yako

Yakō Station (矢向駅, Yakō-eki) is a passenger railway station located in Tsurumi-ku, Yokohama, Kanagawa Prefecture, Japan, operated by the East Japan Railway Company (JR East).

View More On Wikipedia.org
  1. Nyafwili

    JamiiForums Tanzania Ni Kosa Gani La Kawaida • Ambalo Watu Wanalo Kuhusu Wewe?"

    Habari wana JF, Poleni na pilika pilika za hapa na pale 🤝, Binadamu mara nyingine wanaweza kuwa na tabia ya kutoa hisia au sifa za kibinadamu kwa vitu ambavyo havina hisia wala ukweli wowote, yani utakuta mtu au watu wanajiuliza maswali ya namna hii kuhusu wewe:- • Watu wengi wanapata ugumu...
  2. Dr. Zaganza

    JamiiForums Tanzania Je Biashara Yako Ilifikia Malengo 2023? Jipime kwa hii Sheet BURE

    Bila shaka kila kitu kina malengo. Na ili kutathmini ufikiwaji wa malengo lazima uwe umekusanya taarifa sahihi(umetunza rekodi). Pongezi kwa Google waloweka Sheet ya bure ya kutunza rekodi zako za kila siku. Na habari njema ni kwamba sheet hii unaweza kuijaza na kuisoma ukiwa popote (online)...
  3. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Usishindwe Kufurahia Maisha yako kwa sababu ya historia au mambo yako ya nyuma

    Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Taikon kama Mchunguzi huru, na ambaye ninajihusisha na watu wote, nilikuja kugundua kuwa moja ya mambo yanayowafanya Watu wengi kushindwa kufurahia maisha yao ni pamoja na kuendekeza PAST na BACKGROUND zao. Basi hivi leo, ikiwa wewe ni mmoja wa Watu wa aina...
  4. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Je, ukijamba kwa bahati mbaya au kwa kulazimika uwapo Kanisani au Msikitini Dua yako inapokelewa na aliyeketi Juu Mbinguni?

    Najiandaa kusoma Comments zenu.
  5. Magical power

    JamiiForums Tanzania ukiweza kumudu mawazo yako, na ukautuliza MWILI wako, hakika utakuwa sehemu ambayo watu wengine watakuita mwenye ku huisha

    ukiweza kumudu mawazo yako, na ukautuliza MWILI wako, hakika utakuwa sehemu ambayo watu wengine watakuita mwenye ku huisha. maana watajibariki katika wewe wote wanao teseka katika kifungo cha ubinadamu. ndiyo maana yoga ni muhimu sana katika kuweka mambo sawa! If you can handle your thoughts...
  6. chiembe

    JamiiForums Tanzania Waziri Jerry Slaa, Mtumishi wa Wizara yako akinunua ardhi ikawa na mgogoro, ni kigezo cha kumsimamisha kazi?

    Kidogo nimeshangazwa na habari inayotembea mtandaoni, mtumishi wa wizara ya ardhi anadai kununua ardhi, ardhi ikawa na mgongano na mtu mwingine, je hii ni sababu ya kumsimamisha kazi? Kwamba watumishi wa wizara wakinunua ardhi mitaani, ikawa na mgogoro hata wa mipaka, anasimamishwa kazi? Kwa...
  7. Kididimo

    JamiiForums Tanzania Al-Jazeera ni TV ya ovyo, kwenye vita ya Israel vs Hamas hawasemi athari zinazotokea upande wa Hamas

    Ukiwa muongo, pia uwe makini. Kwa muda wote vita hii imepiganwa hajafa wala kutangazwa wangapi wa Hamas wamekufa! Picha zinazorushwa ni za vitoto tuu na kidogo wanawake. Cha ajabu ukiangalia TV hiyo hiyo, miili mingi ya maiti zilizokufa GAZA na iliyofunikwa kwenda kuzikwa ni ya watu wazima...
  8. Canabian Rasta

    JamiiForums Tanzania Huwa unawamudu vipi wateja wapenda punguzo?

    Inafika wakati biashara inakatisha tamaa, kuna hawa wateja wanao penda kupunguziwa kila kitu asee wanakera. mtu anakuja dukani anaulizia karibu kila bidhaa ukimtajia bei utasikia…….., Duh! We unabei sana! Mbona wenzako wanauza bei nafuu! Punguza bei nimekuja kukuchangia! Tuuzie kama unauza sio...
  9. Dasizo

    JamiiForums Tanzania Mke wa rafiki yangu ananitaka, nifanyeje?

    Naombeni msaada wa mawazo mke wa rafiki yangu ananitaka kimapenzi, nifanyeje?
  10. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, kwanini unatoa msaada mkubwa kwa Prof. Jay pekee wakati wa kuwasaidia wapo wengi hospitalini?

    Halafu hii ya Mgonjwa ambaye bado anahitaji Matibabu ya Kina kuanzisha Mfuko wake (Foundation) kwa kusema anataka Kusaidia wengine Wengi ni kutaka Kutudanganya wenye Akili Kubwa na kutufanya ni Wapumbavu (Mapopoma) na hili hatutalikubali. Mwisho GENTAMYCINE natoa RAI kwa wengine kuwa kama...
  11. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Kama simu yako imepasuka kioo, imejaa wino, n.k. fanya hivi kunyonya vitu vyako uvitunze ama uhamishie simu mpya

    Iliwahi nitokea hii, simu nilinunua laki 4 ikapasuka kabisa kioo, kuulizia bei ya kioo laki 2 na elf 80, nikasema potelea mbali heri ninunue simu mpya tu, lakini kulikuwa na vitu vya muhimu ndani ya simu na inahitaji nivihamishe. Simu imedondoka kwenye sakafu kioo chote kimejaa wino ama...
  12. Sharo empress

    JamiiForums Tanzania Misingi 21 Ya Biashara Itakayo fikisha Buashara Yako Hadi Kwa Wajukuu Zako [ MBA YA MCHONGO]

    Hello! Habari za muda huu.... Wazaramo wanasema "Kidire Mwali" Kama hujui kizaramo basi fahamu maana yake ni Mwali yuko uwanjani... Leo ndo ile siku yetu maalumu ya kuanza darasa letu lile la MBA ya MCHONGO Misingi 21 ya Biashara itakayofikisha Biashara yako kwa wajukuu zako...
  13. T

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kuwa na tabia ya mkono wa birika? Natoa sana kwa watu na nahonga sana. Uhongaji utanifilisi

    Wakuu habari za jioni. Wakuu naomba kukiri mimi usingekua uhongaji labda ningekua namkaribia msukuma kwa mpunga lakini sijui ni pepo nimelogezewa la kuhonga ama namna gani. Wakuu, inapokuja swala la kuhonga kwa kweli hua sijiulizi mara 2, kama ninacho natoa tu. Hili sio kwa wanawake tu, hata...
  14. Iruru

    JamiiForums Tanzania SOFTWARE Je unahitaji msaada kwenye Dissertation/Thesis yako? Academic doctors consultants are here for you.

    Academic Doctors Consultants Are You Stacked Somewhere in Your Master or PhD Degree Dissertation/Thesis Work? Academic Doctors Consultants Are Here for You! Dealers in all kinds of academic writing works! Master/PhD Proposal editing and developments Master/PhD dissertation/thesis editing and...
  15. amshapopo

    JamiiForums Tanzania Hela ndogo ndogo unazozidharau ndo chanzo cha kufeli kwenye maisha yako

    Wasalam, Watanzania wengi tumekuwa na tabia ya kudharau pesa ndogo ndogo tuzipatazo. Chukulia mtu anaingiza ujira wa 10,000 kwa siku anakula na kutumia yote bila kusave chochote. Just imagine kama angesevu hata 3,000 kila siku kwa mwezi angeweza hata nunua mfuko wa mbolea kutosha kuanzia kulima...
  16. tpaul

    JamiiForums Tanzania Utafiti: Wanawake wa kuoa wanapatikana mtaani sio kwenye ulokole, shauri yako!

    Naingia kwenye mada straight away bila kuwachosha. Mada hii inatokana na utafiti binafsi nilioufanya hivi karibuni. Ndugu zangu mabachela mnaotafuta wanawake wa kuoa nawaomba muwe makini sana na mchukue tahadhari ya kutosha. Wanawake safi wa kuoa hupatikana mtaani sio kwenye makanisa ya kilokole...
  17. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Usiamini sana watu, mtu ambaye hakuonei wivu ukimzidi ni Baba/Mama yako tu

    Sijui kama ni Bongo au dunia nzima. Adui wa kudumu wa kukufanya uwe na taadhari ni wivu kwa wanaokuzunguka. Usiwe mwepesi kufunguka kwa kula mtu. Hata aliyefanukiwa na tajiri akiona unapiga kahatua kidogo tu moyo unalipuka qnataguta namna ya kukupiga pini. Ujumbe ni kwamba Ukiacha Mjngu...
  18. sinza pazuri

    JamiiForums Tanzania Chid Benz hakuna unachomdai Diamond na hausiki kabisa na matatizo yako

    Nimeona Chid analalamika kaimba na Diamond ila ajalipwa pesa. Ni hivi Chid Benz ana wimbo unaitwa Tunaishi nao kamshilikisha Diamond Platnumz. Chidi analalamika mtu ambaye kamshilikisha kwenye wimbo wake ajamlipa. How come mwenye wimbo anataka alipwe na aliyepewa colabo? Diamond aliamua...
  19. Ghost MVP

    JamiiForums Tanzania Umewahi kupata maumivu kutoka kwa mtu uliyewekeza muda, upendo na imani yako kwake?

    Kuna watu wengi ambao wanapitia maumivu ya namna hiyo, hii ni kwasababu unajikuta umewekeza sana kwa mtu huyo, endapo ikatokea akakuumiza basi maumivu yanapita ndani kabisa, wengi hawawezi vumilia hili na kujikuta wanafanya jambo la ajabu. Je, umewahi kupitia maumivu haya? Toka kwa nani? Sababu...
  20. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Kosa kubwa kuazimana gari au pikipiki yako, tukio gani limewahi kukukuta ulipoazima chombo chako cha moto?

    Experience yangu binafsi sio mara moja bali ni mara mbili niliazima gari kwa marafiki wawili tofauti, wa kwanza aligongesha bampa wa pili aligongesha karibu na mlango lakini hakuna alienijulisha kilichotokea pindi wanaponirudishia funguo za gari. Nikiazima gari na ikirudi huwa lazima niikague...
Back
Top Bottom