Msikilize Sunday Manara Computer
FT Yanga 1 - Ken Gold FC kutoka Chunya
Goli la penati
Nimejutia muda wangu,nimetazama mchezo mbovu kabisa wa timu inayoiita timu kubwa dhidi ya timu ndogo kutoka Chunya.
Siku ya jana msemaji wao Nugaz Antonio aliwaambia mashabiki hii timu itakula nyingi...
1. Uongozi kwa Kushirikiana na GSM Kukwepa Lawama na kuwalazimisha Mashabiki wao waone wanaowakwamisha ni TFF na Kamati zake.
2. Kutaka Kuwatishia Waamuzi ( hasa huyu wa leo dhidi ya Mtibwa FC ) awaogope na awapendelee ili washinde Mechi yao.
3. Kumuhusisha kwa Kumtaja hadi Kumzungumzia...
Video ikionyesha wahuni wa Yanga wakiahidi kufanyia fujo marefa kama timu yao itafugwa. Mtibwa Sugar tunatoa rai kwa TFF ishirikiane na Jeshi la Polisi kuweka ulinzi na kutoa kipigo cha mbwa koko kwa wahuni wa Yanga.
Tunalitaka jeshi litoe onyo kabisa kabla ya mechi,wahuni wanaokuja na matoeo...
Habari wadau,
Nadeclare interest mimi ni mshabiki wa yanga..
Ukweli kulalamikia marefa sio sahihi kwamba wanatunyima penalty, tumebebwa mechi na tumepewa penalty nyingi zisizo halali mojawapo game na simba Dar. Penalty ya Kisinda na Onyango sio halali, kama unabisha tazama maridio youtube...
Kocha wetu amefeli sana katika idara zote mfano.
1.Ameshindwa kabisa kuunganisha timu kutengeneza kikosi cha ushindi. Angalia beki ya timu wanakatika Hadi wanagombana mfano Lamine na Mamnyeto
2.Uwezo wa kocha umefika kikomo baada ya hizi droo kinachofuata ni kupoteza point tatu...
1. Je, TFF, Kamati yake ya nidhamu na Mchezaji Bernard Morisson ndiyo inawafanya akina Sarpong, Nchimbi na Feisal kukosa Magoli?
2. Je, TFF, Kamati yake ya nidhamu na Mchezaji Bernard Morisson ndiyo wanafanya Mabeki wao Moro na Mwamnyeto wakatike na Wagombane ndani na nje ya Uwanja?
3. Je...
Kwa kuwa Mtibwa nayo ni timu ina Mungu
Kwa kuwa refa naye ni binadam aanaweza kupitiwa
Namuomba Mungu afanye jambo kesho, Yanga wapigwe, halafu refa akosee awanyime goli la ofside.Halafu tuone huu upuuzi wanaoongea viongozi wa Yanga.
Timu ya maana hawana wanalilia kombe?
" Yanga SC inafanya vibaya sasa ( kwa kutoka Sare ) mfululizo kwakuwa TFF na Kamati yake ya Nidhamu inatuhujumu mpaka leo haijakaa Kusikiliza Kesi zetu ", amesema Makamu Mwenyekiti wa Yanga SC alipozunguza na Waandishi wa Habari muda mfupi tu uliopita leo hii.
Halafu Waafrika tukichekwa na...
Habari za Yanga kusajiri kikosi tishio zilivuma sana. Maelfu ya mashabiki wakavamia airport kupokea professional players. Msemaji wao akaitangazia dunia wamesajiri kikosi cha bilioni 3.
Najaribu kujiuliza kutoka kote huko mpaka kulilia penati dhidi ya Kagera Sukari.
Next game, Mtibwa...
Michezo mitatu ya Kigi Kuu ya Soka Tanzania Bara imechezwa hii leo katika viwanja tofauti
Baada ya kuondoka na alama 1 katika mchezo dhidi ya Mbeya City juma lililopita, Yanga hii leo wameambulia alama moja pia baada ya mchezo wake dhidi ya Kagera Sugar kumalizika kwa sare ya 3-3
Magoli ya...
Njia ya muongo ni fupi sana. Wiki iliyopita club ya Yanga ilitoa taarifa striker wao ana majeraha aliyoyapata Zanzibar.
Nimefuatilia taarifa za ndani sana, habari hizi hazina ukweli wowote. Mchezaji huyu anadai pesa ya usajili na kaweka mgomo.
Nimedokezwa kama angekuwa kaumia Zanzibar...
"Kwa sasa TFF tushukuru wamelala au wana woga. Kitendo tulichofanya juzi uwanja wa Sokoine hakikuwa sahihi. Ifikie hatua tuwe wakweli. Ifikie hatua tuangalie mpira na mchezo wa Mpira na si Ushabiki.
Goal tulilopata kiukweli halikugusa mstari lakini refa kama binadamu alitupatia goal hilo na...
Rekodi ya sare yaendelezwa katika dimba la Sokoine kati ya Mbeya city dhidi ya Yanga baada ya mchezo uliochezwa hii leo kumaliza kwa matokeo ya 1-1.
Goli la Yanga limefungwa na D Kaseke dakika ya 84 . Huku goli la Mbeya city likifungwa na P Athanas kwa mkwaju wa penati kunako dakika ya 90 +4...
Habari wadau,
Kama mwanayanga nina huzuni na matokeo ya mbeya.. na pia nina huzuni ya wivu wa mafanikio ya mtani simba.
Natambua kabisa mchawi wetu yanga ni hela kama kuna mwanayanga hatambui hilo naomba alitambue.
Kikosi cha simba kina watu wa gharama wengi tu. Ndio maana ana uwezo wa kupata...
Nafuatilia game ya Mbeya city na Yanga, kiukweli kiwango kibovu kinachoonyeshwa na Yanga inashangaza! Haijulikani wanacheza fomesheni gani, yaani haijulikani wamewezaje kuongoza ligi mpaka sasa, Mbeya city inayoburuza mkia haionekani kama ina tofauti yoyote na Yanga yenye wachezaji wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.