GSM anaachana na yanga kwasababu ya wajumbe hawa

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,149
GSM ANAACHANA NA YANGA KWASABABU YA WAJUMBE HAWA.

Wajumbe watatu wa Kamati ya Utendaji

1. Rodgers Gumbo
2. Richard Shija
3. Salum Rupia

Walikuja na ajenda kwenye kikao cha Kamati ya utendaji kuwa Kampuni ya GSM inafanya usajiri bila kuitaarifu Kamati ya Utendaji. Wajumbe wengi ne walibisha sana juu ya jambo hili na kusema kuwa GSM kafanya hili kwa kuitetea Yanga je kosa lipo wapi. Kamapuni ya GSM iliandikiwa barua isijihusishe na usajiri.

GSM imeandika barua tarehe 24.03.2020 kwenda Yanga na haitajihusisha tena na Mambo ambayo ni nje ya mkataba wa Jezi. Imeachana na mshahara wa Kocha na benchi lote la ufundi.

Huu ndio ukweli.. Maadui wa yanga kwasasa mbali na MAGOMA ni Gumbo, Rupia na Shija bila kumsahau Kamugisha. Mambo ya msemaji wetu Bumbuli kukanusha ni uongo. Na baada ya kikao cha kamati bwana Rupia aliongea na muandishi aitwae NAHEKA na huyu mwandishi ndie alieawafungua wengi macho.

Huu ni ukweli wa asilimia mia moja. Ghalibu kaandika barua na imepokelewa yanga.tarehe 24 mchana. Bodi.ya GSM imemshauri Ghalib kushugulika na jezi tu basi.

Bwana Gumbo, Shija, Rupia na Kamgisha hatutachanga tena na tutakufa na nyie.
 
hivi PHD ya mshindo msola ina faida gani Yanga, yaani mtu hana 'vission' hana 'mission' hana 'influence' yoyote na hali tulimchagua tukijua ni Msomi atakaye tuvusha tulipokwama, yaani anapitwa hata na marehem rashid matunda kwenye uenyekiti, daaa nyie wasomi wa wetu wa leo leo nyie Mungu anawaona, sijui ni madessa, sijui ni vitinni, sijui ni kanyanga, sijui ni honda ndizo zilizo wapa usomi?
 
Bongo ndo maana hatuendelei mpaka kwenye sekta ya michezo kuna mambo ya ajabu. Mdhamini na usajili ni wapi na wapi? Kazi ya uongozi ulioteuliwa na wanachama ni ipi? Na mnatetea kabisa mnaona ni jambo la haki kwa mdhamini kusajili yeye.
 
Bongo ndo maana hatuendelei mpaka kwenye sekta ya michezo kuna mambo ya ajabu.. Mdhamini na usajili ni wapi na wapi..? Kazi ya uongozi ulioteuliwa na wanachama ni ipi..? Na mnatetea kabisa mnaona ni jambo la haki kwa mdhamini kusajili yeye..
Viongozi hawana strategies za kuingizia timu hela na timu inaendeshwa kwa pesa. Kama timu haifanyi vizuri mdhamin kama GSM anaathirika pakubwa sababu anategemea kuuza jezi apate faida, sasa timu bovu nan angenunua jezi so GSM walijiongeza baada ya kuona timu inapoelekea wangepata hasara. Maviongozi maboya hayana vision.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
viongozi hawana strategies za kuingizia timu hela...na timu inaendeshwa kwa pesa,

kama timu haifanyi vizuri mdhamin kama GSM anaathirika pakubwa sababu anategemea kuuza jezi apate faida..sasa timu bovu nan angenunua jez...so GSM walijiongeza baada ya kuona timu inapoelekea wangepata hasara...maviongoz maboya hayana vision.

Sent using Jamii Forums mobile app

Viongozi hao wabovu ndio waliomtafuta GSM wakaingia nao mkataba, so naposema hawana strategies za kuingizia timu hela ni kama huwatendei haki hao viongozi.

Ni jambo lililowazi kwenye hivi vilabu vikubwa, wakati uongozi huu unapokuwa madarakani, basi kuna wanachama wengine wanakuwa busy ku-sabotage jitihada za walio madarakani, mradi waonekane hawafai, ili wao au hao wanaowashabikia waje kuchukua uongozi. Ndilo linalotokea Yanga sasa hivi. Bahati mbaya mpaka hao wadhamini wanakuwa ni sehemu ya mgogoro badala ya kubakia na udhamini tuu..
 
hao viongozi toka waingie madarakan, wamefanya kitu gan cha maana zaidi ya kuhamasisha bakuli...
Viongozi hao wabovu ndio waliomtafuta GSM wakaingia nao mkataba, so naposema hawana strategies za kuingizia timu hela ni kama huwatendei haki hao viongozi..

Ni jambo lililowazi kwenye hivi vilabu vikubwa, wakati uongozi huu unapokuwa madarakani, basi kuna wanachama wengine wanakuwa busy ku-sabotage jitihada za walio madarakani, mradi waonekane hawafai, ili wao au hao wanaowashabikia waje kuchukua uongozi.. Ndilo linalotokea Yanga sasa hivi.. Bahati mbaya mpaka hao wadhamini wanakuwa ni sehemu ya mgogoro badala ya kubakia na udhamini tuu..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
GSM asepe tu atuachie timu yetu sisi ndo wananchi. Anataka kujimilikisha yanga kiholela, atengeneze timu yake kama anaona ni rahisi.
 
hao viongozi toka waingie madarakani, wamefanya kitu gan cha maana zaidi ya kuhamasisha bakuli.

Sent using Jamii Forums mobile app

Bottom line, sitetei viongozi, bali kwa maoni yangu hata kama kiongozi ni mbaya, bt yupo pale na madaraka yake yako kikatiba. Kama hawafai, basi kuna taratibu kwa mujibu wa katiba ya timu, lakini haiingii akilini ati mdhamini aingilie uendeshaji wa klabu wakati katiba ya klabu haijasema hivyo.

Kwa mifumo hii ya kiuendeshaji soka kwa vilabu hivi vikubwa, usitegemee kupata viongozi watakaoweza kuleta maendeleo unayoyataka.
 
hivi PHD ya mshindo msola ina faida gani Yanga, yaani mtu hana 'vission' hana 'mission' hana 'influence' yoyote na hali tulimchagua tukijua ni Msomi atakaye tuvusha tulipokwama, yaani anapitwa hata na marehem rashid matunda kwenye uenyekiti, daaa nyie wasomi wa wetu wa leo leo nyie Mungu anawaona, sijui ni madessa, sijui ni vitinni, sijui ni kanyanga, sijui ni honda ndizo zilizo wapa usomi?
Kwenye Simba na Yanga hilo unaloliwaza halipo, kuna watu wanajiita wenye timu yao na ndio mizigo katika hizo timu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom