Pombe hunywi, sigara huvuti, club huendi; starehe yako ni ipi?

King Jody

JF-Expert Member
Oct 8, 2022
914
1,704
Unakutana na mtu anakuuliza, unakunywa pombe? Unavuta sigara nk ukimjibu hapana situmii vyote anakwambia lazima starehe yako itakuwa kusex.

Je, kuna ukweli wowote katika hili?

We starehe U Hobby yako ni ipi? Tiririka, ikifanana na ya mwenzio ruksa kufahamiana zaidi

Binafsi napenda- Kusikiliza muziki laini.
- Kufanya mazoezi
- Kuangalia Movie
- Kuchart na marafiki,
- Pia napenda sana kusafiri sehemu mbalimbali.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom