazuri wa Yanga SC yangu hadi wawaone wa Simba SC tu?

    Medie Kagere ametajwa na Shirikisho la Soka Afrika (CAF) kwenye orodha wachezaji wanaowania Tuzo ya Mchezaji Bora wa Mwaka ngazi ya Vilabu 2019 (African Interclubs Player of the Year). Emmanuel Okwi ambaye msimu uliopita alikuwa sehemu ya kikosi chetu na yeye ametajwa kuwania tuzo hiyo...
  3. BASIASI

    JamiiForums Tanzania Hata kama tumechoka yanga leo wanacheza tupeni updates wakuu

    Kwa mlio Dar Mtusaidie hili jamani najua tumechoka ila yanga leo wanacheza any updates
  4. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Mechi gani ya Watani wa jadi (Simba na Yanga) unaikumbuka zaidi?

    Habari zenu wakuu, Leo katika pita pita zangu katika mtandao wa YouTube nikakutana na vipande vinavyoonesha mechi mbalimbali za Simba na Yanga. Nikiwa kama mdau ma mfuatiliaji wa soka la nyumbani mara nyingi huwa naona mechi zinazoikutanisha Miamba hii ya soka nchini huwa zinakosa mvuto...
  5. kavulata

    JamiiForums Tanzania Yanga hamjakurupuka kumfukuza Zahera?

    Siyo jambo la ajabu kocha kufukuzwa kwenye club timu ikikosa matokeo viwanjani, lakini hii ya Zahera kushindwa kuifunga Pyramids na Ruvu kustahili kufutwa kibarua hainiingii akilini. Pyramids ina uwezo mkubwa uwanjani na nje ya uwanja kuliko timu yoyote kwenye ukanda wa CECAFA. Yanga ndiyo timu...
  6. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Kocha Mwinyi Zahera aachia ngazi Yanga. Mkwasa kuinoa kwa muda

    Yanga imevunja mkataba na kocha wake Mwinyi Zahera pamoja na benchi zima la ufundi sambamba na kuvunja kamati ya mashindano. Zahera ametimuliwa na klabu hiyo wakati mwenyewe ameendelea na kazi yake kama kawaida. Zahera leo asubuhi amefika mazoezini kwenye Uwanja wa Chuo cha Polisi Kurasini na...
  7. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Nani aliyewaambieni na kuwadanganyeni kuwa Kocha wa Pyramids FC haijui Ligi ya Tanzania na Timu bora ya Simba SC?

    Ifuatayo ni Nukuu yake aliyoitoa jana mara baada ya Kumalizika kwa mtanange baina ya Timu yake na Yanga SC ambayo aliisema kwa Kiarabu na kwakuwa Mimi An Eagle najua Kiarabu sana nikaweza Kuitafsiri kwenu kama hivi….. " Wachezaji wa yanga ni laini kama bamia au tambi kama yule namba 14 ndiyo...
  8. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Ifuatayo ni Ratiba yetu wana Yanga SC ya Kuwapokea Mashujaa wetu kutoka Misri baada ya Kufuzu Kwao Makundi Klabu Bingwa Afrika kwa Kuwatoa Pyramids FC

    Saa 10:00 Timu Kuwasili Saa 10:20 Wachezaji Kushuka kutoka katika Ndege kwa Magoti na Makalio Saa 10:30 Wachezaji Kuangaliwa kwa Jicho baya sana na Wahudhuriaji Uwanjani Saa 11:00 Golikipa Shikalo Kutemewa Mate na Mashabiki na Kupigwa Masingi Saa 11:20 Kocha Zahera Kuwambwa Makofi hadi akumbuke...
  9. Turnkey

    JamiiForums Tanzania CAF Confederation: Kikosi cha Yanga imeshindwa kufurukuta mbele ya wapinzani wake Pyramids, yafungwa 3 kwa 0

    Leo kuna mtanange wa kukata na shoka kwenye viunga vya Cairo..na hiki ndio kikosi cha Yanga kitakachoanza ====== Waarabu wa Misri Waibana Mbavu Yanga Kikosi cha Yanga jana kimeshindwa kufurukuta mbele ya wapinzani wake Pyramids kwenye mchezo wa marudio wa Kombe la Shirikisho uliochezwa...
  10. GAZETI

    JamiiForums Tanzania Naamini Yanga wanaenda kuwaduwaza wengi leo

    Kabla ya yote niwaambie wale wanaobet wasiwe na hofu kabisa Moja ya mechi ambayo itawaduwaza washabiki wengi wa soka basi ni hii ya leo dhidi ya Mwarabu ambaye anaenda kupigwa kwao. Leo weka hata MKEO Yanga hafungwi abadani. Nitarudi hapa baada ya mechi. Leo ni siku ambayo Fowadi ya Yanga...
  11. Mshuza2

    JamiiForums Tanzania Kuna dalili za game ya Yanga kutooneshwa kukwepa aibu

    Sioni dalili za game ya Yanga kuoneshwa..yawezekana ikawa ni ombi lao ili kukwepa aibu ya kuona jinsi watakavyokua wakiadabishwa na pyramids.. Hata hivyo dunia kijiji link zipo na wale wa dstv kama kama kawa kama dawa.. Updates: Azam wameshindwa kwenda mbashara. Nilichokua nahisi...
  12. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Wana Yanga SC wenzangu hivi tunamuelewa vyema makamu mwenyekiti wetu kwa hizi kauli zake za kushangaza na kushtua?

    Anaseme kwamba.... " Pyramids FC ni timu ya kawaida sana, haina hadhi kwa Yanga SC wala uwezo wowote wa Kuifunga Yanga SC na ni moja ya Timu nyepesi kuliko Timu zote ambazo Yanga SC imewahi Kukutana nazo tokea ianzishwe ". Na sijui kwanini anapenda mno Kuirudia hii Kauli kila anapokuwa...
  13. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mwadui FC chezeni kama mlivyocheza na Simba SC jana pia mkicheza na Yanga SC ili mbebe Kombe la VPL kabisa

    Kumbe Mpira huwa mnaujua sasa kwanini kila Msimu wa Ligi huwa mnapumulia tu Mashine huku mkiwa hatarini Kushuka daraja na badala yake mnabaki tu Kusumbua Waamuzi kwa ‘ Kuwahonga ‘ Pesa zenu kidogo za hapa Mgodini ili mbakie Ligi Kuu? Ombi Kuu kwenu ni kwamba nawaombeni nyie Mwadui FC kuwa hata...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Yanga usajili wa wachezaji ndio unawaangusha

    Kinachoiangusha Yanga ni kutofanya usajili wa maana. Wachezaji waliowasajili wengi hawana viwango kabisa. Igeni mfano wa jirani zenu wa Simba na Azam, wanapocheza utafurahi kabisa. Mchezaji kama Ngassa ni wa nini kumsajili? Umri umemtupa na hata mchezo anaouonyesha ni kiwango cha chini...
  15. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Je, Poulsen kumng'oa Zahera Yanga ?

    Hii kitu imekaaje wakuu ?
  16. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Lipumba alifuata nini uwanjani?

    Huyu mtu aliyoyafanya nchi hii hamkutakiwa kumruhusu kutia pua uwanjani .
  17. DonDonald

    JamiiForums Tanzania Kombe la Shirikisho: Yanga yaanza vibaya kwa kukubali kufungwa 2 -1 dhidi ya Pyramids ndani ya CCM Kirumba

    Mabingwa wa kihistoria nchini, Dar es Salaam Young Africa al maarufu kwa jina la Yanga wanaingia uwanjani leo kupambana na timu ya soka ya Pyramids ya kutoka nchini Misri katika mechi ya kwanza ya mtoano kutafuta nafasi ya kuingia kwenye hatua ya makundi kwenye mashindano ya Kombe la Shirikisho...
  18. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mchezaji mahiri na muhimu Yanga SC Kelvin Yondan akosa mazoezi kisa 'chai' huko mkoani Mwanza

    Tukisema kuna 'njaa' mnakasirika na kununa. Chanzo: Gazeti la Mtanzania la 26/10/2019, ukurasa wa 21.
  19. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Baada ya wachezaji wa timu tajiri nchini ya Simba SC kukabidhiwa pikipiki, hivi ndivyo mchezaji wa Yanga SC Fei Toto alivyopewa makavu yake

    Yafuatayo ni Mawasiliano ‘ Kiduchu ‘ kwa njia ya Meseji ( SMS ) kati ya Mchezaji Mwandamizi wa Simba SC Hassan Dilinga ( HD ) na Kiungo wa Timu Masikini na inayoenda Kushuka daraja nchini kwa Msimu huu Yanga SC hasa baada ya Kusikia kuwa Rafiki yake huyo pamoja na Wenzake wa Simba SC leo...
  20. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Huenda huyu ndiye akawa mwana Yanga SC mwenye ' Akili ' kubwa kuliko wengineo na ambaye pia ninamheshimu na kumkubali

    " Majeraha kwa kalengo ni kama kifo na binadamu na hili viongozi tuli wapa ushauri mapema kuhusu usajili wake.Una msajili vipi mchezaji alie umia mara 21 ndani ya mwaka mmoja tena una enda kumpa mkataba wa miaka miwili mchezaji alie cheza mechi 4 tu msimu mzima bila kumpima afya kwa kisingizio...
Back
Top Bottom