yanga

Young Africans Sports Club (maarufu kama Yanga ni Timu ya Soka nchini Tanzania iliyoanzishwa mnamo mwaka 1935.

Jina la utani wanajulikana kama Timu ya Wananchi (Wananchi) au Wanajangwani.
  1. R

    JamiiForums Tanzania Anayewaelewa Yanga atueleweshe

    Ukifatilia post nyingi za washabiki wa Yanga wakisaidiwa na waandishi wao wenye mahaba wamekuwa wakiilaumu Simba kwa kuua vipaji vya wachezaji, wameisema sana Simba kwa kitendo cha kumdajili Ajibu wakati alikuwa anatakiwa na TP Mazembe lakini wanasahau walikataa kumruhusu Jerry There kucheza...
  2. Pdidy

    JamiiForums Tanzania GSM anaachana na yanga kwasababu ya wajumbe hawa

    GSM ANAACHANA NA YANGA KWASABABU YA WAJUMBE HAWA. Wajumbe watatu wa Kamati ya Utendaji 1. Rodgers Gumbo 2. Richard Shija 3. Salum Rupia Walikuja na ajenda kwenye kikao cha Kamati ya utendaji kuwa Kampuni ya GSM inafanya usajiri bila kuitaarifu Kamati ya Utendaji. Wajumbe wengi ne walibisha...
  3. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Mwakyembe ingilia kati ahadi za wachezaji wa yanga iwe fundisho kwa wengine kuropoka

    Iko wazi wachezaji wa Yanga hawajalipwa pesa zao za mechi ya Simba waliohaidiwa. Mmh mwakyembe tinaomba hili swala ingilia kati owe fundisho kwa wowote wanaoahidi bila kulipwa. Kama mnakumbuka wachezaji wa yanga waliwahi kugoma huko nyuma gsm wakasema wanawalipa wote na kutoa mil 200...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Baada ya kutumia nguvu nyingi kwa simba leo yanga yawa mdebwedo kwa KMC

    Baada ya kutumia nguvu nyingi kwa simba Leo yanga yawa mdebwedo kwa KMC
  5. Ghazwat

    JamiiForums Tanzania Uwanja wa Taifa | Dar Derby, Vodacom Premier League (VPL) Yanga SC yaibamiza Simba SC kwa goli 1 - 0 ; Morrison akata mzizi wa fitina

    Hello Tanzania na kando ya Tanzania Patashika ya Ligi Kuu Tanzania Vodacom Premier League (VPL), kuendelea kutimua vumbi leo Jumapili ya March 8, 2020 kwa kuwakutanisha watani wa Jani katika jiji la Dar es salaam, ambapo Yanga African SC, Wananchi wa Jangwani wanawakaribisha Simba SC, Wekundu...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Uganga wa Mshana Jr. unapofeli; Yanga 1 Simba 0

    Ama kwa uhakika mkuu Mshana jr leo umetuangusha bhana. Baada ya kukusoma katika ule uzi wa Bawacha pale Mlimani City kwamba leo Mnyama hapakatwi bali anauwa, si ndio nikaagiza bia zangu kusherehekea ushindi lakini yaliyojiri wewe mwenyewe umeyashuhudia. Kamanda mshana jr leo umeniangusha!
  7. technically

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli ashangalia goli la Yanga, nimeipenda hii

    Rais Magufuli bwana nimemuona anashangilia bao la Yanga hata kama yeye ni Simba na kavaa jezi ya Yanga nimeipanda hayo ndio mambo tunataka kuliunganisha taifa.
  8. H

    JamiiForums Tanzania Game ya Yanga vs Simba itakuwa ngumu Sana

    Mashabiki wengi wa Simba wameshatengeneza mentality ya wao kushinda dhidi ya Yanga Tena kwa magoal mengi kwa kuamini Yanga ni mbovu.Me ni mshabiki wa Simba lakini kwenye derby chochote kinaweza kutokea kwa team zote mbili kitendo Cha Yanga kuaidiwa mil 200 na uongozi wao Kama wakishinda...
  9. Marry Ngowi

    JamiiForums Tanzania Vilabu vya Simba na Yanga vivunjwe?

    Kuna mdau mmoja wa michezo ameomba nimuwekee mawazo yake hapa! Naomba kuwasilisha!
  10. Mzukulu

    JamiiForums Tanzania Mashabiki wa Yanga FC wangekuwa na Akili Kubwa na hawana Unafiki kama Mshabiki Mwenzao Privaldinho ningewaheshimu sana

    Ifuatayo ni nukuu ya Shabiki wa Yanga FC na Mwandishi Mchambuzi Privaldinho aliyoiandika katika Ukurasa wake wa Instagram hasa baada ya Kuchoshwa na Uwendawazimu wa Mashabiki wengi wa Timu yake ya Yanga FC anayoishabikia..... " Namshangaa sana Shabiki wa Yanga FC anayetumia muda wake mwingi...
  11. N

    JamiiForums Tanzania Picha: Wachezaji sita wa Yanga watimuliwa kwa kushindwa kulipa kodi Kariakoo

    Yumo Sonso, Adeyumi, Makame na Balama. Yaani nyumba ya vyumba viwili na sebule wachezaji walikuwa wanaishi sita kukiwa na kitanda kimoja na magodoro. Hapo lazima lile moja alilopewa balama na GSM lilikuwepo. So sad kwa kweli, imebidi wahamie mkwajuni kwenye nyumba ya bei nafuu. GSM wanalipa...
  12. BASIASI

    JamiiForums Tanzania Yanga watashinda kwa penalty na kuelekea mbele

    Najuaa itawaumizaa kidogo wanna Yanga na kuwafurhisha Timu yetuu itapata wakati.mgumu sana na kama Ht watatoka drw yà 0-0 Basii tujiandaee kisaikolojia na ushindi via penalty
  13. Mzukulu

    JamiiForums Tanzania Jerry Muro ni wa kutilia shaka sana ujio wake Dar | TAKUKURU Kuweni makini hapo

    Umeona kuwa Kesho Yanga SC yako ikicheza na Gwambina FC katika Kombe la ASFC kwa Udhaifu na Uchanga wa Timu hiyo ya Gwambina leo umejifanya Kujitokeza katika Vyombo vya Habari na kusema kuwa Kesho Yanga SC itaibuka na Ushindi mnono na kuwataka wanayanga wote wajazane Uwanjani kuishangilia Timu...
  14. BASIASI

    JamiiForums Tanzania Kwa matokeo haya labda Yanga tukagombee namba za NIDA

    Najuaaa tunapopitia sihaba kuamini akuna kipya mbeleni. Kwa matokeo haya tukapange tu foleni pale Kawe tugombanie namba za NIDA. Sioni tunachoshindania mpaka sasa ajabuu unakaa bar kula unaonaa kundi la watu linaingia kuangalia Yanga as if wanagombani kakombe fulani.
  15. Mwanahabari Huru

    JamiiForums Tanzania Baba Askofu Rev.Dr.Benson Bagonza (PhD):Alipokuwa mchezaji wa Yanga, Simba walimsema ni bomu (dhaifu) na hana lolote

    Alipokuwa mchezaji wa Yanga, Simba walimsema ni bomu (dhaifu) na hana lolote. Amejiunga na Simba, sasa Simba wanasema wamesajiri jembe la uhakika. Nao Yanga wanasema Simba wamechukua bomu ambalo litawalipukia. Mchezaji mwenyewe alipokuwa Yanga, alisema yeye ni Yanga na Yanga ni yeye. Hata damu...
  16. BASIASI

    JamiiForums Tanzania Ili kuisaidia Yanga, Morrison anahitaji utulivu na heshima uwanjani

    POLEN sana. wana Yanga wenzangu waacheni watakawatakaosemaa tugange ya mbeleni Leo nimeona nishauri HILI jambo VIONGOZI wangu WA Yanga wanapenda sana HILI jukwaa kwa TAARIFA tu Ila zaidi n kuomba uongozi ukae na Morrison AJUE yuko kwa ajili ya Yanga na sio vinginevyo Sijakataa ile penalty...
  17. Turnkey

    JamiiForums Tanzania Yanga watumia GPS vest

    Amkeni amkeni..hatimaye Yanga wameanza kutumia GPS vest na kuwa klabu ya kwanza nchini na ukanda wote wa kusini mwa Jangwa la Sahara kuwahi kuzitumia.. GPS vest moja inagharimu milioni 24...habari mbaya sana kwa mikia maana hawana uhalali tena wa kusema Yanga ni masikini...Mara ya kwanza...
  18. Cvez

    JamiiForums Tanzania Kama lawama ni mashindano Yanga wapewe ubingwa wao.

    Hii timu siku hizi inalalamika mfano hakuna, kila ikipatwa na dhahama Simba kwao anahusika. Hakuna jema kwao kila kitu lawama.
  19. BASIASI

    JamiiForums Tanzania Kwa matukio haya ya marefa je TFF wanawalipa mda muafaka? Je wanacholipwa kinastahili sawa na kazi zao..Napita tu

    Ukiwa nje aikuumi Ila ukiwa ndan ya uwanja utaelewa upuuzi na ujinga uuvumilie ama umalizane na refa Hapo nyuma wachezaji wa yanga kadhaa walipiga mwamuzi pamoja na kukimbia bado aliyapata aliyoyataka Kwamatukiio ya refa wa mechi mbili za simba hapo nyuma na huyu ea yanga jana sina budi...
  20. H

    JamiiForums Tanzania Leo mtoto hatumwi dukani: Yanga vs Mtibwa Sugar

    Leo kutakuwa na game ya kukata na shoka kati ya Young Africans, Watoto wa Jangwani wakikutana na team ngumu na mabingwa wa Kombe la Mapinduzi a.k.a wazee wakulambisha sukari Mtibwa kwenye Uwanja wa Taifa si yakukosa. Nini maoni yako kwenye game ya leo?
Back
Top Bottom