Tangazo: Jipatie Diaries na Calendar za 2024 kwa ajili ya kampuni/Tasisi/biashara yako

Imaging smart

Member
Oct 20, 2023
13
1
Habari zenu wapendwa wanajamii forums!

Tunayo furaha kuwatangazia kwamba tuna diaries mpya za mwaka 2024,Tunaamini kwamba diaries hizi zitakuwa mwongozo mzuri katika maisha yako ya kila siku na kukusaidia kuweka mambo yako vizuri katika mwaka ujao.

Diaries zetu ni za ngozi(Business Leather Diaries)zimeundwa kwa ubora wa hali ya juu na zinafanana na mahitaji yako ya kila siku.Zimejaa kurasa za kutosha kukusaidia kuandika na kufuatilia ratiba yako, malengo, matukio muhimu.Pia zimejumuisha sehemu za kuhifadhi mawasiliano, orodha za ununuzi, na ukurasa za kumbukumbu ili kukusaidia kufanya kazi zako vizuri na kuwa na maisha yenye utaratibu. Tuna print na kukuwekea logo ya kampuni/tasisi yako kwenye diaries zako ambazo ungependa wafanyakazi wako wazitu mie .Tunawakaribisha sana pia wale wanaohitaji kununua kwa jumla na kwenda kuuza rejereja/ jumla tunao mzigo wa kutosha.

Tunatoa pia huduma ya ku design na kuprint calendar za mwaka 2024 kwa ajili ya kampuni/Tasisi/biashara yako,calendar zetu pia ni za kipekee na zenye ubora wa hali ya juu, calendar zetu zinapatikana katika aina mbalimbali.Ikiwa ni pamoja na calendar za ukutani, meza na calendar za mifuko, chagua ile inayokidhi mahitaji yako na kuifanya sehemu ya mapambo katika nyumba au ofisi yako.

Bei zetu ni nafuu na tunahakikisha kuwa unapata thamani ya pesa yako,Tunatoa punguzo maalum kwa ununuzi wa wingi na tunahakikisha kuwa huduma yetu ni ya haraka na ya kuaminika, tuna huduma ya delivery ukihitaji bidhaa zetu tunakuletea mpaka ulipo popote hapa nchini Tanzania. Hakikisha unajiandaa vizuri kwa mwaka 2024 na diaries na calendar zetu zenye ubora wa hali ya juu,Tumia fursa hii ya kipekee na uweke utaratibu wa maisha yako na kazi ,asante kwa kutuunga mkono,tunapatikana Daresalaam,changombe,mbozi road karibu sana tukuhudumie wasiliana nasi piga/whatsapp +255784603083/+255694931981.
2024DIARY2.jpeg
2024CALENDAR.jpeg
 
Bei tuwasiliane ni kiashiria cha utapeli au kutokuwa na imani na kile unacho kifanya
 
Weka Bei Hapa
Unapolazimisha Simu Inakuwa Kama Magendo
Umetangaza JF Weka Bei Hadharani
Mkuu bei inategemeana unahitaji diaries ngapi na unahitaji calendar ngapi na za aina gani?,Mkuu kama unahitaji huduma zetu na una wasiwasi wowote tunakukaribisha ofisini kwetu uweze kupatiwa huduma,tunapatikana Daresalaam,changombe karibu wasilana nasi kupitia namba 0694931981.
 
Back
Top Bottom