GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 56,544
- 108,871
SAKATA LA CHAMA: MWAKALEBELA AWAOMBA RADHI SIMBA
Makamu Mwenyekiti wa Yanga Fredrick Mwakalebela ameomba radhi kufuatia kauli yake kuwa ameshaanza mazungumzo na kiungo wa Simba, Clatous Chama.
Mwakalebela amesema alitoa kauli hiyo kama sehemu ya utani wa jadi dhidi ya Simba baada ya kuwepo kwa taarifa kuwa watani zao hao wanamuwinda kiungo wao, Papy Tshishimbi.
Katibu Mkuu huyo wa zamani wa TFF, amesema hajazungumza chochote na mchezaji huyo kuhusu usajili, na kama angekuwa na nia hiyo angefuata utaratibu, kwa kuwa yeye kiongozi wa juu mwenye weledi katika soka.
“Kiukweli na uhalisia mchezaji huyo sijazungumza naye… Kwa kuwa hapa katikati tumekuwa na mazungumzo ya utani kati yetu na wenzetu wa Simba… walikuwa wakieleza kuwachukua wachezaji wetu kama Tshishimbi basi na mimi nikaona niseme jambo”
“Inaonekana jambo hili nimelizungumza limevuka mipaka basi natumia fursa hii kuiomba msamaha Simba, TFF na wenzangu wa Yanga. Labda nilizidisha utani naamini kabisa jambo kama hili halitaweza kutokea tena kwangu”, amesema Mwakalebela.
Mapema leo kupitia #WasafiFM Msemaji wa Simba, Haji Manara alisema wataishtaki Yanga TFF kwa kuvunja utaratibu wa kuzungumza na mchezaji wao ambaye bado ana mkataba nao hadi Julai 2021.
GENTAMYCINE nawaonya na nawaambia Simba Sports Club yangu mapema kabisa hapa hapa JamiiForums na naomba aliye na ' access ' na Msemaji wa Simba SC au Mwekezaji wetu Mohammed Dewji au Mwenyekiti wetu wa Wanachama Mwina Seif Kaduguda ' awafowadie ' hili bandiko langu haraka sana.
Nina sababu zangu Kuu kadhaa za kutotaka huyu ' Mpuuzi ' Makamu Mwenyekiti wa Yanga SC Fredrick Mwakalebela asisamehewe kabisa kama zifuatazo:
1. Alipokuwa akizungumza na Vyombo vya Habari jana alikuwa akizungumza kwa Kuidharau mno Simba SC
2. Alipokuwa akizungumza na Vyombo vya Habari jana hata ' Body Language ' yake ilijaa Kudhamiria jambo fulani na hakuwa akitania hata kidogo
3. Alipokuwa akizungumza na Vyombo vya Habari jana alikuwa akimaanisha kuwa Yanga SC wanajua Sheria na Utaratibu wa Kimpira duniani kuliko Simba SC, TFF, CAF na FIFA
4. Alipokuwa akizungumza na Vyombo vya Habari jana alikuwa akitaka Kuonyesha Jeuri na Ubabe wa Yanga SC yake ndani ya Soka la Tanzania
5. Alipokuwa akizungumza na Vyombo vya Habari jana alikuwa akionyesha kuwa Yanga SC yake kwa Makusudi kabisa ndiyo ilimtuma kufanya Upumbavu ( Upopoma ) ule
6. Alipokuwa akizungumza na Vyombo vya Habari jana alikuwa akitaka Kuuaminisha Umma kuwa Yanga SC ni Timu isiyogusika na isiyotishika na yoyote yule na kwa lolote lile
7. Alipokuwa akizungumza na Vyombo vya Habari jana alikuwa akionyesha kuwa Yanga SC ipo zaidi Kivita ( Kiuadui ) na Kukomoana na Simba SC lakini siyo kwa ile dhana ya FIFA ya FAIR PLAY hivyo aliidharau Simba SC
Wapumbavu hawa walianza hii Michezo yao ya ' Kipuuzi ' kwa Kelvin Yondan, Mbuyi Twite na sasa walitaka Kuurudia kwa Clatous Chota Chama wakidhani kuwa Serikali ya sasa hivi na Uongozi wa sasa wa TFF ni ule ule waliouzoea wa Mshabiki Wao Mkuu Rais Mstaafu Kikwete na aliyekuwa Rais wa TFF Malinzi wakasahau kuwa Tanzania ya sasa ipo chini ya Jemedari Dkt. John Pombe Joseph Magufuli.
Nawaomba Simba SC kupitia Viongozi hao niliowataja hapo juu bila Kumsahau CEO Wetu ' makini ' Senzo Mazingisa wamchukulie hatua Kali kabisa Makamu Mwenyekiti huyu ' Mpuuzi ' wa Yanga SC Fredrick Mwakalebela kwa Kumshtaki TFF kisha CAF na hatimaye FIFA pamoja na Klabu yake ya Yanga SC ili iwe Fundisho na tuweze Kuheshimiana.
Simba SC tunapenda mno Utani lakini siyo Utani huu wa Kipumbavu ambao kama ukiendelea kuachwa au kuchekewa kwa Asili na Uhalisia wa Mashabiki wake kuna Siku ' Dhahama ' kubwa itakuja kutokea nchini Tanzania. Na leo nimeamini rasmi ni kwanini hata CCM hawakumkubali Mwakalebela huko Iringa lakini pia hata wana Yanga SC wengi wenye Akili nao hawajawahi Kumkubali.
Simba Sports Club hii ya CEO Mweledi kabisa na Mwekezaji Mohammed Dewji siyo ya Kuchezewa chezewa hivi. Kudadadeki!