Serikali mpo wapi Wananchi tunanyanyaswa bila sababu? Yanga tumewakosea nini sisi?

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Jul 29, 2013
10,471
23,744
😭😭😭😭😭😭😭😭😭 Siku nyingine ya maumivu makubwa kwangu.mi mwaka huu ntakufa tu kwa presha. Mikia mmekuwa wahuni na wakatili sana. Sijapata ona watu wakatili kama nyinyi.

Mmemchukua Morrison mmemchukua Bwalya.tumemtafuta sisi siku zote. Midfielder kisheti, mchezaji wa Chipolopolo. Sisi Yanga ndo kipindi chote tulimalizana naye, nyie wahuni akina Hanspope na Magori hamtaenda mbinguni hata iweje.

Nmeumia sana, sasa naacha kushabikia mpira ntakufa bure mimi.

Jamani mimi nmewakosea nini nyie viumbe. Mi nateseka week nyingine hii siwezi hata kula.

Team yangu inanyanyaswa kabisa. Naumia.

IMG-20200815-WA0061.jpg
Screenshot_20200815-171040.png
IMG-20200815-WA0061.jpg
 
Serikali iingilie kati hili suala hawa simba ni wahuni hawafai ikiwezekana waifute hiyo timu ya wavuta bange
 
Usajili ni open market.

Kuna usajili wa matakwa ya timu. Upo Dunia nzima.

Kuna usajili wa kumkomoa mpinzani wako wa karibu. Huu upo Tanzania tu. Sometimes it works. It may backfire as well.

Ni soko huria. Kabla ya kusinya, mchezaji anaweza kuwa ameongea na timu hata kumi.
 
Mtatamani Siku Ziku Zirudi Nyuma Ili Muombe Radhi Vulugu Mlizotufanyia Kwa Mbuyu Twite Na Yondani,
Maana Hizi Mashine
Kagere
Miquison
Morison
Bwalya
Zingekua Zipo Huko Utopolofour
Badara Yake Mnyama Anapindua Meza Kichokoraa
Dah! Raha Yatunyemelea Yakhe! Chungen Yacje Wakuta Kama Ya Mesi Natimu Yke
 
Usajili ni open market.

Kuna usajili wa matakwa ya timu. Upo Dunia nzima.

Kuna usajili wa kumkomoa mpinzani wako wa karibu. Huu upo Tanzania tu. Sometimes it works. It may backfire as well.

Ni soko huria. Kabla ya kusinya, mchezaji anaweza kuwa ameongea na timu hata kumi.
Mchezaji yeyote ndoto zake ni kucheza klabu kubwa na bora, hata angekuja Yanga bado angetamani kutimiza ndoto zake kucheza Simba SC.

Simba SC Another Level
 
Usajili ni open market.

Kuna usajili wa matakwa ya timu. Upo Dunia nzima.

Kuna usajili wa kumkomoa mpinzani wako wa karibu. Huu upo Tanzania tu. Sometimes it works. It may backfire as well.

Ni soko huria. Kabla ya kusinya, mchezaji anaweza kuwa ameongea na timu hata kumi.
Una uhakika usajili wa kumkomoa mpinzani uko Tanzania pekee au umeandika ili mradi nawe uonekane umeandika?
 
Yanga isipokuwa makini ushindani wake na simba uwanjani itaisha kitakachobaki ni ushindani wa maneno ya mtandaoni aka UMBEA, simba inawekeza ktk soka yanga ya GSM inawekeza ktk janjasoka
 
Mtani Shadeeya huku wanalia na Simba anakula hadi mawindo ya vyura. Anaomba Mwakyembe aingilie kati. Ombeni poo mtani yaishe maana yajayo yanatisha, yanaweza kuwakuta ya Barca jana.
 
Back
Top Bottom