yanga

Young Africans Sports Club (maarufu kama Yanga ni Timu ya Soka nchini Tanzania iliyoanzishwa mnamo mwaka 1935.

Jina la utani wanajulikana kama Timu ya Wananchi (Wananchi) au Wanajangwani.
  1. mugah di matheo

    JamiiForums Tanzania VPL: Tanzania Prison vs Simba & Yanga vs Polisi Tanzania

    Karibuni tufuatilie mechi hizi pamoja Tushuhudie vigogo hawa watakavyofanya hii Leo Utaburi wangu Prison 0- 3 Simba Yanga 1- 3 Tanpolis OKW BOBAN SUNZU GENTAMYCINE @Forteleza na wengine toka vyurani Updates Kikosi cha simba Manula Kapombe Tshabalala Nyoni Onyango Mkude Mzamiru Bwalya...
  2. F

    JamiiForums Tanzania Simba na Yanga zitaweza ushindani wa Afrika? Al Ahly imemuajiri kocha wa Mamelodi, Mosimane kwa mshahara wa Dola za Kimarekani 120,000 kwa mwezi

    habari wapenda soka, jana kulikuwa na mechi ya nusu fainali ya kwanza ya ligi ya mabingwa africa, kati ya Waydad casablanca na Al ahly mechi hiyo ilichezwa mjini Cassablanca huku waydad akiwa mwenyeji. na al ahly alikuwa ugenini.. mechi iliisha kwa al ahly kushinda goli 2-0 ugenini katika...
  3. mugah di matheo

    JamiiForums Tanzania Tanzania vs Tunisia: Watakachokifanya mashabiki wa yanga ni uhaini kwa nchi

    Kitendo cha baadhi ya mashabiki kuhamasishana wakaishangilie timu ya taifa la kigeni ni sawa na kuifanyia nchi ya kigeni ujasusi dhidi ya nchi yako ambayo huhesabiwa ni uhaini na adhabu yake ni kunyongwa hadi kufa
  4. McFerson

    JamiiForums Tanzania Simba vs Yanga: Kocha mpya aambiwe mapema

    Wasalaam Aambiwe kwamba 1. SIMBA SC is another level hapa VPL 2. Viwango vya wachezaji wa Yanga ni vya chini ukilinganisha vya wale wa Simba 3. Kwenye derby ya Kariakoo asijichanganye akachezesha free game kisa achezeshe pira biriani, atajuta (a) kuijua Simba (b) kuifundisha Yanga Mpelekeeni...
  5. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwa 'Kauli' hii ya Kocha mpya wa Yanga SC Mburundi Cedric Kaze tayari barua yake ya Kuachishwa Kazi imechapwa na imetunzwa

    “Sichezeshi wachezaji 11 bora uwanjani nachezesha timu bora uwanjani. Sichezeshi jina wala staa, nachezesha timu ambayo italeta mafanikio na usishangae mchezaji mkubwa akawa anakaa benchi. Tunaangalia timu zaidi” Cedric Kaze' HabariLeo na Mwanaspoti Kama kuna Kosa ambalo huyu Kocha Mburundi...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Hatimaye Yanga imempata Professional anayecheza National Team - Ntibazonkiza

    Wote waliopo 'pale' hakuna aliyeitwa National Team hata kwa kutajwa tu...Hata hivyo Yanga imemnasa Kitasa Saidi Ntibazonkiza. Tunasema hivi Yanga ilipo tupo.. Bw Saidi akifika tunamsubiri kwa hamu tukamlaki Pale Airpprt
  7. Swahili_Patriot

    JamiiForums Tanzania Ni nini mstakabali wa Bernard Morrison, Simba n yanga?

    Kwa wale wanaojua au walio na appropriate info, ninaomba nipate updates za progress ya kesi ya sakata la Morrison na waajiri wake. Asante
  8. R

    JamiiForums Tanzania Yanga yamsajili mshambuliaji kutoka Burundi

    Ni yule aliyefunga goli jana katika mechi ya Tanzania na Burundi ana miaka 33
  9. kavulata

    JamiiForums Tanzania Yanga kuchagua manahodha bila kuwa na Kocha Mkuu ni kukurupuka

    Kuna wakati unashindwa kuelewa kile wanachokifanya uongozi wa Yanga. Iko siku uongozi huu utaingia kwenye ugomvi mkubwa na wanachama na wadau wa Yanga. Matukio ya hovyo mpaka sasa chini ya uongozi huu: 1. Kumpoteza Beno Kakolanya 2. Kufujuza mpambanaji Zehera 3. Kuwafukuza akina Balinya 4...
  10. Deejay nasmile

    JamiiForums Tanzania Mechi ya kirafiki: Mashabiki wa SIMBA vs Mashabiki wa YANGA

    Natamani iandaliwe mechi hiyo iwe official kabisa pale kwa mkapa.. Wachezaji wawepo mashabiki kindakindaki wa timu hizo pendwa nchini..ikibidi ni wale tu ambao wana fahamika..yaani watu maarufu mfano ..viongozi wa kidini, kisiasa, kielimu nk. wasanii, waburudishaji, watu wa media, social...
  11. William Mshumbusi

    JamiiForums Tanzania Mechi ya Simba na Yanga kuelekea Uchaguzi, Oktoba 18 kama wagombea urais wangeshiriki ingetumika kutunishiana umaarufu siasa za urais

    Moja ya sababu ya msingi ambayo TFF kwa kujua au kutojua kuhairisha mechi ya yanga na Simba kuelekea UCHAGUZI imesaidia Sana kuja kutumika kutunishiana kifua kwa wagombea wa Uraisi. Kwa bahati mbaya kabisa Mpira wa miguu hasa timu za Simba na yanga uhusishwa Sana na siasa. Ingawa haijulikani...
  12. Forest Hill

    JamiiForums Tanzania Mechi ya Taifa stars vs Tunisia tarehe 9/11 simba na yanga tarehe 7/11

    Ndugu zangu kama kichwa kinavyojieleza,, Tff wapo serious au mimi ndio sijaelewa?? Mechi ya Tunisia na taifa stars imepishana siku mbili Kati ya timu zenu kongwe,, sababu ilikua nini kuhairisha mechi in the first place??
  13. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kama unajiuliza ni kwanini 'Mtanange' wa Yanga SC na Simba SC 'Umesogezwa' mbele 'ghafla' basi hizi ndizo sababu Kuu kabisa

    1. USHIRIKINA Tambueni ya kwamba katika Mechi hiyo (hii) Yanga SC ndiyo Mwenyeji na hakuna asiyejua kuwa Timu hizi Mbili (Vilabu hivi Vikubwa viwili ) ni 'Mabingwa' wa 'Ushirikina / Ndumbaism' na hata kwa 99% Matokeo ya Mechi zao huamuliwa na 'Majini' tupu na siyo Makocha, Wachezaji au Waamuzi...
  14. Hadrianus

    JamiiForums Tanzania Mechi ya Simba ya Yanga yasogezwa mbele hadi Novemba 7

    Soka letu ni la ajabu sana
  15. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Sababu za ndani kabisa 'nilizopenyezewa' ambazo ndizo 'zimemfukuzisha' Kazi Kocha wa Yanga SC Zlatko ni hizi hapa....

    1. Zlatko amewakataa baadhi ya Wachezaji ambao Yanga SC imewaleta kwa Mbwembwe nchini na kudai hawana Uwezo 2. Zlatko amekataa Klabu ya Yanga Kuendekeza sana Ushirikina katika Mechi zake na kusema kuwa hakuzoea Upumbavu huo 3. Zlatko ameomba atafute Kocha Msaidizi kwakuwa ameona Kocha Juma...
  16. Dr am 4 real PhD

    JamiiForums Tanzania Kinachofanywa na yanga ni zile stori za utotoni ntaenda kukusemea kwa mama muacheni Morrison acheze mpira Simba

    Hakuna haja ya kumgombania Morrison mmoja... Nachoamini vilabu vyetu vikubwa hapa nchini vinakosa scouting nzuri za kuibua vipaji maridhawa kutoka hapa hapa nchini. Yanga bwanaa Au kisa Ni ile pasi ya morisson kumpa chama na chama kumpasia mfungaji kwa kisigino. Natamani kuona vilabu vyetu...
  17. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Kuna viongozi Vilaza sana Yanga. Hawa wanaiaibisha Club yetu Kongwe

    Hii akili ya wapi? Ni akina nani wanamtuma Kubwa Jinga Mwakalebela kwa suala la Morrison? Yanga wamepita wachezaji wangapi wakaondoka team ikabaki? Kwa nini Morrison anaonekana kututesa sana mioyo? Fredrick Mwakalebela hivi hutumii hata akili za kawaida? Mkataba wa Morrison na Simba wewe...
  18. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kabla 'sijamjibu' David Mwakalebela (Makamu Mwenyekiti wa Yanga SC) namwomba anijibu haya upesi

    Je, anayoiongoza Yeye ni Young Africans kama aliyokuwa akiitaja leo au ni Yanga African au ni Yanga Sports Club au Dar es Salaam Young African? Kisha akishamaliza 'Kunijibu' hili namwomba pia anipe tofauti kati ya neno 'Kintu' alilokuwa akilitaja katika 'Press' yake ya leo na neno 'Kitu' ambalo...
  19. K

    JamiiForums Tanzania Yanga Yafanya 'Maangamizi' Ya Kimbari,yamlamba KMKM 2-0.

    Kwa mara nyingine timu Yanga imeendeleza WIMBI la ushindi baada ya kuikung'uta bila huruma timu 'NGUMU' kutoka ZNZ ya KMKM. Sifa zimwendee Tonombe ambaye leo amekua mwiba MKALI baada ya kupasua NGOME IMARA mithili ya UKUTA WA BERLIN ya KMKM...!Bravo YANGA...! moto uendelee
  20. libeva

    JamiiForums Tanzania TFF na Wizara ya Michezo mdhibitini Hajji Manara ndiye kichocheo cha chuki uhasama wa Simba na Yanga

    Wadau wa michezo toka enzi na enzi tunataniana na si kuvuka mipaka ya kuanza kutafutana matawi na kuanza kubomoleana vizimba vya matawi. Toka muda mrefu nimemfuatilia msemaji wa Simba kwa kauli zake yeye anaita za kukera ndizo chokochoko ambazo washabiki wa Simba nao wanazibeba kisha...
Back
Top Bottom