yanga

Young Africans Sports Club (maarufu kama Yanga ni Timu ya Soka nchini Tanzania iliyoanzishwa mnamo mwaka 1935.

Jina la utani wanajulikana kama Timu ya Wananchi (Wananchi) au Wanajangwani.
  1. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Taifa Stars ya Jana wangepangwa Wachezaji wengi ya Yanga SC tungefungwa hata Goli / Bao 15 Hongera Kocha

    Huwezi ukawa na Timu ya Taifa yenye Wachezaji mahiri wa Klabu ya Simba SC kama akina Manula, Kapombe, Tshabalala, Nyoni, Mkude na Boko halafu ukafungwa Goli / Bao nyingi na Timu yoyote ile. Hongera sana Kocha wa Taifa Stars Ndayiragije kwa Kutupangia Wachezaji wengi wa Timu yangu bora ya Simba...
  2. Little brain

    JamiiForums Tanzania Nimeamini Yanga wanabebwa aisee

    Leo zime tolewa tuzo za mwezi September.. kama kawaida yao kocha Bora Cedric kaze katoka Yanga.. mchezaji bora Serge Mukoko22 katoka yanga.. duh hapa najiuliza yaani biriani lote simba tunalo cheza tikitaka, pasi kisigino hakuna hata mchezaji wala kocha alie kuwepo hata kwenye list ya wanao...
  3. HPAUL

    JamiiForums Tanzania Kesi mbili za Yanga kuhusu Morrison zimefikia wapi?

    Mwezi wa nane mwaka huu Yanga walituaminisha kuwa wamekata rufaa FIFA katika kiengo cha CAS kupinga kitendo cha kamati ya TFF kuamua kuwa mkataba wa miaka miwili na Morrison ni batili. Baadaye Yanga kupitia Mwakalebela ikaibuka na kesi mpya kudai usajili wa Morrison Simba haukukamilika. Je...
  4. Mdau jf

    JamiiForums Tanzania Kwanini watangazaji na wachambuzi wengi wa mpira ni Yanga?

    Kwa research niliyo ifanya mtandaoni hususani instagram, pamoja na radion (kupitia vipindi vya michezo) nimegundua watangazaji na wachambuzi wa mpira wengi wao ni YANGA. mf. pale wasafi sports Arena wote wale ni jangwani, EFM ukiondoa Ibrahim Maestro walio baki wote ni yanga, CLOUDS ndiyo...
  5. mugah di matheo

    JamiiForums Tanzania Yanga kushushwa daraja?

    Senzo yupo ndani kwa tuhuma za kuhujumu simba Inasemekana alipeleka pesa kwa wachezaji wa simba ili wapoteze mechi dhidi ya prison. Ikibainika ni hivyo itahesabiwa ni upangaji wa matokeo na adhabu yake huwa ni kushushwa madaraka mawili chini kama ilivyofanyika kwa Juventus miaka ya 2005/6 Na...
  6. aka2030

    JamiiForums Tanzania Kwanini waandishi wa habari wengi hukaa upande wa Yanga pale Uwanja wa Taifa?

    Nauliza tu hii imekaaaje? Mechi nyingi waandishi wa habari wengi na hata pia watu maarufu hukaa upande wa Yanga? Ambapo huwa mpaka siti za wanaolipia VIP A wanakosa siti. Pamoja na kutengewa sehemu yao ya kukaa ambayo huwa kama haiwatoshi.
  7. mugah di matheo

    JamiiForums Tanzania CCM na Yanga SC: Si mmevuna mlichotaka iweje mnateseka? Tuacheni tupumzike kidogo

    Humu JF saivi kuna trend za thread za WanaCCM na wana Yanga ambazo lengo sio kushangilia ushindi waliopata Bali ni kujaribu kuwasihi wale waliowaonea wakubaliane na matokeo Mfano wa hizo thread ni Mzee shomari--------- Mzeee mgaya anasema---- Hanspope sio ----------- Marefa wa Bongo ----...
  8. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Kama Marefa wataacha kutuharibia Team Yanga tunaweza kuwa na Team nzuri

    Nimeumia sana kwa kitendo cha jana. Pamoja na Simba kutokuwa na washambuliaji wao Mahiri bado wanafunga ktk wakati ambao tuliamini tumeshinda. Mimi ni Mwanayanga ambaye huwa siumi umi maneno. Jana Simba wameshinda 1-0 ukiondoa lile bao la penalty ambalo tulipewa. Najua wanayanga wenzangu...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Hatimaye mtanange wa yanga na simba waishia kwa 'sare'....!

    Mungu buana sijui kwa nini ameliweka jambo hili namna hii..kwamba Yanga Imepata sare kwa penati.Achilia mbali issue ya penati ile kuwa ilikuwa halali au la.?....manusura ni ile penati...! Isingekuwa kwa hisani ya PENATI ile sasa tungekuwa tunaimba 'kalale pema peponi Kamanda' .Hata hivyo...
  10. Little brain

    JamiiForums Tanzania Kama mwanamichezo umegundua nini mechi ya Simba na Yanga

    Kwa upande wa simba watafute pacha nzuri centre back nzuri na defensive mildfilder kwa upande wa yanga nawapa pongezi kwa usajili wao. kiufupi wameimalika kila sehemu sijashangaa mkoko tonombe alipopewa tuzo ya MOTM WE UMEONA NINI?
  11. CAPO DELGADO

    JamiiForums Tanzania Utabiri wangu kikosi cha Simba kitakachoanza na Yanga kesho

    First Eleven ya simba Vs Yanga hapo kesho November 2020. 1. Aishi Manula 2. Salum kapombe 3. Mohamed Hussein 4. Pascal wawa. 5. Joash Onyango. 6. Jonas Mkude 7. Luis Misqueson 8 Muzamiru Yassin 9. John Boko 10. Chama Mwamba wa lussaka ccc 11. Kahata Nyambura.
  12. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Yanga tushamaliza mchezo muda huu

    Wachezaji wa Simba wote tumewafunga matofali miguuni. Kipa ndo mbaya zaidi amevalishwa miwani ya mbao. Mtaalamu katuambia hamna shida refa tu naye awe muelewa. Hili pambano tumejipanga nalo sana wachezaji wamepikwa wakapikika vizuri sana kwa kutumia wataalam wa ndani na nje. Tuna uhakika Simba...
  13. F

    JamiiForums Tanzania Yanga tuko vizuri

    Leo tena timu ya wananchi wanaibuka na ushindi wa saba katika VPL hapo kanda maalumu kwa kina Matiku,Marwa,Mwita,Mwikwabe na sasa tunabanana hapo kileleni na wale wauza ice cream wa Chamazi,mambo ni moto mikia mwaka huu tafuteni kombe la mbuzi,hahahahahahahahaha,kama nawaona vile
  14. Juakali jr

    JamiiForums Tanzania Ushabiki wa siasa za nchi sio kama wa Simba na Yanga

    Wakuu kama kichwa kinavyojieleza hapa juu, sitapenda kurudia kusema yaliyosemwa na wengine kwenye uchaguzi huu. Ila mwenye hekima ataweza kutofautisha madhara ya ushabiki wa timu za mpira na ushabiki wa siasa za nchi, tutakapoamua kushabikia siasa kama tunavyoshabikia Simba na Yanga tujue...
  15. mugah di matheo

    JamiiForums Tanzania Live toka CCM kirumba: KMC vs Yanga

    Karibuni Kikosi cha KMC Kaseja Brysoñ Lusajo Dante Mgareneza Abdu Kenny ally Mveyekule Kabunda Hilary Ppeter Kikosi cha Yanga Mnata Kibwana Mstafaaa Lamine Mwamnyeto Mkoko Feisal Kaseke Waziri Jr Sapong Kisinda
  16. mugah di matheo

    JamiiForums Tanzania VPL: Tanzania Prison vs Simba & Yanga vs Polisi Tanzania

    Karibuni tufuatilie mechi hizi pamoja Tushuhudie vigogo hawa watakavyofanya hii Leo Utaburi wangu Prison 0- 3 Simba Yanga 1- 3 Tanpolis OKW BOBAN SUNZU GENTAMYCINE @Forteleza na wengine toka vyurani Updates Kikosi cha simba Manula Kapombe Tshabalala Nyoni Onyango Mkude Mzamiru Bwalya...
  17. F

    JamiiForums Tanzania Simba na Yanga zitaweza ushindani wa Afrika? Al Ahly imemuajiri kocha wa Mamelodi, Mosimane kwa mshahara wa Dola za Kimarekani 120,000 kwa mwezi

    habari wapenda soka, jana kulikuwa na mechi ya nusu fainali ya kwanza ya ligi ya mabingwa africa, kati ya Waydad casablanca na Al ahly mechi hiyo ilichezwa mjini Cassablanca huku waydad akiwa mwenyeji. na al ahly alikuwa ugenini.. mechi iliisha kwa al ahly kushinda goli 2-0 ugenini katika...
  18. mugah di matheo

    JamiiForums Tanzania Tanzania vs Tunisia: Watakachokifanya mashabiki wa yanga ni uhaini kwa nchi

    Kitendo cha baadhi ya mashabiki kuhamasishana wakaishangilie timu ya taifa la kigeni ni sawa na kuifanyia nchi ya kigeni ujasusi dhidi ya nchi yako ambayo huhesabiwa ni uhaini na adhabu yake ni kunyongwa hadi kufa
  19. McFerson

    JamiiForums Tanzania Simba vs Yanga: Kocha mpya aambiwe mapema

    Wasalaam Aambiwe kwamba 1. SIMBA SC is another level hapa VPL 2. Viwango vya wachezaji wa Yanga ni vya chini ukilinganisha vya wale wa Simba 3. Kwenye derby ya Kariakoo asijichanganye akachezesha free game kisa achezeshe pira biriani, atajuta (a) kuijua Simba (b) kuifundisha Yanga Mpelekeeni...
  20. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwa 'Kauli' hii ya Kocha mpya wa Yanga SC Mburundi Cedric Kaze tayari barua yake ya Kuachishwa Kazi imechapwa na imetunzwa

    “Sichezeshi wachezaji 11 bora uwanjani nachezesha timu bora uwanjani. Sichezeshi jina wala staa, nachezesha timu ambayo italeta mafanikio na usishangae mchezaji mkubwa akawa anakaa benchi. Tunaangalia timu zaidi” Cedric Kaze' HabariLeo na Mwanaspoti Kama kuna Kosa ambalo huyu Kocha Mburundi...
Back
Top Bottom