yanga

Young Africans Sports Club (maarufu kama Yanga ni Timu ya Soka nchini Tanzania iliyoanzishwa mnamo mwaka 1935.

Jina la utani wanajulikana kama Timu ya Wananchi (Wananchi) au Wanajangwani.
  1. JamiiForums Tanzania Hii Yanga iliyocheza na Ken Gold ya Chunya ndio inayolilia ubingwa?!

    Msikilize Sunday Manara Computer FT Yanga 1 - Ken Gold FC kutoka Chunya Goli la penati Nimejutia muda wangu,nimetazama mchezo mbovu kabisa wa timu inayoiita timu kubwa dhidi ya timu ndogo kutoka Chunya. Siku ya jana msemaji wao Nugaz Antonio aliwaambia mashabiki hii timu itakula nyingi...
  2. JamiiForums Tanzania Simba wamenikumbusha miaka saba iliyopita

    NDIYO terehe 1 machi 2014 Yanga alimuua Al Ahly 1 - 0 goli la Canavaro dakika ya 82.
  3. JamiiForums Tanzania Live Updates: Yanga SC Vs Mtibwa Sukari,B.Mkapa Stadium

    Tutakuletea updates za maana hapahapa JF hapo saa 1. Mungu ibariki Mtibwa Sukari
  4. M

    JamiiForums Tanzania Zijue sababu za Kimkakati zilizoifanya Yanga SC ya Mwakalebela Kuzungumza na Vyombo vya Habari jana

    1. Uongozi kwa Kushirikiana na GSM Kukwepa Lawama na kuwalazimisha Mashabiki wao waone wanaowakwamisha ni TFF na Kamati zake. 2. Kutaka Kuwatishia Waamuzi ( hasa huyu wa leo dhidi ya Mtibwa FC ) awaogope na awapendelee ili washinde Mechi yao. 3. Kumuhusisha kwa Kumtaja hadi Kumzungumzia...
  5. JamiiForums Tanzania Sisi Mtibwa Sugar tunataka polisi kuimarisha ulinzi Uwanja wa Taifa kukabiliana na wahuni wa Yanga

    Video ikionyesha wahuni wa Yanga wakiahidi kufanyia fujo marefa kama timu yao itafugwa. Mtibwa Sugar tunatoa rai kwa TFF ishirikiane na Jeshi la Polisi kuweka ulinzi na kutoa kipigo cha mbwa koko kwa wahuni wa Yanga. Tunalitaka jeshi litoe onyo kabisa kabla ya mechi,wahuni wanaokuja na matoeo...
  6. F

    JamiiForums Tanzania Yanga tumebebwa mechi nyingi na marefa kuliko tulizoonewa

    Habari wadau, Nadeclare interest mimi ni mshabiki wa yanga.. Ukweli kulalamikia marefa sio sahihi kwamba wanatunyima penalty, tumebebwa mechi na tumepewa penalty nyingi zisizo halali mojawapo game na simba Dar. Penalty ya Kisinda na Onyango sio halali, kama unabisha tazama maridio youtube...
  7. JamiiForums Tanzania Sisi mashabiki wa Yanga tunasema Kaze afukuzwe

    Kocha wetu amefeli sana katika idara zote mfano. 1.Ameshindwa kabisa kuunganisha timu kutengeneza kikosi cha ushindi. Angalia beki ya timu wanakatika Hadi wanagombana mfano Lamine na Mamnyeto 2.Uwezo wa kocha umefika kikomo baada ya hizi droo kinachofuata ni kupoteza point tatu...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Waandishi wa Habari mliokuwepo leo katika Press ya Makamu Mwenyekiti wa Yanga SC mlishindwa kumuuliza Maswali Fikirishi haya?

    1. Je, TFF, Kamati yake ya nidhamu na Mchezaji Bernard Morisson ndiyo inawafanya akina Sarpong, Nchimbi na Feisal kukosa Magoli? 2. Je, TFF, Kamati yake ya nidhamu na Mchezaji Bernard Morisson ndiyo wanafanya Mabeki wao Moro na Mwamnyeto wakatike na Wagombane ndani na nje ya Uwanja? 3. Je...
  9. JamiiForums Tanzania Namuomba Mungu Yanga wafungwe,tuone kama watajitoa

    Kwa kuwa Mtibwa nayo ni timu ina Mungu Kwa kuwa refa naye ni binadam aanaweza kupitiwa Namuomba Mungu afanye jambo kesho, Yanga wapigwe, halafu refa akosee awanyime goli la ofside.Halafu tuone huu upuuzi wanaoongea viongozi wa Yanga. Timu ya maana hawana wanalilia kombe?
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kwa Maelezo haya kutoka kwa Makamu Mwenyekiti wa Yanga Mwakalebela Kwanini isiangushe tu points sasa?

    " Yanga SC inafanya vibaya sasa ( kwa kutoka Sare ) mfululizo kwakuwa TFF na Kamati yake ya Nidhamu inatuhujumu mpaka leo haijakaa Kusikiliza Kesi zetu ", amesema Makamu Mwenyekiti wa Yanga SC alipozunguza na Waandishi wa Habari muda mfupi tu uliopita leo hii. Halafu Waafrika tukichekwa na...
  11. JamiiForums Tanzania Yanga kutoka kikosi hatari cha bilioni 3 mpaka kulilia penati!!!

    Habari za Yanga kusajiri kikosi tishio zilivuma sana. Maelfu ya mashabiki wakavamia airport kupokea professional players. Msemaji wao akaitangazia dunia wamesajiri kikosi cha bilioni 3. Najaribu kujiuliza kutoka kote huko mpaka kulilia penati dhidi ya Kagera Sukari. Next game, Mtibwa...
  12. JamiiForums Tanzania Sare zaendelea kuiandama Yanga

    Michezo mitatu ya Kigi Kuu ya Soka Tanzania Bara imechezwa hii leo katika viwanja tofauti Baada ya kuondoka na alama 1 katika mchezo dhidi ya Mbeya City juma lililopita, Yanga hii leo wameambulia alama moja pia baada ya mchezo wake dhidi ya Kagera Sugar kumalizika kwa sare ya 3-3 Magoli ya...
  13. JamiiForums Tanzania Uwanja wa Mkapa: Yanga yashindwa kutamba uwanja wa nyumbani, yalazimishwa sare na Kagera Sugar

    11': Yanga 0-1 Kagera - Malyanzi 13': Yanga 1-1 Kagera Kisinda (p) 24':Yanga 1-2 Kagera - Mwaterema 30': Yanga 2-2 Kagera - Kaseke 45': Yanga 2-3 Kagera - Mhilu 61': Yanga 3-3 Kagera - Tonombe Mpira umekamilika Uwanja wa Mkapa kwa sare ya kufungana mabao 3-3 na wamegawana pointi. FT |...
  14. JamiiForums Tanzania Yanga SC, kwanini mnadanganya Saido ni injury? Mlipeni pesa za usajili

    Njia ya muongo ni fupi sana. Wiki iliyopita club ya Yanga ilitoa taarifa striker wao ana majeraha aliyoyapata Zanzibar. Nimefuatilia taarifa za ndani sana, habari hizi hazina ukweli wowote. Mchezaji huyu anadai pesa ya usajili na kaweka mgomo. Nimedokezwa kama angekuwa kaumia Zanzibar...
  15. JamiiForums Tanzania Kwa tabia hizi chafu za Viongozi na Mashabiki wa Yanga, TFF wakizinduka tutaadhibiwa

    "Kwa sasa TFF tushukuru wamelala au wana woga. Kitendo tulichofanya juzi uwanja wa Sokoine hakikuwa sahihi. Ifikie hatua tuwe wakweli. Ifikie hatua tuangalie mpira na mchezo wa Mpira na si Ushabiki. Goal tulilopata kiukweli halikugusa mstari lakini refa kama binadamu alitupatia goal hilo na...
  16. JamiiForums Tanzania Nami nasema Fiston wa Yanga hakabiki kirahisi

    Hizi mechi mbili za African Sports na Mbeya City itoshe kusema huyu jamaa ni mashine. Kama waandishi uchwara wanasema hakabisi mimi ni nani nibishe
  17. JamiiForums Tanzania Mbeya City yatoshana ubavu na Yanga

    Rekodi ya sare yaendelezwa katika dimba la Sokoine kati ya Mbeya city dhidi ya Yanga baada ya mchezo uliochezwa hii leo kumaliza kwa matokeo ya 1-1. Goli la Yanga limefungwa na D Kaseke dakika ya 84 . Huku goli la Mbeya city likifungwa na P Athanas kwa mkwaju wa penati kunako dakika ya 90 +4...
  18. F

    JamiiForums Tanzania Yanga mchawi wetu ni hela, wachezaji wa bei rahisi hatuwezi kufanana na mtani ambaye hana ubahili

    Habari wadau, Kama mwanayanga nina huzuni na matokeo ya mbeya.. na pia nina huzuni ya wivu wa mafanikio ya mtani simba. Natambua kabisa mchawi wetu yanga ni hela kama kuna mwanayanga hatambui hilo naomba alitambue. Kikosi cha simba kina watu wa gharama wengi tu. Ndio maana ana uwezo wa kupata...
  19. JamiiForums Tanzania Timu mbovu ya Yanga imewezaje kuongoza ligi hadi sasa?

    Nafuatilia game ya Mbeya city na Yanga, kiukweli kiwango kibovu kinachoonyeshwa na Yanga inashangaza! Haijulikani wanacheza fomesheni gani, yaani haijulikani wamewezaje kuongoza ligi mpaka sasa, Mbeya city inayoburuza mkia haionekani kama ina tofauti yoyote na Yanga yenye wachezaji wa...
  20. JamiiForums Tanzania Taarifa ya Yanga kuhusu Tambwe iliandikwa tarehe 4 Januari

    Utopolo next level
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…