Katika msimu ambao Simba wameandwamwa na vyombo vya habari kuwa wanabebwa na waamuzi ni msimu huu.Waandishi bila kujadili maadili yao ya kazi waliweka ushabiki mbele kuwa Simba inashindwa kwa kubebwa bila kuangalia upande wa pili ambao mechi zao nyingi zimekuwa na maamuzi yenye utata.
Ilifikia...
Wanayanga msiwe na mashaka Hatimaye kocha mzungu kakubali tuendelee na mila zetu. Matokeo tunayo Yanga 2 Azam 0.
Hii itatuweka nafasi nzuri katika kuusakama Ubingwa. Simba wanaenda Poteza Mechi 5 nasi mkakati wetu ni kushinda mechi zote. Tumerudi kushirikiana na KAMATI YA WAZEE.
UONGOZI wa klabu ya Yanga ya jijini Dar es Salaam, umepeleka rasmi malalamiko Shirikisho la Soka nchini (TFF) dhidi ya Klabu ya Simba ya Dar es Salaam pia ikidai inamshawishi winga wake, Bernard Morrison, kujiunga na klabu hiyo kinyume cha sheria na ikitaka haki itendeke na hatua stahiki...
Mabingwa watetezi ligi kuu bara, wekundu wa msimba(simba) leo majira ya saa kumi jioni.
Watakipiga na majirani zao kutoka mkoani pwani Ruvu shooting fc hakika utakuwa ni mchezo mkali na wakusisimua.
Kwa watakao kwenda uwanjani viingilio ni kama ifuatavyo:
1.MZUNGUKO elfu 5000
2.VIP B elfu...
Tulidanganywa hapa na Mhamasishaji wao na Msemaji wao Nugaz pamoja nae Bumbuli kuwa Kiungo Mshambuliaji wao wanayemtukuza kuliko hata Mtume Mohammed na Yesu Kristo ( Kiimani ) aitwae Bernard Morisson Raia wa nchini Ghana kuwa amesinya ( ameshasaini ) Mkataba mwingine wa kuendelea Kuitumikia na...
1. Timu inasafiri na Basi bovu kabisa ambalo wamepata nalo Breakdown mara mbili na kama si Umahiri wa Dereva wangekufa.
2. Bumbuli ni Msemaji wa Yanga SC na Nugaz ni Msemaji wa Yanga GSM Sports Club.
3. Kiungo Mshambuliaji Bernard Morissson Kagoma Kusafiri na Timu kwakuwa haipandi Ndege na Yeye...
=AZVe3IMrRn9NqmqhAlSTx8d70rshwEZgJf9X-44nKyE3aNlNQsQOrC7zBNgD22qTKiLHiCylG5IwlR25TVybWYX9_qphdPjP1n3cPMWoWRaI5oULasItlOe1z3poYGWcctpXgQqzSDcsNwbcOgZI-sO6sMV_lZ0Dz6kg91rgr_yCEg&__tn__=-UC%2CP-R']VIWANJANI LEO
"Sisi kazi yetu kubwa ni kuhakikisha klabu yetu inaweza kusimama kwa miguu yake miwili...
" Katika hili nikiwa kama Kocha wa Makipa wa Klabu ya Yanga niseme tu ukweli kwa jinsi Ratiba hii ilivyo hasa Kwetu Sisi Yanga hatutoweza kuwa na Maandalizi ya kutosha ya kutuwezesha Kubeba ama Ubingwa wa VPL au hata ule wa ASFC japo tutajitahidi Kupambana ila tusidanganyane Matumaini ni madogo...
Kama Mabosi wa GSM wakiweza Kuongea vyema na Marefarii wa Kibongo na hivi wengi sasa wana Njaa kutokana na CORONA hii basi Yanga SC yetu itashinda Mechi zetu zote zilizobaki na Kuiduwaza Timu nisiyoipenda kabisa duniani ya Simba SC. Tuwaombe akina GSM, La Liga na Klabu ya Sevilla waje watusaidie...
Nikiwa kama Mwanachama wa Klabu ya Yanga mwenye Kadi ambayo Namba yake haina ulazima wowote ule kwa Wewe Kuijua naomba niwe wa Kwanza kuiomba Serikali makini inayoongozwa na ' Jemedari ' Rais Dkt. Magufuli kupitia Vyombo vyake ' Nyeti ' kabisa vitupie Macho katika hiki kinachoitwa ni ' Mchakato...
Niwapongeze sana Mwita Waitara na Dr Mollel wao hawakutaka kushangaa shangaa barabarani wametoka chama kikuu cha upinzani Chadema na kuhamia direct chama tawala CCM.
Bado sijaelewa sababu za msingi kwa Lwakatare kuhamia Cuf hata kama ameahidiwa ukatibu mkuu lakini Ngangari bado ni chama kidogo...
WanaJF,
Leo kuanzia saa moja usiku nchi itazizima kwa kufanyika tukio kubwa la kihistoria hapa nchini wakati mabingwa kwa kihistoria nchini, Yanga na kampuni ya Laliga ya Spain watakapokuwa wanaingia mkataba wa kuanza kwa mchakato wa mabadiliko ya mfum wa uendeshaji wa timu ya Yanga
Mchakato...
Itakua jambo la furaha kuona club zetu pendwa za mpira wa miguu zikipatikana kwenye games kama fifa, Pes na magame mengine!
Hizo picha nimezitoa kwenye ukurasa wa habari tu za kimichezo africa zone !
Hili swala la wachezaji wa kigeni linaonekana kama zima moto lakini siyo mwarobaini wa Soka letu.
Hata tukiwa na mmoja wa kigeni soka letu bado lipo hapa hapa, tatizo letu kubwa ni ukuzaji wa vipaji tulivyonavyo. Kama tukiweza kusimamia hilo hata hao wa nje hakuna atakaosumbuka nao.
Cha muhimu...
Mechi hii imechezwa jana majira ya saa 11 alfajir
mechi ilianza kwa kasi na toka mwanzo mwa mchezo Yanga ilitaka kuonyesha umwamba wake mbele ya simba na wakajipatia goli la mapema dakika ya 2 kupitia kwa Bernad Morrison.llilkuwa moja ya magoli matamu kabisa kushuhudiwa ndani ya uwanja wa taifa...
SAKATA LA CHAMA: MWAKALEBELA AWAOMBA RADHI SIMBA
Makamu Mwenyekiti wa Yanga Fredrick Mwakalebela ameomba radhi kufuatia kauli yake kuwa ameshaanza mazungumzo na kiungo wa Simba, Clatous Chama.
Mwakalebela amesema alitoa kauli hiyo kama sehemu ya utani wa jadi dhidi ya Simba baada ya kuwepo kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.