Rais Magufuli ashangalia goli la Yanga, nimeipenda hii

Magu bwana nimemuona anashangilia bao la yanga ata kama yeye ni simba na kavaa jezi ya yanga nimeipanda ayo ndio mambo tunataka kuliunganisha taifa.
Hajavaa Jezi ya Yanga, bali kavaa jezi ya mchanganyiko
 
HUYU MAGU ATAKUWA YANGA, automatic tu amejikuta anashangalia Yanga..
 
Magu bwana nimemuona anashangilia bao la yanga ata kama yeye ni simba na kavaa jezi ya yanga nimeipanda ayo ndio mambo tunataka kuliunganisha taifa.
usiamini kila kinachotoka kwenye kinywa cha mwanasiasa. mwanasiasa anaweza kuku convince nyeusi uone ni nyeupe.

JPM unaweza kuta ni Yanga damu huyo, lakini kwa upande mwingine tayari amewaaminisha watu kuwa yeye Simba.

jeee, umeisahau ile kauli yake ya "maendeleo hayana vyama" vs anachokifanya kiuhalisia?

trust a politician at your own peril!!
 
Matokeo hadi sasa half time
FB_IMG_1583678958590.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom