Baada ya kutumia nguvu nyingi kwa simba leo yanga yawa mdebwedo kwa KMC

Zile 200ml walizoaidiwa hawakupewa wachezaji,,uongozi wameziminya wamelipia deni vyumba vya kupanga wachezaji pamoja na deni la kwa mama lishe,,,
hii taarifa ni ya uhakika 100%

Sent using Jamii Forums mobile app
Gate collection: TZS 165 M; Ahadi ya zawadi 200 M. Ama kweli kumbe za kuambiwa changanya na za kwako!
 
Kama kipaumbele chao ni Mechi ya Simba tu Ubingwa watausikia .
 
ila kwa kweli wachezaji, viongozi na benchi zima la ufundi la yanga ni wapuuzi kweli kweli na wanastahili kupigwa bakora 100 kila mmoja
 
Na tutaendelea kutumia nguvu nyingi kwako na ndiyo maana msimu huu nimekusanya pointi nne kutoka kwako unayedai una kikosi kipana Bodaboda/Mikia FC club
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom