Wabunge wa CHADEMA kuhamia NCCR/ CUF ni sawa na mchezaji mahiri kuhama Simba kwenda Toto Africans badala ya Yanga!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,947
141,927
Niwapongeze sana Mwita Waitara na Dr Mollel wao hawakutaka kushangaa shangaa barabarani wametoka chama kikuu cha upinzani Chadema na kuhamia direct chama tawala CCM.

Bado sijaelewa sababu za msingi kwa Lwakatare kuhamia Cuf hata kama ameahidiwa ukatibu mkuu lakini Ngangari bado ni chama kidogo sana Wilfred alishavuka hizo level.

Hata kwa Selasini mambo ni yale yale unatoka Simba unaenda kujisajili kwa mtoto wa Yanga... Toto Afrika ya Mwanza.

Maendeleo hayana vyama!
 
Niwapongeze sana Mwita Waitara na Dr Mollel wao hawakutaka kushangaa shangaa barabarani wametoka chama kikuu cha upinzani Chadema na kuhamia direct chama tawala CCM.

Bado sijaelewa sababu za msingi kwa Lwakatare kuhamia Cuf hata kama ameahidiwa ukatibu mkuu lakini Ngangari bado ni chama kidogo sana Wilfred alishavuka hizo level.
Hata kwa Selasini mambo ni yale yale unatoka Simba unaenda kujisajili kwa mtoto wa Yanga......Toto Afrika ya Mwanza.

Maendeleo hayana vyama!
Unaweza ukachezea Simba au Yanga lakini usig'ae kama ukiwa Toto Afrika ya Mwanza. Jambo la msingi ni nyota yako ig'ae alafu upachike magoli na magazeti yakuandike.
Nampongeza Lwakatare kwa uamuzi aliofanya.
 
Kitu nachofahamu kuhusu siasa za Tz/ ....Cuf na Nccr +Act na Tlp nivyama .....Ambavyo vimekuwa Planted by ...Ccm.
 
Bora wahame tu

Huwezi kukaa kwenye chama kinachotumika na Mabeberu
Tena ruzuku anatafuna Mbowe na Lissu na wale wanawake wawili tu
Hiyo ya ccm ulishapewa wew na mamakomkaitafuna au anatafuna babako ikulu huku wewe ukibaki kupiga myayo na smartphone ya polepole hapa jf.
 
Back
Top Bottom